EU yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Moscow

Vikwazo vitaiumiza EU kwa kiasi fulani ila vitaiumiza Russia zaidi long-term. Kusema kuwa vikwazo havitoiumiza kabisa Russia si kweli.

Russia inahitaji kuuza nje hasa nishati ambapo mteja wake mkuu ni EU. Inahitaji mapato kutokana na mauzo hayo kwaajili ya kuendesha nchi kiuchumi. Hata hiyo issue ya "kununua gesi kwa hela yake" ambayo ilizua mjadala mwanzoni, haipo tena kwa sasa sababu itakwamisha mapato. Utaratibu wa sarafu ni uleule wa awali wa euro.
Naona una assume we unazani Russia hana solution ya kutatua changamoto zake, hivi hushajiuliza kwanini nchi nyingi kwenye sakata hili hawaja chagua upande na wapo tayari kufanya biashara na Russia.
 
Hata Saudia kakataa ombila Mabeberu kutaka kuongeza uzalishaji wa mafuta ili kupunguz gab la mafuta ya Russia…kama hata Saudia kaivimbia US jua muda si mrefu tutanunua petrol kwa elf 4 kwa lita
Naona una assume we unazani Russia hana solution ya kutatua changamoto zake, hivi hushajiuliza kwanini nchi nyingi kwenye sakata hili hawaja chagua upande na wapo tayari kufanya biashara na Russia.
 
Hii vita inadhihirisha jinsi Russia ilivyo na influence katika nyanja mbali mbali duniani.
Marekani alipoivamia Iraq, Afghanistan na Libya hizi tabu hazikutokea
Nadhani hata USA angewekewa vikwazo pasingekua na mabalaa ya kupanda kwa gharama za maisha kama ilivyo sasa
We all underestimated the influence of Russia in geopolitics, and now we are paying the price of our ignorance.
Ukiachana na influence ya Russia, fahamu kuwa Ukraine pia ni miongoni mwa nchi zinazozalisha chakula kwa kiasi kikubwa duniani hasa nafaka kama ngano. Kuwepo kwao vitani kunaathiri uzalishaji kwa kiasi kikubwa sana.

Kukosekana kwa uzalishaji wa kutosha wa chakula kutasababisha gharama za bidhaa zinazotokana na uzalishaji huo kupanda sokoni. Hapo hatujazungumzia masuala mengine kama nishati n.k.
 
Halmashauri Kuu ya Ulaya imependekeza leo vikwazo vipya dhidi ya Urusi, ikiwemo marufuku ya ununuzi wa makaa ya mawe.

Katika vikwazo vinavyopendekezwa, ambavyo mataifa ya Umoja wa Ulaya lazima yaidhinishe, vitazuia uagizaji wa bidhaa za Urusi zenye thamani ya euro bilioni 9 na uuzaji nchini Urusi wa bidhaa za thamani ya euro bilioni 10, zikiwemo kompyuta na kuzizuia meli za Urusi kuingia katika bandari za Umoja wa Ulaya.

Rais wa Halmashauri ya Ulaya Ursula von der Leyen amesema wanapanga kupiga marufuku uagizaji wa mafuta pia. Hayo ni kutokana na ushahidi wa kuuawa raia katika mji wa Ukraine uliokuwa umekamatwa na Warusi.

Tangazo hilo limekuja saa chache baada ya meya wa mji mkuu wa Ukraine Kyiv Vitali Klitschko kutoa wito wa kusitishwa mahusuano yote ya kibiashara na Urusi kwa kile alichokiita kuwa kusitisha usambaaji wa fedha za umwagaji damu."
Wataumiza sana wananchi wao siyo viongozi wao Wana marupurupu kibao wale kajapa nani ndiyo wataumia sana siyo Russia tu hata European yote or NATO yote hata USA sasa hivi kimeumana watu wanavuka mpaka kwenda Mexico kupata mafuta ya petrol na Diesel bei haishikiki uko USA watu wa kipato cha chini ndo wanaumia sana sijui kama Biden atarudi Tena Trump anaweza chukua tena akitia nia.
 
Hawa WAPUUZI walituaminisha yakwamba VIKWAZO walomuekea RUSSIA punde baada ya kuanza OP yake maallum pale UKRAINE nivyamoto sana nahavitachukua hata mwezi RUSSIA itakua kama ZIMBABWE
Ila naona wanaona havitoshi wanajifanya kuongeza dozee dozee
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Yaani Google wasepe, Coca-Cola wasepe, Pepsi, Nike, Amazon, no visa card, master card, no kuuza mafuta no kuuza makaa ya mawe afu useme Urusi haitayumba,
EU wawe matahira kuwawekea vikwazo hivi russia? Russia kuyumba ameshaanza kuyumba, kwanza una habari kuwa toka vita vianze mtu yoyote anayepinga maamuzi ya serikali russia juu ya uvamizi huu anawekwa ndani?
 
Naona una assume we unazani Russia hana solution ya kutatua changamoto zake, hivi hushajiuliza kwanini nchi nyingi kwenye sakata hili hawaja chagua upande na wapo tayari kufanya biashara na Russia.
Solution mojawapo ni kuendelea kuuza gesi na mafuta ambavyo ndivyo vyanzo vikubwa zaidi vya mapato ya Russia kwa mwaka.

Hilo swali la pili tumekwisha jadili sana humu. Kipimo cha nchi kuonesha upande ni kipi? Tumeona katika vyombo vikubwa vya maamuzi kimataifa kama UNGA, nchi nyingi zimeonesha kutokuwa upande wa Russia. Hata zile zisizo na upande wowote ni chache. Zile zinazoisapoti Russia ni chache zaidi.
 
Zifatazo ni kampuni zilizosepa urusi, Google, Amazon, Pepsi, Coca-Cola, Apple, Nike, Master card,visacard, Instagram, YouTube, Facebook, Boeing, Nissan, Toyota, hakuna kununua makaa ya Mawe,n.k hizo kampuni ziliajiri warusi wengi so wamekosa ajira, na capital flow imepungua so Urusi sio mungu lazima vikwazo vitamuathiri Sana tu
Akikubishia achana nae.
 
Solution mojawapo ni kuendelea kuuza gesi na mafuta ambavyo ndivyo vyanzo vikubwa zaidi vya mapato ya Russia kwa mwaka.

Hilo swali la pili tumekwisha jadili sana humu. Kipimo cha nchi kuonesha upande ni kipi? Tumeona katika vyombo vikubwa vya maamuzi kimataifa kama UNGA, nchi nyingi zimeonesha kutokuwa upande wa Russia. Hata zile zisizo na upande wowote ni chache. Zile zinazoisapoti Russia ni chache zaidi.
Hebu acha kudanganya mpaka sasa ni nchi za EU, US na Canada ndio walio chagua upande na hata hao EU sasa hivi kuna baadhi ya nchi wanasigana na wapo tayari kufanya biashara na Russia.
 
Vikwazo vitaiumiza EU kwa kiasi fulani ila vitaiumiza Russia zaidi long-term. Kusema kuwa vikwazo havitoiumiza kabisa Russia si kweli.

Russia inahitaji kuuza nje hasa nishati ambapo mteja wake mkuu ni EU. Inahitaji mapato kutokana na mauzo hayo kwaajili ya kuendesha nchi kiuchumi. Hata hiyo issue ya "kununua gesi kwa hela yake" ambayo ilizua mjadala mwanzoni, haipo tena kwa sasa sababu itakwamisha mapato. Utaratibu wa sarafu ni uleule wa awali wa euro.
Sasa hao hao EU wameanza kupalanganyika, wengine wamesema lazima waendelee kufanya biashara muhimu na urusi
 
Yaani Google wasepe, Coca-Cola wasepe, Pepsi, Nike, Amazon, no visa card, master card, no kuuza mafuta no kuuza makaa ya mawe afu useme Urusi haitayumba,
Mafuta na gesi bado wanauza Ulaya na Marekani, usidangayike ndg.
 
Hebu acha kudanganya mpaka sasa ni nchi za EU, US na Canada ndio walio chagua upande na hata hao EU sasa hivi kuna baadhi ya nchi wanasigana na wapo tayari kufanya biashara na Russia.
Nidanganye kwa sababu gani? Wewe hufuatilii maamuzi mbalimbali yanayofanywa na Baraza la Umoja wa Mataifa?

Kufanya biashara na kuchagua upande ni vitu viwili tofauti. Katika biashara, kila mmoja ama kila upande unahitaji cha mwenzake. Hata Russia, kuna nchi inaziita "unfriendly" lakini inahitaji mapato kutoka kwazo.
 
Nimefuatilia ila hamna kitu kama hiko ni US, Canada na EU na hao EU wanasigana,hata huyo US mwenyewe hajaweka vikwazo kwenye mbolea ya Urusi,bado anafanya biashara na Urusi.
 
Nimefuatilia ila hamna kitu kama hiko ni US, Canada na EU na hayo EU wanasigana,hata huyo US mwenyewe hajaweka vikwazo kwenye mbolea ya Urusi,bado anafanya biashara na Urusi.
Umeona unafiki eeh! Ujerumani kakataa kabisa kuachana na gesi ya Urusi pamoja na mafuta yake, anasema kuagiza gesi nje kwa meli ni ghali sana na hawana miundombinu ya kushushia na kuhifadhi gesi hiyo! Hivi vikwazo hata wao EU vinawaumiza. Hizi bei za mafuta hata kwao zingang'ata sana. Acha wauane
 
Halmashauri Kuu ya Ulaya imependekeza leo vikwazo vipya dhidi ya Urusi, ikiwemo marufuku ya ununuzi wa makaa ya mawe.

Katika vikwazo vinavyopendekezwa, ambavyo mataifa ya Umoja wa Ulaya lazima yaidhinishe, vitazuia uagizaji wa bidhaa za Urusi zenye thamani ya euro bilioni 9 na uuzaji nchini Urusi wa bidhaa za thamani ya euro bilioni 10, zikiwemo kompyuta na kuzizuia meli za Urusi kuingia katika bandari za Umoja wa Ulaya.

Rais wa Halmashauri ya Ulaya Ursula von der Leyen amesema wanapanga kupiga marufuku uagizaji wa mafuta pia. Hayo ni kutokana na ushahidi wa kuuawa raia katika mji wa Ukraine uliokuwa umekamatwa na Warusi.

Tangazo hilo limekuja saa chache baada ya meya wa mji mkuu wa Ukraine Kyiv Vitali Klitschko kutoa wito wa kusitishwa mahusuano yote ya kibiashara na Urusi kwa kile alichokiita kuwa kusitisha usambaaji wa fedha za umwagaji damu."
Naiona lita ya petroli ikielekea kufikia Tshs.5000 na team IST wakizidi kujimwambafy...
 
Sasa hao hao EU wameanza kupalanganyika, wengine wamesema lazima waendelee kufanya biashara muhimu na urusi
Kufanya biashara hasa za nishati kutaendelea kwa muda uliopo. That's a fact!

Wakati huohuo, wako kwenye mipango ya kuhamia katika nishati mbadala. Uingizwaji wa nishati kutoka Urusi utapungua sana hapo baadaye.
 
Back
Top Bottom