Story of Change Namna ya kutengeneza kipato chako bila kujali elimu uliyo nayo. Any one can do this

Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
8,612
2,000
Huu uzi yawezekana ukawa mrefu kuusoma, ila naamini kuna mtu utamsaidia sana endapo atausoma mpaka mwisho. Kabla sijashare nanyi kusudio langu la huu uzi. Naomba niwape story ndogo kuhusiana na hiki kitabu kinachoenda kwa title ya "Who moved my cheese" by Spencer Johnson.

Hiki kitabu kinawahusu classmates ambao hawakuwa wameonana kwa miaka mingi after graduating. Walipokuja kukutana (ilikuwa kama reunion). Wakawa wanaulizana habari zao, nani yupo wapi,anafanya nini, maisha kwa ujumla yanaendaje kwa kila mmoja n.k. Katika story za hapa na pale, mmoja kati ya classmates ndio aliwasimulia wenzake kuhusu hii story. Katika hii story kulikuwa na viumbe wadogo sana jamii ya watu, lakini pia kulikuwa na panya. Hawa watu wafupi walikuwa na tabia ya kuamka asubuhi kwenda sehemu ambayo ilikuwa na amount kubwa sana ya cheese, wakifika hula, hupumzika, kisha jioni wanarudi nyumbani. Walifanya hivyo kwa muda mrefu sana, na mara zote kila wakienda walikuwa wakipishana na panya kwenye korido za ilo eneo ambae nae alikuwa anafata hiyo cheese. Kuna siku moja asubuhi, walifika lile eneo kama kawaida, ila hawakukuta hiyo cheese. Walilia na kulalamima sana huku wakiuliza nani kachukua cheese zao? Walishajimilikisha kuwa ni za kwao, maana kwa miaka mingi walikuwa wanakula hapo, japo sio wao walioziweka na hawakujua zilitoka wapi.

Walilia siku nzima, then jioni wakarudi nyumbani . Kesho yake wakarudi pale pale wakitegemea labda aliyechukua cheese atakuwa amezirudisha, lakini hawakuzikuta. Wakashinda na njaa siku ya pili. Kesho yake wakarudi tena, lakini hazikuwepo. Afya ikaanza kuzorota. Ukweli ni kwamba hakuna aliyekuwa amechukua zile cheese, ila zilikuwa zinapungua taratibu kadiri walivyokuwa wakila, ila wao hawakutilia maanani ilo swala.

Baada ya kupita week kadhaa bila cheese zao kurudishwa huku wakila vitu vya ajabu ajabu ili wasife, mmoja wao akamwambia mwenzie wakatafute cheese sehemu nyingine maana pale hakuna tena dalili, yule mwingine akagoma, akasema zitarudi tu wasubirie. Wakati wanatafakari zaidi, wakagundua katika kipindi chote hicho wanasubiria hawakuwahi kumuona tena yule panya. Ila baada ya ubishani sana, mmoja akaamua kuondoka kwenda kutafuta cheese sehemu nyingine, mwingine akabaki kuendelea kusubiria zirudishwe.

Yule aliyeondoka, alipata tabu mwanzoni, lakini atimae alibahatika kupata cheese nyingi sana sehemu nyingine ya mbali. Katika ilo eneo akamkuta yule panya ashakuwa mwenyeji. Panya akamuuliza mbona ametumia muda mrefu sana kuja eneo jipya, inamaana hawakujua kama kule ziliisha? Inamaana hawakuona zinaelekea kuisha au siku moja zingeisha? Pia akataka kujua mbona yuko peke yake, mwenzie yuko wapi.

Ni kitabu kizuri na kina kurasa chache sana, ndani ya nusu saa unakuwa umekimaliza. Kitafute na hutojutia kukisoma, kitakupa mitazamo mipya katika baadhi ya vitu. Huwa nakirudia kila nikijisikia.

Katika haya maisha kila mmoja wetu ana cheese yake, ambayo ni tumaini la kesho yake inaweza kuwa kazi, biashara, fursa n.k.. Hivi vitu vipo lakini sio permanent, kuna siku vinaweza kusitishwa au kubadilika kwa aina yoyote. Pakitokea mabadiliko kwenye maisha yetu, inabidi kuyapokea mabadiliko na kutafuta namna gani ya kuendana na hali mpya.

Kuna mtu amemaliza chuo miaka mingi tu, yupo jobless mpaka leo, bado anahope kupata ajira ili aweze kutimiza plans zake. Kuna mtu alisimamishwa kazi muda mrefu tu, akaambiwa ataitwa tena, mpaka leo bado anarudi pale pale kuulizia ile nafasi yake still hoping siku moja atarejeshwa. HAVING HOPE GIVES US STRENGTH, BUT FALSE HOPE CAN DRAG YOU BACK AND RUIN YOUR FUTURE. We must learn to adapt.

°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°

Sasa twende kwenye main theme ya huu uzi. Nitakupa biashara chache ambazo hazihitaji uwe na elimu ili uzifanye, bali utayari wako tu.

Unajua kila mmoja anaweza kufanya biashara, ila ni namna gani tufanye biashara zetu ndio huwa changamoto. Watu wengi huwa na biashara zao (bidhaa zao) then huanza kutafuta wateja kwa ajili ya hizo bidhaa. DON'T DO THIS. For the longterm success katika biashara yako, hata kama faida ni ndogo, jifunze KUTAFUTA BIDHAA KWA AJILI YA WATEJA WAKO. Tambua mahitaji ya wanaokuzunguka, kisha wasogezee mahitaji yao. Anyway, twende kwenye list ya biashara nilizokuletea:

1. T.R.A ONLINE AUCTION.

Mamlaka ya mapato huwa wanaendesha mnada kupitia mtandaoni kwa bidhaa nyingi sana. Bidhaa zipo mikoa tofauti tofauti, unaweza kuanza kwa kuchagua bidhaa zilizopo kwenye mkoa wako ili kupunguza gharama. Ila kadri utavyopata uzoefu, waweza point bidhaa iliyomkoa wowote. Bidhaa ambazo binafsi nazipendekeza basi ni scrapper za magari, au yale magari yaliyopata ajari. Kwa upande wa scrapper opening bid inaweza kuwa elfu sitini mpaka laki mbili (60,000/= -200,000/=). Opening bid inawekwa na T.R.A, mnada ukifunguliwa mnaaza kupanda dau, mshindi atafata maelekezo namna ya kupata mali yake.

Katika hizi scrapper, unaweza kuta gari lina kati ya 1000kg au 1400kg (mengi yanacheza hapo kutegemeana na aina ya gari). Ukishalichukua ili gari, liwe scrapper au I.T zilizopata ajari, sishauri ulitengeneze ili liingie road (ila hapa utaangalia na matakwa yako plus conditions za gari), nenda nalo gereji. Ukifika nalo pale, wale ni wazoefu tayari, kuna watakaokufata ili kuangalia vipuli ambavyo ni vizima. Kama vioo vipo vizuri utauza, rim utauza, vitasa vya milango utauza, waya za ndani zinazosupply umeme kwenye gari utauza, injini kama ipo vizuri utauza, ule unga unga wa kwenye exos pia utauza, viti n.k. Baada ya hayo makorokoro yote kuwa yameisha, watakuja wale wanaonunua vyuma chakavu. Kwa uzoefu wangu, gari body lote wanakufanyia ni 650/= kwa kilo. Mara nyingi ukishatoa vitu vingine, body pekee linaweza kuwa na 800kg au 900kg ambalo watalikata na kupima, then utapewa mkwanja wako, unarudi home kusubiria mnada mwingine.

UGUMU WA BIASHARA HII:

(a). Kwenye kipindi cha mnada, ushindani ni mkubwa, unatakiwa uwe active hasa kipindi mnada unakaribia kufungwa.

(b). Uchaguzi wa bidhaa. Sio kila scrapper itakulipa, kuna zingine hazina soko au zimechoka sana kiasi kwamba hautopata cha kuuza kutoka ndani ya gari zaidi ya kuuza gari yote kama scrapper. Hapa ni vizuri ukapata fundi magari au mtu wa gereji mzoefu ili mshirikishane mawazo.

