etv Ndani ya TBC

nimewapigia mbona hawana link na TBC?? wanasema wenyewe ni independent company?? isije ikawa kama GTV

sio kweli kabisa
mimi niliongea nao face to face na they are very true connected to TBC labda kama walinifunga kamba maana mjini kila kitu kinawezekana!!
 
nimewapigia wamesema kwenye hiyo cable yao kuna TBC2 ambayo ndio ina onyesha supersport zote hivyo kwa wapenzi w mpira watakuwa wanaona mipira yote ikiwamo worldcup nilichowapendea kama unachukua hiyo full package wnakuletea mafundi na wanakupa garanti ya mwaka mzima na garama za fundi kuja na kuondoka ni juu yao na inakuwa na antena 2 moja ya nje nyingine ya ndani na vikorombozo vinginevyo kwa mtaji huu DSTV watakimbiwa na wengi sana
 
Ni poa tu, DSTV wemetunyonya VYA KUTOSHA jamani, Hongera ROSE MUHANDO.
MH jamani nimejaribu kuifungua hiyo attachment na nimiona channels on offer lakini kusema ukweli zitatoa burudani kulinganisha na dstv?na sisi tuliomikoani tena mikoa ya mbali mpaka ije itufikie sio leo,tutaendelea kunyonywa tu na dstv.hivi hiyo sibuka 2 ambayo ni ya movies itaonyesha za kibongo,ki naija au za hollywood?na ni kampuni moja na sbuka fm?
 
waongeze channel kama tensports ambayo inaonyesha mieleka ambayo ni current kuliko etv na star sport itakuwa si haba na movies channels kama hbo,showtime,mbc itakuwa bomba au mnasemaje?lakini sisi wa mikoa ya mbali mmh sijui,sio leo wala kesho kuipata.
 
mimi tayari nimefunga kwa sasa ina channel 38,bado wataongeza nyingine.Ni nzuri.
 
Wadau nimeweka attachment hapo ya Package, jinsi wale wachina walioingia ubia na TBC wanavyokuja kiania yao. Fees yao ilikuipata decoder kuna bei mbili. ukilipa elfu sabini, wanakupa decoder na vifaa vyote mkononi fundi umtafute wewe wa kukufungia, na hata ikiharibika matengenezo yake unagharamia kwa kuwalipa mafundi toka TBC. pia wanakupa antena ndogo ya ndani na month subscription ni tshs 9000 tu kwa mwezi.
Bei ya pili ni ths 127,000 wanakupa decoder na fundi wao anakuja kukufungia hadi home kwako, antena bomba inafungwa nje ya nyumba, ikiharibika unawapigia simu wanakuja kukurekebishia home kwako free of charge. malipo kwa mwezi ni ile ile tshs 9000/-.
Habari nyingine ni kwamba ndani ya hiyo decoder kuna TBC2 ambayo nadhani itakuwa launched very soon, na hiyo ndo itakuwa inaonesha WORLD CUP. Inamaanisha kwamba kama hutakuwa na hii decoder hutaweza ona Kombe la dunia kwenye channel yeyote ya hapa home unless uwe na DSTV. Nimeipenda hii sababu sie wadau wa etv sasa twaweza ifaidi upyaaa though kwa kulipiaa. kwa ufupi itakuwa na channel kama 29 hipi. KITU KIPO LIVE WADAU...........

Kwenye (red). Hii ina sound kama vile ni mradi maalumu wa kujipatia pesa kwa msimu huu wa kombe la dunia,hii siyo haki kabisa sisi wengine tunao tumia viantena hatutaweza kuona kombe la dunia,hii wamefanya hivyo ili kushawishi wananchi wengi kununua hizo decoder zao. Ndio maana walinunua kibali cha kuonyesha World Cup kwa ma-million ya Sh.
 
Huwezi shindana na DSTV kwa sisi wapenda quality, labd auwe unataka kuangalia kitu cheap na worst quality hapo ndio utasema bye bye DSTV. Kwanza hii ETV nadhani labda ndio Easy TV , ukinunua ile decorder yao ukifunga kwnye home theatre utashanga hizo kelele inazo toa , ina vuma hata sauti husikii vizuri nime badilisha hata decoder wapi kelele ziko pale pale, isitoshe DSTV wana HD channels , sidhani kama hawa ETV wataweza kamata wateja wa DSTV kwa ushindani uliopo kwnye movies na vitu vingi vya kwnye DSTV.
 
Bado hatujapata maelezo ya kutosha, sisi wa mikoani inakuaje? alie na taarifa atujuze!
 
Wadau nimeweka attachment hapo ya Package, jinsi wale wachina walioingia ubia na TBC wanavyokuja kiania yao. Fees yao ilikuipata decoder kuna bei mbili. ukilipa elfu sabini, wanakupa decoder na vifaa vyote mkononi fundi umtafute wewe wa kukufungia, na hata ikiharibika matengenezo yake unagharamia kwa kuwalipa mafundi toka TBC. pia wanakupa antena ndogo ya ndani na month subscription ni tshs 9000 tu kwa mwezi.
Bei ya pili ni ths 127,000 wanakupa decoder na fundi wao anakuja kukufungia hadi home kwako, antena bomba inafungwa nje ya nyumba, ikiharibika unawapigia simu wanakuja kukurekebishia home kwako free of charge. malipo kwa mwezi ni ile ile tshs 9000/-.
Habari nyingine ni kwamba ndani ya hiyo decoder kuna TBC2 ambayo nadhani itakuwa launched very soon, na hiyo ndo itakuwa inaonesha WORLD CUP. Inamaanisha kwamba kama hutakuwa na hii decoder hutaweza ona Kombe la dunia kwenye channel yeyote ya hapa home unless uwe na DSTV. Nimeipenda hii sababu sie wadau wa etv sasa twaweza ifaidi upyaaa though kwa kulipiaa. kwa ufupi itakuwa na channel kama 29 hipi. KITU KIPO LIVE WADAU...........
Maelezo mengine yote ni sawa, ila hili la fundi ndio linanipa taabu. Fundi wa nini?, unapewa decodor ambayo ina sehemu ku-plug antenna in/out. Huitaji ku-search wala nini sasa fundi wa nini?, mimi ninayo kwa zaidi ya mwezi sasa na nimefunga mwenyewe.
 
Nimeongea na hao jamaa wa star times wanasema toka jumatatu ya wiki hii channels zao zinapatikana mwanza na kanda ya ziwa yote.hivyo wazee wa kanda ya ziwa kazi kwetu.lakini hawa jamaa sina imani na huduma zao maana hata shughuri yao haipo kwenye mtandao mtu ukaingia na kucheki huduma zao.na wasi wasi sana quality yao.jamani mliounganishwa tupeni habari hiyo kitu imekaa vp.
 
Back
Top Bottom