UBORA wa matumizi ya king'amuzi cha DSTV vs Ving'amuzi vingine

Zemanda

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
5,707
11,957
Habarini wadau.

Katika jambo ambalo huwa naliona ni changamoto kwangu ni kutumia Ving'amuzi vya startimes, Azam, ting, sijui na vinginevyo ambavyo sijui majina yake vema. Hivi vingamuzi vinanipa wakati mgumu kuvitumia kwasababu zifuatazo.

Ndani ya hivi Ving'amuzi kumerundikwa channels ambazo ni kama zimewekwa kujaza tu list na sio kwa standards za ubora wa programs walizonazo.

Hivi Ving'amuzi vimetengenezwa kwa technology ya bora liende sana. Vina ubora wa chini, software zake hazina ubora na appearance yake si ya ubunifu mzuri kiasi kwamba kwa mimi binafsi ninapobonyeza remote ili kunavigate kile ninachokiona kwenye screen huwa kinanichefua kama sio kunifedhehesha. Huwezi fananisha na DSTV decoders ambao wameweka software yenye appearance nzuri na ya kuvutia mtumiaji as if una navigate computer software ya bank.

Imagine umenunua TV yako ya kisasa ya technology latest halafu unafunga king'amuzi cha startimes au Azam kutumia hiyo tv aisee hadi aibu kwa wageni na pia kwa wewe mwenyewe kutumia raha hakuna. Quality ya rangi sio nzuri hadi unaweza hisi TV set yako inashida ya ubora wa kioo ila shida ni ubora wa king'amuzi.

Kuna swala la ile Media Guide ambayo itakupa list ya channels na programs zake na ratiba zao kwa siku, wiki na hata mwezi mzima. Kiasi kwamba ukiwa unataka kujua kipindi fulani ni lini basi unaweza kujua kwa urahisi sana na kuweza kupanga ratiba zako ujue ni muda upi utaweza kutazamq kipindi fulani.

Lakini pia ukitazama king'amuzi kama cha DSTV wanakupa options nyingi sana za ufuatiliaji wa vipindi katika program zao na channels ukilinganisha na hivi Ving'amuzi vingine ambavyo vimeweka hizi options ila ni geresha maana hazifunction. Mfano cheki Startimes au Azam ukitaka kujua kesho watakuwekea movie gani utaona hakuna kitu inaonyesha itakupa ujumbe no information.

Ila kwenye DSTV nikitaka kujua hata keshokutwa kuna kipindi gani saa gani, nitaona details zote wazi wazi kuanzia kipindi, lisaa kitakachoonyeshwa na details za kipindi jambo ambalo huwezi pata kwenye hizi Ving'amuzi wengine.

Tukija kwenye features na options za DSTV aisee ni zaidi ya amazing na zinarudisha thamani ya pesa uliyowekeza especially ukinunua king'amuzi kile cha Explorer ambacho kina vitu vingi na very advance kwa technology ya Media. Kwa kifupi ukiwa mfuatiliaji wa vipindi vya television ni rahisi sana kuwa mateka wa DSTV kutokana na list ya vipindi vyao na upangiliaji wao.

Changamoto nadhani ipo katika bei ya vifurushi ila aisee ukijibana ukalipia hautajutia kwakweli.
 
Bei mbona kawaida tu 76000 unapata na offer ya game za EPL buree mwezii mzima baada ya hapo lipa 56000 utapata movie za kutosha na ligi karibu zote kama unahitaji mbwembwe Zaid lipa 99000 ufaidi ulimwengu ukiona haitoshi lipa 150000 ndio uta faida zaid hata Cha chin kipo pia 34000 una enjoy maisha na movie na EPL game moja moja wale wapenzii wa mpira na movie najua wamenielewa
 
Habarini wadau.

Katika jambo ambalo huwa naliona ni changamoto kwangu ni kutumia Ving'amuzi vya startimes, Azam, ting, sijui na vinginevyo ambavyo sijui majina yake vema. Hivi vingamuzi vinanipa wakati mgumu kuvitumia kwasababu zifuatazo.

Ndani ya hivi Ving'amuzi kumerundikwa channels ambazo ni kama zimewekwa kujaza tu list na sio kwa standards za ubora wa programs walizonazo.

Hivi Ving'amuzi vimetengenezwa kwa technology ya bora liende sana. Vina ubora wa chini, software zake hazina ubora na appearance yake si ya ubunifu mzuri kiasi kwamba kwa mimi binafsi ninapobonyeza remote ili kunavigate kile ninachokiona kwenye screen huwa kinanichefua kama sio kunifedhehesha. Huwezi fananisha na DSTV decoders ambao wameweka software yenye appearance nzuri na ya kuvutia mtumiaji as if una navigate computer software ya bank.

Imagine umenunua TV yako ya kisasa ya technology latest halafu unafunga king'amuzi cha startimes au Azam kutumia hiyo tv aisee hadi aibu kwa wageni na pia kwa wewe mwenyewe kutumia raha hakuna. Quality ya rangi sio nzuri hadi unaweza hisi TV set yako inashida ya ubora wa kioo ila shida ni ubora wa king'amuzi.

Kuna swala la ile Media Guide ambayo itakupa list ya channels na programs zake na ratiba zao kwa siku, wiki na hata mwezi mzima. Kiasi kwamba ukiwa unataka kujua kipindi fulani ni lini basi unaweza kujua kwa urahisi sana na kuweza kupanga ratiba zako ujue ni muda upi utaweza kutazamq kipindi fulani.

Lakini pia ukitazama king'amuzi kama cha DSTV wanakupa options nyingi sana za ufuatiliaji wa vipindi katika program zao na channels ukilinganisha na hivi Ving'amuzi vingine ambavyo vimeweka hizi options ila ni geresha maana hazifunction. Mfano cheki Startimes au Azam ukitaka kujua kesho watakuwekea movie gani utaona hakuna kitu inaonyesha itakupa ujumbe no information.

Ila kwenye DSTV nikitaka kujua hata keshokutwa kuna kipindi gani saa gani, nitaona details zote wazi wazi kuanzia kipindi, lisaa kitakachoonyeshwa na details za kipindi jambo ambalo huwezi pata kwenye hizi Ving'amuzi wengine.

Tukija kwenye features na options za DSTV aisee ni zaidi ya amazing na zinarudisha thamani ya pesa uliyowekeza especially ukinunua king'amuzi kile cha Explorer ambacho kina vitu vingi na very advance kwa technology ya Media. Kwa kifupi ukiwa mfuatiliaji wa vipindi vya television ni rahisi sana kuwa mateka wa DSTV kutokana na list ya vipindi vyao na upangiliaji wao.

Changamoto nadhani ipo katika bei ya vifurushi ila aisee ukijibana ukalipia hautajutia kwakweli.
Upo sahihi sna mkuu
 
Zaidi ya DSTV hakuna,labda Azam ila kwenye mechi za ligi kuu tu basi
 
Uzuri wa DStv hata kama sijalipia Kuna app ambayo naweza kupata update za match na matokeo hata kama Sina bundle kwenye sim na uwezo wa kujua ratiba za match na matokeo Yan app ipo ndan ya king'amuzi Azam wanasafari ndefu sana na siku DStv wakapewa mamlaka ya kurusha ligi ya bongo azam wameisha itabaki sinema zetu tu
 
Habarini wadau.

Katika jambo ambalo huwa naliona ni changamoto kwangu ni kutumia Ving'amuzi vya startimes, Azam, ting, sijui na vinginevyo ambavyo sijui majina yake vema. Hivi vingamuzi vinanipa wakati mgumu kuvitumia kwasababu zifuatazo.

Ndani ya hivi Ving'amuzi kumerundikwa channels ambazo ni kama zimewekwa kujaza tu list na sio kwa standards za ubora wa programs walizonazo.

Hivi Ving'amuzi vimetengenezwa kwa technology ya bora liende sana. Vina ubora wa chini, software zake hazina ubora na appearance yake si ya ubunifu mzuri kiasi kwamba kwa mimi binafsi ninapobonyeza remote ili kunavigate kile ninachokiona kwenye screen huwa kinanichefua kama sio kunifedhehesha. Huwezi fananisha na DSTV decoders ambao wameweka software yenye appearance nzuri na ya kuvutia mtumiaji as if una navigate computer software ya bank.

Imagine umenunua TV yako ya kisasa ya technology latest halafu unafunga king'amuzi cha startimes au Azam kutumia hiyo tv aisee hadi aibu kwa wageni na pia kwa wewe mwenyewe kutumia raha hakuna. Quality ya rangi sio nzuri hadi unaweza hisi TV set yako inashida ya ubora wa kioo ila shida ni ubora wa king'amuzi.

Kuna swala la ile Media Guide ambayo itakupa list ya channels na programs zake na ratiba zao kwa siku, wiki na hata mwezi mzima. Kiasi kwamba ukiwa unataka kujua kipindi fulani ni lini basi unaweza kujua kwa urahisi sana na kuweza kupanga ratiba zako ujue ni muda upi utaweza kutazamq kipindi fulani.

Lakini pia ukitazama king'amuzi kama cha DSTV wanakupa options nyingi sana za ufuatiliaji wa vipindi katika program zao na channels ukilinganisha na hivi Ving'amuzi vingine ambavyo vimeweka hizi options ila ni geresha maana hazifunction. Mfano cheki Startimes au Azam ukitaka kujua kesho watakuwekea movie gani utaona hakuna kitu inaonyesha itakupa ujumbe no information.

Ila kwenye DSTV nikitaka kujua hata keshokutwa kuna kipindi gani saa gani, nitaona details zote wazi wazi kuanzia kipindi, lisaa kitakachoonyeshwa na details za kipindi jambo ambalo huwezi pata kwenye hizi Ving'amuzi wengine.

Tukija kwenye features na options za DSTV aisee ni zaidi ya amazing na zinarudisha thamani ya pesa uliyowekeza especially ukinunua king'amuzi kile cha Explorer ambacho kina vitu vingi na very advance kwa technology ya Media. Kwa kifupi ukiwa mfuatiliaji wa vipindi vya television ni rahisi sana kuwa mateka wa DSTV kutokana na list ya vipindi vyao na upangiliaji wao.

Changamoto nadhani ipo katika bei ya vifurushi ila aisee ukijibana ukalipia hautajutia kwakweli.
HD kwenye AZAM na DSTV ni vitu viwili tofauti. Jamaa wana channel nyingi za HD ambazo kwa kiasi kikubwa zinaendana na TV za kisasa. Hata HD ya STARTIMES ipo vizuri lakini wana channel chache za HD.

Kitaa kuna mentality kuwa dstv ni ya washua na ni gharama lakini kiuhalisia ukiingia hutoki
Mi nimeshamiliki zote hizo Azam, DStv na Startimes, DStv nnje ya soka ni highly class overrated ila Startimes inakupa soka la Ulaya, muvi, mashindano ya UEFA, CHAMPIONS LEAGUE, Europa, World cup, World Club Cup, Copa America n.k.

Startimes ni baba lao.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom