EU yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Moscow

au umesahau umeandika nin kuhusu masoko ya gesi ya urus kuwa ni china na india , sasa ndo nimekuambia hayo hayo masoko ya urusi ndo patners wakubwa wa EU kweny biashara so anytime things can change , usiwaamin wachina hao wanamalengo sio wazee wa bwai bwai za kijinga
Kaka China na India wanaangalia wananchi wao na sera yao hawafungamani na upande wowote, so adui wa US na EU wao sio adui yao.Pili idadi ya India na China ni mara mbili ya EU ,so Russia bado hawaja poteza kitu na China na Russia hawajaanza kushirikiana, leo kwani US choko choko kwa Russia alianza zamani ili still bado China na Russia wapo sawa.

So brother kikwazo pekee kitacho muumiza Russia labda kuzuia hewa ya Oksijeni isiwepo kwenye anga la Russia, vinginevyo Russia ataendelea kusimama.
 
Wamezuia import from Russia yenye value ya Euro bil 9,, at the same time wamezuia export from EU to Russia yenye value ya Euro bil 10... Ilihali wasingefanya maamuzi hayo wangepata faida ya Euro bil 1.
Akili mavi hizi
Harafu kwenye media wanasema Russia lazima aumie
 
Kwanza ukumbuke Ulaya Ina nchi 45 ila Jumuiya ya ulaya Ina nchi 27. Iliyoweka vikwazo ni EU sio Europe. Na hata ao EU sio wote waliounga mkono sanctions.
wenye nguvu duniani ni hao 27 achana nahao wengine wanaokunya polini nawao inabidi mrisho mpoto aende akaendeshe operation ya nyumba ni choo
 
Kaka China na India wanaangalia wananchi wao na sera yao hawafungamani na upande wowote, so adui wa US na EU wao sio adui yao.Pili idadi ya India na China ni mara mbili ya EU ,so Russia bado hawaja poteza kitu na China na Russia hawajaanza kushirikiana, leo kwani US choko choko kwa Russia alianza zamani ili still bado China na Russia wapo sawa.

So brother kikwazo pekee kitacho muumiza Russia labda kuzuia hewa ya Oksijeni isiwepo kwenye anga la Russia, vinginevyo Russia ataendelea kusimama.
Wanachokifanya EU na Marekani... Wana ear/headphones masikioni wanajamba wakizani wengine hawasikii 🤣🤣🤣🤣
 
Usiamini kila unachosikia CNN na BBC ndugu. Wafanyabiashara ni washenzi sana. Unadhani EU nzima pia inatekeleza vikwazo kwa Mrusi?
Kwa hiyo tuamini tu habari za RT maanake wao ndio wanasema ukweli.
 
Kwa hiyo tuamini tu habari za RT maanake wao ndio wanasema ukweli.
Hivyo hivyo mwenzako alienda kufumania akamkuta mke wake kakunjwa akakataaa huyu sio mke wangu..mke wangu sio mlemavu ..... Ndio ushagongewa.
 
Back
Top Bottom