EU yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Moscow

EU yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Moscow

Hii vita inadhihirisha jinsi Russia ilivyo na influence katika nyanja mbali mbali duniani.
Marekani alipoivamia Iraq, Afghanistan na Libya hizi tabu hazikutokea
Nadhani hata USA angewekewa vikwazo pasingekua na mabalaa ya kupanda kwa gharama za maisha kama ilivyo sasa
We all underestimated the influence of Russia in geopolitics, and now we are paying the price of our ignorance.
huna akili hapo ulipo unatumia OS ya US bado unasema pasingetokea mabalaa yyte
 
Mbona huongelei jinsi watu wa magharibi wanavyoteseka chakula kimepanda, gas na oil?
Urusi anaenda kupoteza soko milele na warusi watakuja kumlaumu kwa hilo ila EU watateseka kwa muda na watapata solutions in the comimg yrs , so uone hapo nan atakuwa kapoteza ?
 
Naona una assume we unazani Russia hana solution ya kutatua changamoto zake, hivi hushajiuliza kwanini nchi nyingi kwenye sakata hili hawaja chagua upande na wapo tayari kufanya biashara na Russia.
kwa upande wa gesi Russia kapoteza pakubwa ,nchi zinatumia gesi kwa kias kikubwa ni hizo za Eu Nje ya hapo unajiingiza mkenge tu , US na China wanajiweza
 
😂😂😂huko ndiko kuyumba mkuu ⁉️
EU wawe matahira kuwawekea vikwazo hivi russia? Russia kuyumba ameshaanza kuyumba, kwanza una habari kuwa toka vita vianze mtu yoyote anayepinga maamuzi ya serikali russia juu ya uvamizi huu anawekwa ndani?
 
Hata Saudia kakataa ombila Mabeberu kutaka kuongeza uzalishaji wa mafuta ili kupunguz gab la mafuta ya Russia…kama hata Saudia kaivimbia US jua muda si mrefu tutanunua petrol kwa elf 4 kwa lita
muda utaongea , wazungu ndo wenye pesa , muda si mrefu kila mmoja atabadili mawazo yake mf China ashaanza kuwa nusu nusu
 
they don't care wanavyotuumiza Sisi wananchi wa chini.
Nyie si ni Warusi wa mtogole,mtanyooka tu.
Mnamshangilia huyo kenge mzee anaanzisha vita miaka hii?. Wakati kale Ukraine angeweza tu kurafikiana nako na mambo yangeenda tu sawa.
 
Warusi weusi, buana🤣
Vikwazo vyovyote atakavyo weka EU havito muumiza Russia, bali vitaendelea kuwaumiza wananchi wao. Yaani kama US na EU wangekuwa wanashikilia hewa ya Oksijeni mpaka sasawangekuwa washaizuia Russia may be wangeiumiza Russia lkn ndio hivyo vingine Russia alisha jiandaa navyo.

Vikwazo vyao vya kipuuzi havimuumizi Russia, ila kikwazo kimoja tena sio kikwazo kwani Russia hajamzuia mtu kununua mafuta na gesi bali kabadilisha utaratibu wa kununua kwa hela yake, still wananchi wao wa EU na US gharama za maisha zimepanda, je angesema afunge mafuta na gasi si wangetafutana.
 
Umafahamu kuwa Warussi ni Wazungu pia sema wanatofautiana viwangi vya ubepari tu

Unasema wazungu wana pesa ina maana vitaifa kama Poortugal au Spain navyo vina pesa kuliko Russia?

Leo hii Dunia nzima kuna uhaba wa Ngano kwa kuwa ru Russia kasema anauza ngano yake kwa hadhari…bado huoni nguvu yake ya uchuni? Imepigwa Libya, Iraq n.k uliwahi kushuhudia mtikisiko huu?

muda utaongea , wazungu ndo wenye pesa , muda si mrefu kila mmoja atabadili mawazo yake mf China ashaanza kuwa nusu nusu
 
kwa upande wa gesi Russia kapoteza pakubwa ,nchi zinatumia gesi kwa kias kikubwa ni hizo za Eu Nje ya hapo unajiingiza mkenge tu , US na China wanajiweza
Russia atapoteza kwa sasa ila solutions ataipata mpaka sasa kuna nchi kibao anafanya nao biashara. Hivi ushajiuliza hivyo viwanda EU vinavyo tegemea gesi vina hali gani? Je huko wanapo elekea watapunguza watu kiasi gani?
 
Wanajeshi wa Urusi wangeanza na Putin kumuondoa.Ameiletea Russia na Dunia kwa ujumla majanga makubwa.[emoji848]
Dunia ipi unayoizungumzia wewe, maana toka hapo mwanzo ulikuwepo kwenye majanga tu kuliko mrusi sasa cjajua mahanga gani unayoyazungumzia wakati wazungu wanaposema neno Dunia we hawakutambui Kama upo duniani
 
Mnataka kuifanya hii Yanga na Simba. Kwamba kukiwa na Yanga basi pawe na Simba pia. mmekosa kazi za kufanya. Mnapenda sana kupiga soga n ubishi wa kijinga. Get something to do. Vita ya Ukraine na Urusi inakuhusu nini? Wewe mwenyewe una vita unatakiwa upigane hapa Tanzania. Unazikumbuka kura za kwenye vikapu uchaguzi wa 2020?
Sawa US mweupe.
 
Yaani Google wasepe, Coca-Cola wasepe, Pepsi, Nike, Amazon, no visa card, master card, no kuuza mafuta no kuuza makaa ya mawe afu useme Urusi haitayumba,
Mkuu utaumiza vichwa na hawa vijana wa 2000 ,sisi malejendal tuliishabikiaga urusi mwishowe tukaishia aibu miaka ya 1990
 
Yaani Google wasepe, Coca-Cola wasepe, Pepsi, Nike, Amazon, no visa card, master card, no kuuza mafuta no kuuza makaa ya mawe afu useme Urusi haitayumba,
Kuna watu ni mashabiki maandazi
 
Nyie si ni Warusi wa mtogole,mtanyooka tu.
Mnamshangilia huyo kenge mzee anaanzisha vita miaka hii?. Wakati kale Ukraine angeweza tu kurafikiana nako na mambo yangeenda tu sawa.
Mimi nipo neutral mkuu.....
 
Mnataka kuifanya hii Yanga na Simba. Kwamba kukiwa na Yanga basi pawe na Simba pia. mmekosa kazi za kufanya. Mnapenda sana kupiga soga n ubishi wa kijinga. Get something to do. Vita ya Ukraine na Urusi inakuhusu nini? Wewe mwenyewe una vita unatakiwa upigane hapa Tanzania. Unazikumbuka kura za kwenye vikapu uchaguzi wa 2020?

Kwani nimekwambia sina shughuli ya kufanya?

Sasa ww vita zangu zina kuhusu nini ?

Hata nikizikumbuka hizo kura matokeo yata badilika?

Sasa Simba na Yanga wamefuata nini?
 
Ungekuwa na ufahamu hata kidogo jinsi ya embargoes zinavyoathiri uchumi wa nchi targeted usingeongea hiko ulichokisema. Putin mwenyewe amekiri wazi kuwa vikwazo vilivyowekwa vimeiathiri Urusi.
Afande wetu wa JF, heshima kwako. Naomba nikuulize, hili pambano la Russia dhidi ya Ukraine. Ni nini maoni yako, nani ameloose mpaka sasa na nani ataloose mwishoni kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom