Nimefuatilia nilicho kiongea na kijua,UK na Norway ni washirika wa karibu wa US lazima wangefanya hivyo.
Haya zitoe hizo nchi then nchi ambazo hazijamwekea vikwazo Urusi zipo ngapi? Sababu nchi zilizomwekea vikwazo ni chache ukilinganisha ambazo hazijamwekea na hata wao wameweka vikwazo baadhi ya maeneo,lkn yale maeneo ambayo wanahisi wataumia mf gas, oil na mbolea hawajaweka vikwazo, still bado wana mwitaji Russia.
Hivi ushajiuliza kesho Russia akisema siuzi mbolea US, hivi hali ya upatikanaji chakula utakuwaje manake hii ya kununua gas kwa Ruble, oil na gas bei imapanda je siku akisema kama wao si uzi mbolea yangu na si US hata nchi nyingi za EU zinategemea mbolea kutoka Russia.
RUSSIA HAKWEPEKI, JUST IMAGINE KASEMA Oil na GAS kwa nchi ambazo ni maadui zitauzwa kwa Ruble, bei imepanda dunia nzima. Je akifanya kama walivyo mfanyia wao, akakataa kuwauzia mafuta na gasi unazani EU, US na dunia kwa ujumla hali itakuwaje.