Na kama ikiwapa, je nayo itatoa wapi pesa zaidi ya kuendelea kuwahudumia ikiwa sehemu kubwa ya mapato tayari imeshapigwa pini? Msamehe bure tu.Sasa kama wafanyakazi kwa maelfu wako jobless na familia zao hicho chakula watanunuaje?? Serikali itawapa free meals na pesa za matumizi mengine?
Sent using Jamii Forums mobile app