EU yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Moscow

EU wawe matahira kuwawekea vikwazo hivi russia? Russia kuyumba ameshaanza kuyumba, kwanza una habari kuwa toka vita vianze mtu yoyote anayepinga maamuzi ya serikali russia juu ya uvamizi huu anawekwa ndani?
C mnasema RUSSIA madikteta
Maneno yao nisheria hawatakiwi kupingwa ila OP inaenda vyema sana kuna uzi mmoja niliuliza maswali yangu kwako naona majibu yamekua haba
 
C mnasema RUSSIA madikteta
Maneno yao nisheria hawatakiwi kupingwa ila OP inaenda vyema sana kuna uzi mmoja niliuliza maswali yangu kwako naona majibu yamekua haba
Sio kwamba yamekuwa hapa, huwa sipendi kujadili mambo na watu ambao wapo upande fulani.
 
Urusi ameishiwa chakula Cha kulisha majeshi yake vitani kaamua kuanza kukusanya jamvi na kuondoka vita vimemshinda

Vikwazo vya mabeberu vinachoma asikwambie mtu
 
Nimefuatilia ila hamna kitu kama hiko ni US, Canada na EU na hao EU wanasigana,hata huyo US mwenyewe hajaweka vikwazo kwenye mbolea ya Urusi,bado anafanya biashara na Urusi.
Nenda kafuatilie tena!

Kuna nchi kadhaa zimeiwekea Russia vikwazo kupitia hayo maazimio ya Baraza la Umoja wa Mataifa. Mfano: New Zealand.

Katika hizo nchi ulizozitaja, ongeza zingine kama Japan, Korea Kusini, Singapore, Australia na Taiwan. Usisahau nchi kama UK na Norway ambazo si wanachama wa EU. Hizo ni miongoni mwa nchi zenye nguvu zaidi kiuchumi duniani.

Kufanya biashara na kuwa na upande ni vitu viwili tofauti. Zingatia pia limitations za hizo biashara zinazofanyika.
 
Halmashauri Kuu ya Ulaya imependekeza leo vikwazo vipya dhidi ya Urusi, ikiwemo marufuku ya ununuzi wa makaa ya mawe.

Katika vikwazo vinavyopendekezwa, ambavyo mataifa ya Umoja wa Ulaya lazima yaidhinishe, vitazuia uagizaji wa bidhaa za Urusi zenye thamani ya euro bilioni 9 na uuzaji nchini Urusi wa bidhaa za thamani ya euro bilioni 10, zikiwemo kompyuta na kuzizuia meli za Urusi kuingia katika bandari za Umoja wa Ulaya.

Rais wa Halmashauri ya Ulaya Ursula von der Leyen amesema wanapanga kupiga marufuku uagizaji wa mafuta pia. Hayo ni kutokana na ushahidi wa kuuawa raia katika mji wa Ukraine uliokuwa umekamatwa na Warusi.

Tangazo hilo limekuja saa chache baada ya meya wa mji mkuu wa Ukraine Kyiv Vitali Klitschko kutoa wito wa kusitishwa mahusuano yote ya kibiashara na Urusi kwa kile alichokiita kuwa kusitisha usambaaji wa fedha za umwagaji damu."
Putini mavi kitambaani, hana pakutokea ameingia choo cha kike kwenye ile vita jamaa ndio kwanza wanafikiria kummaliza kabisa kabisa
 
Zifatazo ni kampuni zilizosepa urusi, Google, Amazon, Pepsi, Coca-Cola, Apple, Nike, Master card,visacard, Instagram, YouTube, Facebook, Boeing, Nissan, Toyota, hakuna kununua makaa ya Mawe,n.k hizo kampuni ziliajiri warusi wengi so wamekosa ajira, na capital flow imepungua so Urusi sio mungu lazima vikwazo vitamuathiri Sana tu
Nawashangaa watu kama nyinyi mnao ngangania eti vikwazo vita ihathiri Urusi tu vikwazo hivi vinaiathiri dunia nzima ikiwemo nchi yako bila shaka unaiona hali mtaani kwako ikoje.
 
