Marekani yatangaza vikwazo vikubwa dhidi ya ICC

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
441
Reaction score
611
Vikwazo hivyo vitaanza kutekelezwa baada ya siku 180, ili kutoa nafasi kwa mazungumzo ya kidiplomasia

Vikwazo hivyo vitazuia mali za mahakama hiyo zilizoko Marekani na kuwapiga marufuku raia wa Marekani kufanya miamala nayo.

Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio amesema hatua hiyo inalenga kuwalinda wanajeshi wa Marekani, akionya kuwa shughuli za mahakama hiyo zitadhoofishwa iwapo suluhu haitapatikana. Kwa sasa, Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC, haichunguzi raia yeyote wa Marekani.

Mahakama hiyo yenye makao yake mjini The Hague imevilaani vikwazo hivyo, ikisema ni shambulio dhidi ya utawala wa sheria na jaribio la kuzuia haki.

Tume ya Ulaya pia imeeleza wasiwasi na kuahidi kuendelea kuiunga mkono ICC. Hatua hiyo imekuja wakati wa mvutano kuhusu hati ya ICC ya kumkamata Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa tuhuma za uhalifu wa kivita Gaza.
 
Nchi saba za western Europe zimesema zitaendelea kuifund ICC
Marekani Trump jinga, but November atapigwa kiboko kizuri. Let wait and see
 
Vikwazo hivyo vitaanza kutekelezwa baada ya siku 180, ili kutoa nafasi kwa mazungumzo ya kidiplomasia

Vikwazo hivyo vitazuia mali za mahakama hiyo zilizoko Marekani na kuwapiga marufuku raia wa Marekani kufanya miamala nayo.

Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio amesema hatua hiyo inalenga kuwalinda wanajeshi wa Marekani, akionya kuwa shughuli za mahakama hiyo zitadhoofishwa iwapo suluhu haitapatikana. Kwa sasa, Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC, haichunguzi raia yeyote wa Marekani.

Mahakama hiyo yenye makao yake mjini The Hague imevilaani vikwazo hivyo, ikisema ni shambulio dhidi ya utawala wa sheria na jaribio la kuzuia haki.

Tume ya Ulaya pia imeeleza wasiwasi na kuahidi kuendelea kuiunga mkono ICC. Hatua hiyo imekuja wakati wa mvutano kuhusu hati ya ICC ya kumkamata Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa tuhuma za uhalifu wa kivita Gaza.
Jana nilikuwa nasoma hii habari.

Nikaona jinsi hii habari inavyoonesha unafiki na contradictions kati ya wanaharakati wa Tanzania wanaorukiarukia mambo kwa faida ya haraka ya kisiasa bila kuangalia mambo kwa undani.

Mfano ni Mange Kimambi.

Mange amekuwa akiwahamasisha Watanzania na jumuiya ya kimataifa kumshitaki Samia Suluhu Hassan na wapambe wake ICC. Samia ashitakiwe kwa mauaji ya maelfu ya Watanzania. Mpaka hapo hakuna tatizo, Mange ana haki zote kufanya hivyo.

Lakini pia, Mange amekuwa aki m lobby Donald Trump kwenye mambo mengi, kuanzia kuingilia siasa za Tanzania, mpaka kuingilia kwenye ugomvi wake na Meta. Bila kujali siasa za Donald Trump za uzandiki.

Na kwenye issue kama hii ya Donald Trump kuiwekea vikwazo ICC, ICC ambayo Mange Kimambi anaitegemea imshitaki Samia na anahamasisha watu ifanye hivyo, sijamsikia Mange akimshutumu Donald Trump kwa kuharibu mifumo ya watu kutafuta haki katika mahakama za kimataifa.

Hapa kuna mambo mawili inawezekana yakachangia.

1. Mange Kimambi ni dada aliyeanzia kwenye umbea, zaidi ya kupinga mauaji na uonevu wa wazi, hana a deep ideological grounding kusema huyu Trump ni wa mrengo huu na mimi ni wa mrengo huu, etc. Kifupi ni kama ameshazoea umbea na hoja za kudanga na moaka kwenye siasa ana siasa za kudanga.

2. Mange Kimambi anajua kuwa Trump ana matatizo mengi, ni mbaguzi wa rangi, ni mtu anayependa kudanganya, haaminiki, lakini anaona siasa ni mchezo wa kutumiana na hakuna haja ya kufanya principles ziingilie nafasi ya kumtymia Donald Trump kumbana Samia, ikiwezekana.

Unafikiri ni hoja gani kati ya hizo mbiki ina mashiko zaidi? Au kuna nyingine unayoona ina mashiko zaidi?

Mwingine ni huyu Tausi Likokola.

Amekuwa mstari wa mbele kwenda mpaka kwenye mabunge ya Marekani akiisema serikali ya Tanzania. Well and good, tunahitaji activists wengi zaidi wafanye hivyo.

Lakini hapa kwenye tweet yake, anamsifia Donald Trump kwa kuwatumia watu messages kwenye simu, akisema huo ni mfano mzuri wa Rais kuwasiliana na wananchi moja kwa moja. Bila kujali kwamba Rais kutuma ujumbe moja kwa moja kwa wananchi inaweza kuwa ni tatizo.

Nilijiuliza sana, ingekuwa Samia katuma ujumbe kwa Watanzania wote kusema amekamilisha mradi wa Bwawa la Nyerere, Tausi angefurahia?

Ni kwa nini activists wa Tanzania mpaka Marekani wanaona ni lazima kuwa chawa wa Trump?

Tumeshaziea uchawa mpaka umekaa kwenye damu? Tunausema uchawa Tanzania lakini hata tukifuka Marekani tunakuwa machawa tu?

Hii hapa tweet yake.

Screenshot_20261010_070155_X.jpg
 
Vikwazo hivyo vitaanza kutekelezwa baada ya siku 180, ili kutoa nafasi kwa mazungumzo ya kidiplomasia

Vikwazo hivyo vitazuia mali za mahakama hiyo zilizoko Marekani na kuwapiga marufuku raia wa Marekani kufanya miamala nayo.

Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio amesema hatua hiyo inalenga kuwalinda wanajeshi wa Marekani, akionya kuwa shughuli za mahakama hiyo zitadhoofishwa iwapo suluhu haitapatikana. Kwa sasa, Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC, haichunguzi raia yeyote wa Marekani.

Mahakama hiyo yenye makao yake mjini The Hague imevilaani vikwazo hivyo, ikisema ni shambulio dhidi ya utawala wa sheria na jaribio la kuzuia haki.

Tume ya Ulaya pia imeeleza wasiwasi na kuahidi kuendelea kuiunga mkono ICC. Hatua hiyo imekuja wakati wa mvutano kuhusu hati ya ICC ya kumkamata Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa tuhuma za uhalifu wa kivita Gaza.
Trump hataweza kuiua ICC, ataiacha kama alivyoikuta.
 
vipi akiwashawishi memberstates wakiafrika, south america na baadhi ya viunga hapo asia wajitoe.

kwa njia hii icc haidhoofiki?
 
hapana kutokana na pressure kutota kwa trump, mfano, kama vile madaktari wa cuba walifukwa katika nchi kadhaa hapo souh america kwa shinikizo la trump
Ishu kubwa ni baada Yao wao kuguswaa, wakati Putin anaanza kutafutwa, hatukusikia hizi kelele
 
  • Thanks
Reactions: Lax

ni kweli, ila kama marekani atasema aishambulie icc, ni suala la muda tu watabaki europe peke yao humo icc, angalia sakata la yule prosecutor aliyeondolewa "Khan" alipigwa vikwazo kwanza, hata email zikafungwa. Sasa hivi europe inahangaika kufuma mifumo ya kujitegemea kama china,
Sasa kwa nguvu ya marekani akiwafata kina samia, museven hapa africa tu nani watagoma kujiondoa huko icc?
 
Huo ndio uhalisia, ishu kubwa ni netanyahu. Wamefanya mambo ya ajabu, ila hawataki kuchunguzwa. Unafiki ni mkubwa mno, kwa haya yanayoendelea kwa SASA.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Vikwazo hivyo vitaanza kutekelezwa baada ya siku 180, ili kutoa nafasi kwa mazungumzo ya kidiplomasia

Vikwazo hivyo vitazuia mali za mahakama hiyo zilizoko Marekani na kuwapiga marufuku raia wa Marekani kufanya miamala nayo.

Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio amesema hatua hiyo inalenga kuwalinda wanajeshi wa Marekani, akionya kuwa shughuli za mahakama hiyo zitadhoofishwa iwapo suluhu haitapatikana. Kwa sasa, Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC, haichunguzi raia yeyote wa Marekani.

Mahakama hiyo yenye makao yake mjini The Hague imevilaani vikwazo hivyo, ikisema ni shambulio dhidi ya utawala wa sheria na jaribio la kuzuia haki.

Tume ya Ulaya pia imeeleza wasiwasi na kuahidi kuendelea kuiunga mkono ICC. Hatua hiyo imekuja wakati wa mvutano kuhusu hati ya ICC ya kumkamata Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa tuhuma za uhalifu wa kivita Gaza.
Naiona nchi nyingine chini ya Equator ikipasua kicheko katikati ya msiba
 
Back
Top Bottom