Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Gemu ngumu Mkuu! Niwe mkweli, Portugal wamejipanga na wanashambulia zaidi kuliko Spain, hata hivyo bado nina imani na Spain.


Mamammia naomba iniitie Gutierez aje kuitaja mitaa ya Valencia, na Catalan bila kusahau aje aielezee tena historia ya yule shabiki aliekosa mechi moja baada ya kuugua flu
 
Maji yamezidi unga leo


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Jordi Alba kwa krosi ni balaa.......Alitaka afanye kama alivyowafanyia France...

Golikipa Rui Patricio amefanya kazi ya ziada....
 
Spain wameelemewa....ila wanaweza kuibuka washindi, kitawapain sana Portugal..!
 
SPA wamekosa bonge la chance.... Bado harufu ya Mikwaju ya Penalty inanukia hapa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom