manning
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 5,093
- 11,948
Mkuu ni muda wa Russia kupaa kiuchumi , vikwazo vya kwenye Tv hivyo havina lolote
Mkuu ni muda wa Russia kupaa kiuchumi , vikwazo vya kwenye Tv hivyo havina lolote
EU kwa sasa itakabiliwa zaidi na mfumuko wa bei za bidhaa hasa kutokana na kuongezeka kwa gharama za nishati. Kumbuka kuwa tunazungumzia athari za vikwazo, na si athari za vita.EU wataumia kwa Kwa kiasi Fulani kwa kipimo kipi ulichotumia?
Dollar inatumika kwa ajili ya ubabe wa US na hata hili sakata la Ruble anaye lipinga ni US kuliko EU, sababu anajua Ruble ikitoboa nchi zinaachana na dollar na ndio maana US kaikumbatia sana Saudia ww unazani kwa nini? Saudi kamua Kashoggi why mpaka sasa, US hajawawekea vikwazo Saudi?
Wewe employer unafanya Nini kwny huu uzi wa majobless.Mnataka kuifanya hii Yanga na Simba. Kwamba kukiwa na Yanga basi pawe na Simba pia. mmekosa kazi za kufanya. Mnapenda sana kupiga soga n ubishi wa kijinga. Get something to do. Vita ya Ukraine na Urusi inakuhusu nini? Wewe mwenyewe una vita unatakiwa upigane hapa Tanzania. Unazikumbuka kura za kwenye vikapu uchaguzi wa 2020?
Wewe employer unafanya Nini kwny huu uzi wa majobless.
Wanaweka vikwazo halafu wananunua .... Ujinga kiwango Cha lami kabisa.Halmashauri Kuu ya Ulaya imependekeza leo vikwazo vipya dhidi ya Urusi, ikiwemo marufuku ya ununuzi wa makaa ya mawe.
Katika vikwazo vinavyopendekezwa, ambavyo mataifa ya Umoja wa Ulaya lazima yaidhinishe, vitazuia uagizaji wa bidhaa za Urusi zenye thamani ya euro bilioni 9 na uuzaji nchini Urusi wa bidhaa za thamani ya euro bilioni 10, zikiwemo kompyuta na kuzizuia meli za Urusi kuingia katika bandari za Umoja wa Ulaya.
Rais wa Halmashauri ya Ulaya Ursula von der Leyen amesema wanapanga kupiga marufuku uagizaji wa mafuta pia. Hayo ni kutokana na ushahidi wa kuuawa raia katika mji wa Ukraine uliokuwa umekamatwa na Warusi.
Tangazo hilo limekuja saa chache baada ya meya wa mji mkuu wa Ukraine Kyiv Vitali Klitschko kutoa wito wa kusitishwa mahusuano yote ya kibiashara na Urusi kwa kile alichokiita kuwa kusitisha usambaaji wa fedha za umwagaji damu."
Kwani vikwazo vyote hivyo wanaolalamika ni nani kama sio ulaya na Marekani!!??Yaani Google wasepe, Coca-Cola wasepe, Pepsi, Nike, Amazon, no visa card, master card, no kuuza mafuta no kuuza makaa ya mawe afu useme Urusi haitayumba,
[emoji16][emoji16][emoji16] mzee Kwa jinsi ulivyo na maneno mengi Kuna uwezekano hua unakunyer vile vimavi Kama vya mbuziUngesema ni uzi wetu kwenye heading, nisingekuja. Sumu uliyonayo inakuumiza wewe mwenyewe. Mie hata sikuwazi kabisa. Nijaze kichwa changu na wewe, ya nini? Nina mambo muhimu yakuweka kwenye ubongo wangu. Wala sitaki kukujua.
Mbona wewe comments zako unaonyesha kabisa upande uliopo ... !!?? Huo ni uogaSio kwamba yamekuwa hapa, huwa sipendi kujadili mambo na watu ambao wapo upande fulani.
ukizidiwa tu na hoja unakimbilia silaha yako ya mwisho ya vijineno vya kejeli,huwa hujisikii vibaya kutamka maneno ya hovyo hovyo kila wakati hata kama uko nyuma ya key board[emoji15][emoji16][emoji16][emoji16] mzee Kwa jinsi ulivyo na maneno mengi Kuna uwezekano hua unakunyer vile vimavi Kama vya mbuzi
Peleka kichaa huko,aache kujisikia aibu babu yenu anaye-advocate watu kutumia matundu yao ya kupitishia mbolea kupigana miti nije nione aibu Mimi.ukizidiwa tu na hoja unakimbilia silaha yako ya mwisho ya vijineno vya kejeli,huwa hujisikii vibaya kutamka maneno ya hovyo hovyo kila wakati hata kama uko nyuma ya key board[emoji15]
Kwanza ukumbuke Ulaya Ina nchi 45 ila Jumuiya ya ulaya Ina nchi 27. Iliyoweka vikwazo ni EU sio Europe. Na hata ao EU sio wote waliounga mkono sanctions.Nchi ambazo hazijaiwekea Russia vikwazo ni miongoni mwa nchi nyingi ambazo hazina uthibiti katika mifumo ya kiuchumi ya dunia. Kwa lugha nyingine, hazina ushawishi kiuchumi. Wakati, nyingi zilizoiwekea vikwazo ni zile zenye ushawishi mkubwa katika masuala ya kiuchumi duniani.
Maana yake ni kuwa, kipimo cha vikwazo kinakosa usawa baina ya nchi mbalimbali duniani. Kumbuka, awali niliuliza swali kuhusu kipimo ambacho kinaweza kutumika kuonesha pande za nchi za kimataifa katika mgogoro huu! In fact, kipimo chenye usawa kwa wote. Huu mjadala nimeujadili sana humu!
Biashara ni mtaa wenye njia mbili! Kwa kiingereza tunasema: "two way street". Kila upande unahitaji kitu kutoka upande mwingine. Russia haigawi gesi na mafuta bure, haitoi msaada, bali inauza ili ipate mapato kwaajili ya maendeleo ya nchi kwa ujumla. Hata kuendesha serikali tu kunahitaji fedha!
Russia ikigoma kuuza bidhaa zake kwa wateja wake muhimu kama EU automatically itakosa mapato. Maana yake, itaathirika kiuchumi. Russia inahitaji fedha kwaajili ya maendeleo ya nchi kama ambavyo wengine wanavyohitaji nishati.
Hata na wewe umekosa kazi za kufanya kuingia hapa .... Na upande ushajichagulia utakuwa ni mwehu kama Kwa comment zako haujajua upo upande(uwe na kumbukumbu yaa unayoandika) MyUkraine wa Korogwe. EMnataka kuifanya hii Yanga na Simba. Kwamba kukiwa na Yanga basi pawe na Simba pia. mmekosa kazi za kufanya. Mnapenda sana kupiga soga n ubishi wa kijinga. Get something to do. Vita ya Ukraine na Urusi inakuhusu nini? Wewe mwenyewe una vita unatakiwa upigane hapa Tanzania. Unazikumbuka kura za kwenye vikapu uchaguzi wa 2020?
Na wewe ni mmarekani wa Namtumbo 🚮Warusi wa Nkasi, buana🤣
Tikiti maji kabisa,nazungumzia bihasharaMbuzi kabisa hii,watu wanalia gharama za maisha,ikiwemo chakula kua juu wewe unazungumzia instagram kuondoka urusi? Kwaio apo ulipo unakula instagram.?
US angefunga Master card, visacard, Facebook, Tweeter, Instagram, Googled, YouTube,Apple, Android watu mtalia within 3daysAngewekewa US ingekuwa balaa lingine maana karibia mifumo ya fedha na makampuni mengi ya tech tunzotegemea ni ya kwao.
Ingekuwa balaa ambao wangetoboa na wa unionpay ila nao kama wanatumia.mfumo wa swift basi nao chaliiUS angefunga Master card, visacard, Facebook, Tweeter, Instagram, Googled, YouTube,Apple, Android watu mtalia within 3days
Hata EU inaumia zaidi nandio maana unaona hawajawa na msimamo mmoja kila mtu anaegemea upande wakeNimesema tangu awali, vikwazo vitaiathiri EU kwa kiasi fulani, ila Russia itaathirika zaidi long-term kuliko nchi zinazonunua nishati kwake.
Kuna nchi tayari zimekwisha anza kuwekeza katika nishati mbadala ili kupunguza uingizwaji wa gesi kutoka Russia. Maana yake ni kuwa, mahitaji ya nishati ya Russia kwa nchi hizo yanakwenda kupungua kuanzia kipindi hiki. Mchumi yeyote makini ataiona hiyo trend.
Russia haiwezi kupeleka nishati zaidi ya mahitaji, supply inapaswa kuendana na demand ya bidhaa. Italazimika kutafuta wateja wengine wa kuziba hiyo nafasi. Wapo, ila mazingira ya kimiundombinu ni hafifu kwa sasa. Facilitation ya miundombinu inahitaji fedha na muda.