etv Ndani ya TBC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

etv Ndani ya TBC

Discussion in 'Entertainment' started by Chimunguru, Apr 15, 2010.

 1. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Wadau nimeweka attachment hapo ya Package, jinsi wale wachina walioingia ubia na TBC wanavyokuja kiania yao. Fees yao ilikuipata decoder kuna bei mbili. ukilipa elfu sabini, wanakupa decoder na vifaa vyote mkononi fundi umtafute wewe wa kukufungia, na hata ikiharibika matengenezo yake unagharamia kwa kuwalipa mafundi toka TBC. pia wanakupa antena ndogo ya ndani na month subscription ni tshs 9000 tu kwa mwezi.
  Bei ya pili ni ths 127,000 wanakupa decoder na fundi wao anakuja kukufungia hadi home kwako, antena bomba inafungwa nje ya nyumba, ikiharibika unawapigia simu wanakuja kukurekebishia home kwako free of charge. malipo kwa mwezi ni ile ile tshs 9000/-.
  Habari nyingine ni kwamba ndani ya hiyo decoder kuna TBC2 ambayo nadhani itakuwa launched very soon, na hiyo ndo itakuwa inaonesha WORLD CUP. Inamaanisha kwamba kama hutakuwa na hii decoder hutaweza ona Kombe la dunia kwenye channel yeyote ya hapa home unless uwe na DSTV. Nimeipenda hii sababu sie wadau wa etv sasa twaweza ifaidi upyaaa though kwa kulipiaa. kwa ufupi itakuwa na channel kama 29 hipi. KITU KIPO LIVE WADAU...........
   

  Attached Files:

  • TBC.pdf
   File size:
   238.4 KB
   Views:
   257
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ni nzuri sana hiyo...Faidini watu wa Dar!...huku Mikoani tuko tuko nchi ya jirani!
   
 3. Amanda

  Amanda Senior Member

  #3
  Apr 15, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hiyo attachment mbona ina bei moja yaani Tshs 70,000? 127,000/= iko wp mkuu. ikiwezekana tuwekee tuione.
   
 4. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #4
  Apr 15, 2010
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni poa tu, DSTV wemetunyonya VYA KUTOSHA jamani, Hongera ROSE MUHANDO.
   
 5. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,867
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180

  Kandambili umeamkaje leo ndugu yangu??? HONGERA ROSE MUHANDO au una maana HONGERA TIDO MUHANDO?????
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Haijawekwa hapo kwenye hiyo package, lkn hapo chini ya attachment kuna namba za simu. niliwapigia asubuhi hii na wakanipa hizo details nyingine. kama vipi AMANDA ruka nao hewani watakupa full details
   
 7. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 353
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sijakusoma Kandambili, wampongeza Rose Muhando kwa lipi hasa hapa? Clarification pliiz
   
 8. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Hii imekaa sawa, DSTV wanatunyonya sana!!!
   
 9. Amanda

  Amanda Senior Member

  #9
  Apr 15, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Thanks Chimunguru, Nimeruka nao nimepata same details. Dstv wamekwisha.
   
 10. g

  gwijule010 Member

  #10
  Apr 15, 2010
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii imekaa sawa, kweli Dstv watapata mshindani
   
 11. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hilo nalo nenooooooooo, ila wa mikoani itakuaje mkuuuu, wadadisi hao wachina kaka tujue zaidi.
   
 12. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hilo nalo nenooooooooo, ila wa mikoani itakuaje mkuuuu, wadadisi hao wachina kaka tujue zaidi.
   
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nimewapigia mbona hawana link na TBC?? wanasema wenyewe ni independent company?? isije ikawa kama GTV
   
 14. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,887
  Likes Received: 20,974
  Trophy Points: 280
  hamna channel yoyote ya maana kwenye package yao,kama unaafford dstv afadhali uendelee na dstv tu.
  vilevile world cup huwa inaonyeshwa tv za bure world wide,hii haina maana kuwa za kulipia hawaonyeshi,bali hawawezi ku-monopoly broadcast ya world cup coverage,lkn ninavyoijua tz anything is possible.
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Hii nzuri, nkirudi home naipachika. tatizo ni watu wa mikoani itakuwaje manake kama wanaishi kwa passport na visa. Tido akiwahi kuwasaidia kabla ya kombe la dunia itakuwa safi!
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  njoo Yaeda mkuu kitu kinakamata bila hata ya decoder
   
 17. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu nimekukubali, nimepiga hii namba iliyo kwenye advertise na akapokea mdada, kaniambia Moro kitu kinaweza kupatikana ninachotakiwa ni kuwalipa hio 127,000/= kisha waje kunifungia kitu nipate uhondo.Hii naiweka SUA net ili washkaji waipate.Thanx.
   
 18. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Bye bye Shelukindo Baraka... Bye bye Samallu Furaha...
   
 19. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Idhaa zimeingiliana mama, ya ndani iko nje na ya nje iko ndani! Jamaa inaonekana anamzimia sana dada Rose,.....tehetehetehe...mapenzi kikohozi...
   
 20. M

  MANGEREFU Member

  #20
  Apr 15, 2010
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Afadhali maana DSTV kweli ni ghali! Hivi fibre optic haisadii kupunguza gharama za akina DSTV?
   
Loading...