Wazungu ni washenzi sana,
Badala ya kupigana wanaanzisha vikwazo
Ingieni uwanja wa mapambano mume ajulikane, sio kuleta habari za kike hapa matokeo yake munaumiza hata wasiohusika shwain nyie
 
Najiuliza kwann wanaweka vikwazo ikiwa wao ndo wanateseka?
Sababu yawanasiasa
Wanasiasa popote pale walipo ulimwenguni hawajali kuhusu wengine wanajiangalia wao kwanza nahio ndio sababu
Ila hivi vikwazo vipo kama msumeno yaani
 
Hao huondolewa na chaguzi zao wakizingua,Je,Putin ataondolewaje kama kifo hakitahusishwa?
Hakuna shida ikiwa atakaa mpaka atakapo kufa....ikiwa wahusika wameridhia

Tatizo linakuja kwa hao Nato na Mkuu wao...sisi tunaomba waondoke kabisa kama mtu anavyoondolewa na kifo
Maana hawana kheri na Dunia hii...
 
Yaani Google wasepe, Coca-Cola wasepe, Pepsi, Nike, Amazon, no visa card, master card, no kuuza mafuta no kuuza makaa ya mawe afu useme Urusi haitayumba,
Wapuuzi ndo wanasema Russia haitoyumba
 
Nenda kafuatilie tena!

Kuna nchi kadhaa zimeiwekea Russia vikwazo kupitia hayo maazimio ya Baraza la Umoja wa Mataifa. Mfano: New Zealand.

Katika hizo nchi ulizozitaja, ongeza zingine kama Japan, Korea Kusini, Singapore, Australia na Taiwan. Usisahau nchi kama UK na Norway ambazo si wanachama wa EU. Hizo ni miongoni mwa nchi zenye nguvu zaidi kiuchumi duniani.

Kufanya biashara na kuwa na upande ni vitu viwili tofauti. Zingatia pia limitations za hizo biashara zinazofanyika.
Nimefuatilia nilicho kiongea na kijua,UK na Norway ni washirika wa karibu wa US lazima wangefanya hivyo.

Haya zitoe hizo nchi then nchi ambazo hazijamwekea vikwazo Urusi zipo ngapi? Sababu nchi zilizomwekea vikwazo ni chache ukilinganisha ambazo hazijamwekea na hata wao wameweka vikwazo baadhi ya maeneo,lkn yale maeneo ambayo wanahisi wataumia mf gas, oil na mbolea hawajaweka vikwazo, still bado wana mwitaji Russia.

Hivi ushajiuliza kesho Russia akisema siuzi mbolea US, hivi hali ya upatikanaji chakula utakuwaje manake hii ya kununua gas kwa Ruble, oil na gas bei imapanda je siku akisema kama wao si uzi mbolea yangu na si US hata nchi nyingi za EU zinategemea mbolea kutoka Russia.

RUSSIA HAKWEPEKI, JUST IMAGINE KASEMA Oil na GAS kwa nchi ambazo ni maadui zitauzwa kwa Ruble, bei imepanda dunia nzima. Je akifanya kama walivyo mfanyia wao, akakataa kuwauzia mafuta na gasi unazani EU, US na dunia kwa ujumla hali itakuwaje.
 
Hebu niambie Urusi alivyo badilisha utaratibu wake wa kuuza gesi kwa hela yake, vipi kampuni za huko EU na US pamoja na wananchi wao wana hali gani?

US kaweka vikwazo kote ila kwenye mbolea ya Russia hajaweka vikwazo,ushajiuliza kwa nini?

Vipi kesho Russia akiweka vikwazo wananchi wake US watakuwa na hali gani?
Halafu hapo unazungumzia chakula sio YouTube, Facebook, Apple, Coca-Cola, Boeing,Nissan na Toyota ambazo sio muhimu kwele mwili wa binadamu,hizo ni luxury needs na si basics needs.
Alafu acha kukalili gesi nchi nyingi wanauza so mataifa mengi yanapanga kuanza kununua gesi sehemu nyingine hata kama gharama zitazidi....Leo ujerumani wanasema ifikapo mwezi huu mwisho itaacha kununua gesi na mafuta kutoka Russia maana yake itanunua kwengine....
 
Back
Top Bottom