Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

article-2164037-13C477A5000005DC-371_634x371.jpg

Clear: Balotelli fires a volley at goal after finding space inside the penalty box
 
Huyu Pirlo katika hii team ni kama LeBron James wa HEAT... Anaichezesha team kuanzia kudefend mpaka kwenye kashambulizi.... Jamaa anajua saana... Sijui AW hamuoni????

Huyo anaitwa Midfield Mastro Pass Master Andrea Pirlo...
Katika dakika 120 zilizochezwa ktk mechi ya leo dhidi ya England basi Pirlo alikaa na mpira kwa dakika 100.
Hizo 20 ndizo walizogombea wachezaji wengine
 
Gang Chomba hakuna Chumvi kidogo hapo!!! Hahahahahahaaaaaaa
 
Huyo anaitwa Midfield Mastro Pass Master Andrea Pirlo...
Katika dakika 120 zilizochezwa ktk mechi ya leo dhidi ya England basi Pirlo alikaa na mpira kwa dakika 100.
Hizo 20 ndizo walizogombea wachezaji wengine

forza italia forza buluda..
 
SWALI...
Je baada ya Dakika 120 kuisha gianluigi Buffon alikwenda wapi na akachelewa kurudi uwanjani mpaka akafuatwa na Afisa mmoja wa uwanja??
 
SWALI...
Je baada ya Dakika 120 kuisha gianluigi Buffon alikwenda wapi na akachelewa kurudi uwanjani mpaka akafuatwa na Afisa mmoja wa uwanja??

yeye ndio alikuwa amepewa ilizi ya timu kwa hiyo alienda kuilekebisha..
 
Ujerumani kikomo kimefika alhamisi,italy tayari final,spain mhh hawa ureno wapinzani we2 wa jadi yaani iberia derby,mechi ngumu,ili nategemea final itakuwa spain vs italy na lolote linaweza kutokea hasa kwenye matuta,wajerumani wamenuna sana jana kibonde wao england kutolewa.
 
bwahahahaha Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiirlo.....midomo ya england imezibwa dadadadadeki
 
england jana waliniboa, kwanini james milner alianza lile game, he was so ineffective, akipata mpira anaupoteza unarudi kwa waitaliano, akipiga cross hata haimfikii mchezaji yoyote wa england, wangeanza na walcott yule angalau cross zake zinafika kati vizuri na pace yake ingewasumbua left back wa italy. Rooney jana utafikiri anacheza ligi ya hapa tanzania, he was so poor nashangaa wamewezaje kufika hata hizo 120mins. Overall Italy deserved to win maana england wangeshinda wangeumbuka mbele ya mjerumani. Wangecheza na wajerumani kama walivyocheza jana wangefungwa hata sita. england cant play football, cant keep hold of the ball no possession at all i think the best 4teams in the tournament ndio hao waliopo sasa..germany,spain,italy and portugal.
 
Spain straight wapo fainali. No way Portugal wakaresist uwezo mkubwa wa Spain. Na hii formation aliyokuja nayo Del Bosque ya 4-6-0 ni balaa. Hii formation itawasumbua sana pia Wajerumani katika mechi ya fainali hapo tarehe 1 July.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom