Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

Wapo dada zetu ambao wanaamini kabisa kuwa hakuna mapenzi ya kweli na ya kina kama ya na mzungu.

...najua Lizzy atagomba nilivyo mkabila, lakini kuna baadhi ya makabila toka mikoa ya magharibi na kaskazini mwa inji hii kuolewa na mzungu kwao ni bonge la ujiko! ...hawa watu hovyo kabisa, haswa wazungu wa uingereza!
 
kama nimemwelewa,
alikuwa anasimuliwa na wakubwa yeye kadogo
kuwa huko magort wanauza k
akaathirika kwa kuona au kubaki na picha ya mzungu na mwafrika ni biashara ya k tu
nothing more.

Lol, wewe ukimuona mama mwafrika kaolewa na mzungu kwa umri wako utaona ni biashara ya K? there is more,trust me!
 
sijui nisemeje na hii 'breaking news yetu'
but nahisi Mbu tukikukabidhi jukumu la 'kuokoa jahazi'
kwa Lizzy ili asipotee itafaa sana,unasemaje?
mimi nakuona wewe ndo 'top jf Gentleman' so far

....lol....Mwenyewe keshamchagua Nyani Ngabu, mbu is in relationship tayari na soulmate.
 
Wazungu ni wakweli, wawazi, wanajali na sio wabinafsi kinyume na kaka zetu weusi. Mi ndio maana nimeamua kwamba sasa hivi waswahili sitaki tena.

John terry, rooney, a. Cole, Tiger wood, Clinton, belusconi............. List ni ndefu, uliza wamewafanya nini wapenzi wao..... Then njoo tena!
 
aiseee hii ni bombshell i guess....
what happened to you?????/

Nimekua Boss.
Nimekua na kukubali kwamba siwezi kupata mume kwenye jamii yetu na hata nikipata ntaachika, kama ambavyo nimeambiwa sana humu.
sijui nisemeje na hii 'breaking news yetu'
but nahisi Mbu tukikukabidhi jukumu la 'kuokoa jahazi'
kwa Lizzy ili asipotee itafaa sana,unasemaje?
mimi nakuona wewe ndo 'top jf Gentleman' so far
Hhhhm unataka 'niokolewe' alafu?
 
...unajua hata mimi zamani hawa wazungu nilikuwa nawaona wa maana sana,
mpaka niliopokuja kukaa nao ndio nimejua mapungufu mengi ya mijusi hawa!

...baadae ushirika club enzi za Space 1900 Disco, mitaa ya independence avenue (samora).

...LOL kwa herufi kubwa!

mzungu awe mzungu tu, au una specific target ya mzungu wa nchi gani...maana
hii mijusi nayo imetofautiana...

Mbu mimi sichagui wala sibagui, atakaenipenda simjui.

Hhhhm alafu 'mijusi' tena?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mzungu, mweusi au hata m'yelo ni rangi ya nguo tu... deep inside kila mtu ana personality yake...

Nakubaliana nawewe,badala ya focus kuwa kwenye uzungu na uafrica...atleast tuangalie personality...ukisema mzungu kwa kuwa ni mzungu haileti maana, ninaamini personality mbaya/nzuri ziko kwenye kila aina ya binadamu....!!
 
John terry, rooney, a. Cole, Tiger wood, Clinton, belusconi............. List ni ndefu, uliza wamewafanya nini wapenzi wao..... Then njoo tena!

Hayo yote nayajua na bado naona wametulia zaidi yenu.

@Mbu, hilo la kabila najifanya kama sijaona vile!!
 
Mbu mimi sichagui wala sibagui, atakaenipenda simjui.

Hhhhm alafu 'mijusi' tena?

...mnh, kuchagua muhimu bana...hivi nimeandika mijusi vilee?
ahhh, mkono umeteleza, utotoni nilizoea mijusi ya 'kizungu'...nithamee... ;)
 
What else can I do dearest? I'm worn out!!

You are still very young to accept defeat.... i know you are not serious...now lets speak seriously dearest,nitakuchapa....!!

Ukiacha hivyo ulivyovitaja dearest pale mwanzo,ni nini unawapendea wazungu? be honest,hata kama ni vimbilimbi vyao...lol
 
...mnh, kuchagua muhimu bana...hivi nimeandika mijusi vilee?
ahhh, mkono umeteleza, utotoni nilizoea mijusi ya 'kizungu'...nithamee... ;)

Mbu mchagua nazi si huambulia koroma? Acha nichezw bahati nasibu.
 
Hayo yote nayajua na bado naona wametulia zaidi yenu.

@Mbu, hilo la kabila najifanya kama sijaona vile!!

...maskini Lizzy,... hebu vumilia kidogo bana...
ukitaka 'aliyetulia' labda uolewe na mbabu wa kizungu,
otherwise...aheri ya jini likujualo!
 
You are still very young to accept defeat.... i know you are not serious...now lets speak seriously dearest,nitakuchapa....!!

Ukiacha hivyo ulivyovitaja dearest pale mwanzo,ni nini unawapendea wazungu? be honest,hata kama ni vimbilimbi vyao...lol
Hahahaha nichape tu dearest mi nawaachia wasanii mpambane nao wenyewe.

Hhhmmmn kuna hayo niliyosema mwanzo, ongezea na kutoendesha mahusiano ki-mfumo dume, romance na kianzio wao ndio wenyewe sio hawa wenzetu wao ni chovya. . chovya tena. . TAYARI, wawazi kuhusu wanachotaka. . hamna ahadi za ndoa za uongo, ntapata mtoto shombe shombe na karatasi juu. . rorz na wanajielewa.
 
...maskini Lizzy,... hebu vumilia kidogo bana...
ukitaka 'aliyetulia' labda uolewe na mbabu wa kizungu,
otherwise...aheri ya jini likujualo!
Sasa Mbu nivumilie wakati wahusika wenyewe wameshaniambia SIWEZEKANI?
 
Hahahaha nichape tu dearest mi nawaachia wasanii mpambane nao wenyewe.

Hhhmmmn kuna hayo niliyosema mwanzo, ongezea na kutoendesha mahusiano ki-mfumo dume, romance na kianzio wao ndio wenyewe sio hawa wenzetu wao ni chovya. . chovya tena. . TAYARI, wawazi kuhusu wanachotaka. . hamna ahadi za ndoa za uongo, ntapata mtoto shombe shombe na karatasi juu. . rorz na wanajielewa.

Lol, romance na kianzio?? heloooooooooooooooo.....tatizo mianaume yetu ya kiafrica imejaa misifa mingi sana ya kijinga na mijuaji...suala la romance linalalamikiwa sana...btw ataanza wapi romance karudi home saa tisa usiku anataka saa kumi na moja awahi kazini na foleni zetu hizi....wanachotaka ni sehemu ya kupunguza uzito unaowasumbua....ndo hiyo chovya chovya....wanajielewa sana tu...ukikuta tena ndo wale wa daslamu wala chipsi zege,hakuna mazoezi hata ya kutembea,basi hasara unayo dearest...wazungu wana take effort kumuandaa mtu,atleast you are more likely ku-enjoy sex!
 
Sasa Mbu nivumilie wakati wahusika wenyewe wameshaniambia SIWEZEKANI?

...mnh, nawewe nawee.....kwenye encyclopedia yako hakuna ufafanuzi "hauwezekani" maana yake nini?
wenzako wanataka mende aangushe kabati, shtuka!
 
Nakubaliana nawewe,badala ya focus kuwa kwenye uzungu na uafrica...atleast tuangalie personality...ukisema mzungu kwa kuwa ni mzungu haileti maana, ninaamini personality mbaya/nzuri ziko kwenye kila aina ya binadamu....!!
Ndio hivo. Kwanza kama ni kufanya generalities mimi badala ya focus kwenye rangi ya ngozi bora nifocus kwenye back ground ya familia. Mara nyingi watu (any race) walio lelewa na mama peke yake wanakua na heshima kwa wanawake kuliko walio lelewa na wazazi wote, hasa kama baba alikua abusive. Pia wanaume walio lelewa katika familia ya wanawake wengi (na yeye akawa mdogo wao) wanakua na uelewa mkubwa kuliko wale walio zaliwa katika familia za mchanganyiko zaidi. Hii ni kutokana na uchunguzi wangu mwenyewe kwa baadhi ya rafiki zangu wa kiume.
 
Back
Top Bottom