(c). Kutokujua ni muda gani uachane na bidhaa. Kutokana na ushindani, bidhaa inaweza kupanda bei sana. Sasa baada ya kusort bidhaa zako utakazozipigania, yakufaa ujue dau lako la mwisho kwenye kila bidhaa, ili ikitokea bei imepitiliza, basi uachane nazo.

(d). Umbali na soko lako. Inabidi ujue, ukishapata bidhaa yako/zako, kuna usafirishaji hadi eneo la kuuzia mfano gereji. Hizi gharama zote yafaa uzitilie maanani ili uweze kuplan biashara yako vizuri.2. BANDA LA KUONESHA MPIRA (BANDA UMIZA).

Huitaji kuwa na degree ili kuendesha biashara hii, bali unahitaji discipline kama biashara zote zinavyohitaji. Najua sisi kama vijana uwezo wa kutafuta hela tunao, ila ugumu unakuja kwenye kumaintain kipato. Katika biashara hii mahitaji yake ni

✓ Tv flast screen mbili za inch 43, pia ukiwa na ndogo ya ziada ya inch 32 itasaidia baadhi ya siku.
✓ Ving'amuzi vitatu, Dstv mbili, Azam 1
✓ Stablizer 1 ya 2000w
✓Generator 1 plus vitu vingine vidogo vidogo kama cables.

Hapa na assume eneo la biashara ( banda) tayari lipo.

Hii biashara ili upate faida nzuri, inafaa uwe mtu wa mpira (kama unaliendesha wewe). Ila kama kuna mtu analiendesha kwa niaba yako, basi hakikisha malipo na timing zote za malipo unazifanya wewe.

Kwa kawaida ni nadra sana kwa mechi za bongo (Simba na Yanga) kugongana, ndio maana Azam 1 inatosha, but incase ikitokea zimegongana, azima tu kwa jirani, ila wakati wa kumrudishia, mpatie na bakshish kidogo ili next time akupatie tena. Bei ya kifurushi cha Azam ni 20,000/= no bonus no manouvre.

Dstv wao gharama zao ziko juu kimtindo, ila wapo fair sana. Ili uone ligi pendwa ya England itabidi ulipie kifurushi cha compact kwa 51,000/= kwa kila king'amuzi.

Na upande wa UEFA, inabidi ulipie compact plus kwa 91,000/= kwa kila king'amuzi

Ila Dstv wanakitu kinaitwa Extra view service. Hapa unaunganisha ving'amuzi viwili kwenye account yako moja kwenye data base ya Multchoice, then ukilipia king'amuzi kimoja 51,000/= ili uone EPL, basi kile king'amuzi cha pili utalipia only 28,600/=, then nacho utaweza kuona EPL. Na endapo utalipia 91,000/= compact plus ili uone UEFA, basi king'amuzi cha pili utalipia only 28,600/= japo napo utaweza kuona channels zote za Compact plus.

Hapo kwa namna moja tayari umeshaminimize costs.

Lakini pia Dstv wako fair kwenye offers, unatakiwa kuwa makini na msg zao wanazokutumia. Mfano kama kifurushi chako kilichoisha ni compact, Wanaweza kukwambia, lipia compact kabla ya tareh fulani, then mwezi ujao tutakupa free package ya compact plus. Au let say ukiwa na mtindo wa kuunga kifurushi kabla hiki kingine hakija kata, basi kuna mwezi watakuja kukupa offer ya mwezi mmona bure wa kifurushi cha juu yake.

Pia wanamtindo wa kutuma emails zenye questionnaire, then uwape ratings kutokana na huduma zao unavyoziona. Rating zako zikiwa nzuri, huwa wana offer, na zikiwa mbaya watakupigia simu ili kujua why umewarate vibaya. Kuna siku niliwapa rate 10/10 kwenye video quality, alaf 4/10 kwenye overall wakanipigia kujua why. Nikawapa malalamiko yangu ambayo yalitokea miezi 6 nyuma. Wakaangalia kwenye system then walipojua kosa lao, wakaniwekea amount yangu iliyokatwaga kipindi hicho, then nikaitumia mwezi uliofata.

HOW TO MAXIMIZE PROFIT

Running costs za biashara hii nyingi zipo constant, variation ni ndogo.

Utalipia kodi ya eneo, umeme n.k , ila timing ya kulipia vifurushi ndio itakusaidia kumaximize profit. But HOW??

Imagine kifurushi chako kimekata, alaf wiki hiyo yote kuna mechi za kimataifa ambazo siku hizi hazina wadau. Basi acha king'amuzi kitulie. Hakuna haja ya kulipia leo, wakati hautoingiza hela mpaka after international week. Subiria ile siku Epl inarudi, then lipia asubuhi yake. Hii itakusaidia kusogeza mbele siku ya kifurushi kukata (sijui kama nimeeleweka?).

Issue nyingine, kabla ya ligi kuanza, huwa inaanza UEFA SUPERCUP, then baada ya hapo unafata mwezi mzima wa EPL (August), then ndio UEFA itakuja September. Ili uoneshe fainal ya Uefa Supercup, lazima ulipie 91,000/= kwa ajili ya compact plus. Sasa badala ya kulipia hela hiyo, wewe lipia 51,000/= ya compact siku ile ile ya mechi, baada ya kulipia Dstv huwa wanakupa offer ya kuangalia kifurushi cha juu kwa wiki moja, then utarudi kwenye kifurushi chako ulicholipia. So, utajikuta unaona channels za compact plus ikiwemo hiyo fainal, then after one week watakata channels zao na kukuachia channels za compact, haitakudhuru maana utaonesha EPL bila wasi, ila utakuwa umesave (91,000/= toa 51,000/= unapata 40,000/=) kwenye biashara hii ni kubwa sana. Money Saved is equal to Money Earned, maana haijapotea.

Naomba nipumzike for now. Nikirudi nitamaliza na changamoto katika hii biashara, namna ya kutarget area of bussines n.k kisha nitaendelea na biashara zingine 3 kuhitimisha ili darasa.

°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°

Napenda kuwakumbusha, biashara zimegawanyika kwenye makundi mawili, kuna zile zenye kuleta sifa, na zile zenye kuleta pesa. Hizi zenye kuleta sifa, huwa zinapendwa sana na wale waliobahatika kufika chuo au kuwa na elimu. Anakuwa na mtaji plus wazo la biashara kichwani then anatafuta frame karibu na barabara ili kupata wateja wa bidhaa zake. Hawa wapo tayari wakae kwenye duka kali, ambalo anaweza pitisha hata siku 2 au 3 hajapata mteja yeyote, ila bado atavimba mtaani kuwa anamiliki duka kali.

Ila biashara zenye kuleta pesa, hizi hupendwa na wale school drop out, form 4 leavers au walioshia primary. Hawa hawanaga aibu, wapo tayari kuendana na mazingira ili watengeneze kipato, anaweza kuona wateja wanaenda umbali mrefu ili kupata huduma fulani ambayo inaweza ikawa inaleta faida ya jero au buku kwa mtu mmoja, ila wapo wengi wanaohitaji, let say kusafisha kucha,kuosha miguu na kupaka rangi. Unaweza ukamkuta yupo uswahili na kibanda chake cha kutengeneza kucha, ofisi haina vioo wala A.C ila faida kwa kila mteja ni jero mpaka buku, per day anauhakika wa kulaza faida ya elfu 20 mpaka 30.

Anyway, Nitakuwa available kwa maswali (ila thread nitaiendeleza usiku au kesho) ,So kama kuna swali, unaweza uliza, sehemu ambayo sijaeleweka pia niulizeni. Lengo ni kueleweka ili tusaidiane.

Wasalaam,

Analyse
 
Upvote 5

smartweb

Senior Member
Nov 5, 2016
163
250

Attachments

  • File size
    488.9 KB
    Views
    44

Degree holder

Member
Feb 13, 2021
8
45

Nashukuru kwa Uzi mzuri kaka, umenipa wazo bora kabisa Mungu akubariki. Naomba tuwasiliane no yangu 0744670172.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom