Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
forza Italia....
Viva España! - Vivaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!forza Italia....
for some reasons, wimbo wa taifa wa Ureno unanivutia sana...
itakuwa mechi nzuri inavyoelekea.
Mie katika hizi mechi za kimataifa za soka huwa sitaki kuzikosa nyimbo za Taifa. Pamoja na kuwa sielewi maneno yake na nini zinamaanisha lakini nafurahia kuona reaction ya wachezaji kama wanaimba, wanatabasamu n.k. Uko kipande gani leo BJ? Ureno?
BJ ntakua nae POR leo... HAHAHAHAAA... may be... Swali ni Je wew BUBU upo upande gani????
Mimi ni kwa Portugal......Chama langu la miaka yote hili....Tangu enzi na enzi....Game tamu la leo.. sijajua shilingi yangu ipo wapi
Mimi ni kwa Portugal......Chama langu la miaka yote hili....Tangu enzi na enzi....
Enzi za akina R
Mimi ni kwa Portugal......Chama langu la miaka yote hili....Tangu enzi na enzi....Game tamu la leo.. sijajua shilingi yangu ipo wapi