Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Kama kurembaremba ni kosa, kwa nini wanashinda? Wanaremba mpira lakini ndio style yao. Najua iko siku watashtukiwa kama walivyoshtukiwa Barca, lakini kwa sasa wao ndio wafalme.

Chifu weka unazi pembeni. Hivi Hispania katika michuano hii wamecheza nini? Bingwa wa dunia anayecheza kwa kujihami? Analundika viungo bila kuwa na mshambuliaji? Wamefika fainali kwa bahati.

Na akina ya nani wakikutana na Ujerumani....
 
de nada! it was tough kiukweli...nikaribishe sangria bwana au utaindaa mkiutwaa ubingwa?? usinisahau

Portugal leo walijitahidi sana..mituta ile ni soo
Huo ni ukweli usiopingika. Lakini gemu mwisho huhesabiwa aliyeshinda.
Bienvenida! Estás envitada a una fiesta de sangria muy fresca.
Na kama tutachukua kombe, te invito a una cena.
 
Chifu weka unazi pembeni. Hivi Hispania katika michuano hii wamecheza nini? Bingwa wa dunia anayecheza kwa kujihami? Analundika viungo bila kuwa na mshambuliaji? Wamefika fainali kwa bahati.

Na akina ya nani wakikutana na Ujerumani....
Nimekiri kuwa Portugal walicheza vizuri dakika 90, wangezitumia kuifunga Spain hadi magoli matatu.
Kuhusu Ujerumani, hwa ni teja letu la muda mrefu. Tishio la Spain kwa sasa ni Italy lakini kwa Ujerumani bora usiombe waingie fainali ikiwa hutaki Spain ishinde.
 
Tutaona.
 
article-2165663-13D27695000005DC-210_634x358.jpg

Job done: Spain's players go wild as Fabregas slots the winning penalty

article-2165663-13D273F3000005DC-674_634x397.jpg
 
wadau me sina neno na yeyote ila mjeruman tu ndio namuombea awe wa 4..tena hapo baada ya dua zangu za kutaka atoke round ya kwanza kushindikana...
 
Hapana, ni kwelo dakika 90 Portugal walicheza vizuri sana - KUDOS - lakini dakika 30 za nyongeza Spain walikuwa juu.

Sikusema kama walicheza vizuri....bali waliweza "kuwasimamisha" mabingwa wa dunia katika dkk 120...Katika mechi hii Wareno walikuwa ni underdog hivyo kwenda masaa mawili na bingwa wa dunia huku wakiwa 0-0 ni kufa kishujaa.
 
Mimi nahisi walicheza vizuri, heartly, lakini kitu kilicho wazi (mawazo yangu binafsi) ni kuwa mchezo wa hizi timu za Kilatini (Portugal, Spain, Italy, Ufaransa) unafanana sana na wanapokumbana wao kwa wao chochote kinaweza kutokea. Usishangae kama Spain watakumbana na Italy wakalazwa au wakapigiana matuta.
 
Unachosema ni sawa kabisa, Italy hata wenyewe sidhani kama walitegemea wangefika semi finals na kesho wanaweza kufanya maajabu mengine kwa kuwafunga Wajerumani maana sasa wameshapata confidence na kesho watajituma sana uwanjani.
 
BAK mi napingana na wewe na ntapingana na ww mpaka mwisho wa Dahari...
Mwaka wowote wa mashindano yoyote makubwa ya Soka ni lazima Italy ipewe nafasi kubwa kuingia nusu fainali, fainali au kuchukua kombe na ndo maana miaka ambayo italy wanaboronga na kutolewa mapema basi hata bet za kamali zinapungua wachezaji na kupungua ladha pia.

Italy mwaka 94 imecheza fainali ya Dunia, mwaka 98 imetolewa robo kwa penati na France hii ni ktk world cup, euro 2000 anafungwa fainali na france golden goal, world cup 2002 wanaboronga na kutolewa na Korea ktk raundi ya pili, euro 2004 wanatolewa na scandinavian countrys, 2006 wanabeba kombe la dunia kwa mara ya 4, 2008 wanatolewa nusu fainali na spain kwa penati, 2010 south africa wanatolewa raundi ya kwanza...

Ninachopingana na wewe ni kauli yako ya kusema Italy akimfunga mjerumani itakuwa bahati...
Nenda katafute kati ya timu hizo mbili ni nani kaburuzwa Mara nyingi zaidi na nani akishinda kesho basi wachezaji wake watavua bukta na kukimbia uwanja mzima?

Pia kauli yako ya kusema eti Buluda mpaka kufika hapa atakuwa kajenga confidence pia napingana na wewe...
Nimekupa orodha ya mashindano na hatua Italy walizofika so kwa kuingia nusu fainali hii sidhani kama ni ajabu kwa wachezaji kama Buffon, chielini, pirlo, de rossi, di natale na casano.
All in all kwa taarifa yako hawa Spain wameibuka mwaka 2008, nyuma ya hapo walikuwa kama Saudia arabia tu.

So unapotaka kuzungumza soka la Ulaya na Dunia basi kwa unyenyekevu unatakiwa uwataje Italy...

Forza Italia
 
94 au hata 98 na 2012 wapi na wapi!!! Mpira miye si mshabiki wa kuungalia tu bali pia nimeucheza.

Haya hapa chini si maneno ya BAK

(CNN) -- Italy's soccer players can heal the "suffering" caused by the country's match-fixing scandal by winning Euro 2012, says AC Milan star Alexandre Pato.
The Brazilian forward, who has played in Serie A since he was 17, says an Azzurri victory in Poland and Ukraine could rejuvenate Italian football following a year blighted by corruption allegations.
The team's Euro 2012 preparations were disrupted by a police raid on their training base four days before the start of the tournament, as several prominent football figures were arrested in connection with a match-fixing and betting investigation.
The scandal prompted manager Cesare Prandelli to admit his team could pull out of the competition, but instead they have thrived and will face Germany in the semifinals on Thursday.
"What happened with the match fixing and the betting, it was really bad. Italian football has suffered a lot and we as players have suffered a lot," said Pato, who moved to Milan from Brazilian club Internacional for $32 million in 2007.
"But who knows... Italy in Euro 2012 can turn it around so that Italian football can change and come back to world-class standards."The "suffering" described by Pato struck at the very core of Prandelli's team, which beat England in a penalty shootout on Sunday to reach the last four.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom