Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Bruno Alves alikuwa na mchecheto toka mwanzo.......Ndio maana Nani alimzuia asipige....
 
Kwa hakika Portugal wameupiga mpira leo......

Kwa hakika I hate penalties......
 
it's SPAIN!............................wow!!

Nimewaonea huruma Wareno waliweza kuwasimamisha mabingwa wa dunia kwa dakika 120 lakini kwenye penalties haikuwa bahati yao...CR amebaki na majonzi...wamejitahidi sana
 
Kwa hakika Portugal wameupiga mpira leo......

Kwa hakika I hate penalties......

Pole mkuu... Hahaha.. ila mshindi sasa tushamjua ... Yoyote atakayeshinda Germany au Italy ndio wenye kombe...
 
Hawautendei haki mchezowa soka. Wanarembaremba sana mpira.

Wewe ngoja golden goal lirudishwe.
Kama kurembaremba ni kosa, kwa nini wanashinda? Wanaremba mpira lakini ndio style yao. Najua iko siku watashtukiwa kama walivyoshtukiwa Barca, lakini kwa sasa wao ndio wafalme.
 
Gracias BJ, ilikuwa mechi ya kufa mtu. Gracias a Diós que hemos ganado. HEMOS GANADO!

de nada! it was tough kiukweli...nikaribishe sangria bwana au utaindaa mkiutwaa ubingwa?? usinisahau

Portugal leo walijitahidi sana..mituta ile ni soo
 
Nimewaonea huruma Wareno waliweza kuwasimamisha mabingwa wa dunia kwa dakika 120 lakini kwenye penalties haikuwa bahati yao...CR amebaki na majonzi...wamejitahidi sana

Na kwa generation yao,sijui kama watapata nafasi nyingine ya kubeba kombe. Labda tuone WC 2014.
 
Nimewaonea huruma Wareno waliweza kuwasimamisha mabingwa wa dunia kwa dakika 120 lakini kwenye penalties haikuwa bahati yao...CR amebaki na majonzi...wamejitahidi sana
Hapana, ni kwelo dakika 90 Portugal walicheza vizuri sana - KUDOS - lakini dakika 30 za nyongeza Spain walikuwa juu.
 
Nimewaonea huruma Wareno waliweza kuwasimamisha mabingwa wa dunia kwa dakika 120 lakini kwenye penalties haikuwa bahati yao...CR amebaki na majonzi...wamejitahidi sana

Hata mie nimewahurumia sana...linapokuja suala la penalties ni ngumu sana kubashiri!

CR7 kweli amesikitika sana and so is the whole Portugal team!..ndiyo kandanda BAK, tusubirie kesho!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom