Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

[emoji23] mimi na maclassmate hapana kabisa ila wanawake mnabadilika kwa kasi sana hasa kimaumbile. Kuna mmoja tulisoma wote primary alikua ananukia kimchele mchele amekaa kihasara hasara, inshort alikuwa anatengwa sana na kutaniwa ila kwa sasa kwnye grupu la shule yeye ndo pisi kali kila mtu anatamani awe naye nakiri yupo vzuri mno.

Hata akikupasua ela nyingi kwenye bata roho haiumi kabisa maana mmejuana kitambo, na unafeel comfortable kuwa nae...nawapendaga sana nikutane nao classmates...Mungu awabariki sanaaa
 
hahahah hii ni kweli kabisa, kumbe hata hawa wote tunaowaona warembo mitaani au makazini, waliwahi kuwa wa kawaida tu huko nyuma na vijana hawakuangaika nao kabisa, classmate wanakua watamu sana ukimeet nao ukubwani na kumega rahisi sana na mnaenjoy sana mkipiga vistory vyenu vya o level huko au primary...
Kama ulikuwepo nina classmate wangu nilimaliza nae STD 7 nilikutana namkubali sana enzi hizo sema udomo zege ila mungu si athumani nikakutana nae maeneo fulani aisee katoto katamu ako hatar
 
Nitawasalimu baadaye,

Kuna jambo moja huwa mnanishangaza nalo ndugu zangu wapendwa wa jinsia Me,

Naombeni mnisaidie Leo, huwa kwenye akili zenu mnafikiria nini pale unakuta mkaka anaenda ku confess hisia zake kwa mwanamke mwingine, while each and every day unaona anapost either ni girlie wake ama mkewe kabisa.

Na sometimes kamuweka mwanamke wake profile huku anatupia madini kwa mwanamke mwingine.! Hivi huwa nafsi haziwasuti?

Nabaki najiuliza hivi huwa hamuoni hata aibu kidogo tu? Kamtu kanakupiga sound, kameweka simu mezani, halafu wallpaper kaweka picha ya familia yake pengine mkewe na katoto kake, sasa unashindwa kuelewa hii kifaa hata haijishtukii kweli?

I once had this guy alikuwa ananipendaga tu maskini sema akakuta ile kani mvutano kwa upande wangu haipo kabisa, sasa akaja kuwa kwa mahusiano with this beautiful girl, I real can admit that, baadhi yetu mdada akiwa mzuri huwa tunajua na tunakubali kwamba maan, she is real something.

Nikajiskia vizuri kwa ajili yake sababu nikajua ule usumbufu na manung'uniko for years yatakuwa yamefika kikomo, lakini wapi.

Anapost pisi yake kali na ni kali kweli, na maneno kedekede yale mazuri mazuri ya kwenye movie za kifilipino, halafu akitoka hapo anakuja kukuambia 'unajua Carleen wewe ndiyo mwanamke ninayekupenda sana'.

Unabaki unashangaa whaaaaat? 😂
Huoni hata haya? Walaqhi' wanaume mtapigwa radi kwa hizo tabia zenu.!

Kitu ingine inashangaza zaidi ni vile akiona kitu chochote kwako, anakuwa very very mad, he is very jealous mpaka anakasirika kabisa, sasa unashindwaa, mbona uko na mdada wako mrembo kabisa umempost everywhere dunia nzima inamfahamu ni nini tena mbaya na wadada wengine?

Wanaume hebu kuweni wakweli, huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu mkiwa mnatenda hayo, hata roho haziwashtuki kweli?

Tamaa ya kuzaliwa nayo.
 
Sicho nilichotaka kufahamu mpendwa.!
Nikishakuelewa swali lako, lakini kwetu kuchepuka ni kawaida tu. Na mifano mingi uliyopewa humu imeonyesha kutokujutia kwetu kuchepuka, liakini hilo huwa halituondolei upendo na heshima kwa familia zetu.
 
Nitawasalimu baadaye,

Kuna jambo moja huwa mnanishangaza nalo ndugu zangu wapendwa wa jinsia Me,

Naombeni mnisaidie Leo, huwa kwenye akili zenu mnafikiria nini pale unakuta mkaka anaenda ku confess hisia zake kwa mwanamke mwingine, while each and every day unaona anapost either ni girlie wake ama mkewe kabisa.

Na sometimes kamuweka mwanamke wake profile huku anatupia madini kwa mwanamke mwingine.! Hivi huwa nafsi haziwasuti?

Nabaki najiuliza hivi huwa hamuoni hata aibu kidogo tu? Kamtu kanakupiga sound, kameweka simu mezani, halafu wallpaper kaweka picha ya familia yake pengine mkewe na katoto kake, sasa unashindwa kuelewa hii kifaa hata haijishtukii kweli?

I once had this guy alikuwa ananipendaga tu maskini sema akakuta ile kani mvutano kwa upande wangu haipo kabisa, sasa akaja kuwa kwa mahusiano with this beautiful girl, I real can admit that, baadhi yetu mdada akiwa mzuri huwa tunajua na tunakubali kwamba maan, she is real something.

Nikajiskia vizuri kwa ajili yake sababu nikajua ule usumbufu na manung'uniko for years yatakuwa yamefika kikomo, lakini wapi.

Anapost pisi yake kali na ni kali kweli, na maneno kedekede yale mazuri mazuri ya kwenye movie za kifilipino, halafu akitoka hapo anakuja kukuambia 'unajua Carleen wewe ndiyo mwanamke ninayekupenda sana'.

Unabaki unashangaa whaaaaat? 😂
Huoni hata haya? Walaqhi' wanaume mtapigwa radi kwa hizo tabia zenu.!

Kitu ingine inashangaza zaidi ni vile akiona kitu chochote kwako, anakuwa very very mad, he is very jealous mpaka anakasirika kabisa, sasa unashindwaa, mbona uko na mdada wako mrembo kabisa umempost everywhere dunia nzima inamfahamu ni nini tena mbaya na wadada wengine?

Wanaume hebu kuweni wakweli, huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu mkiwa mnatenda hayo, hata roho haziwashtuki kweli?
wanaume tunapenda vim
vipande vipande
 
Mwanaume ukimuwekea hapa mademu 10 wakali kabisa ukamwambia achague mmoja, atachagua! Lakini wale 9 waliobaki nao bado atawataka.

So usifikiria alivopata huyo demu mkali ndo ukadhani karidhika kukukosa wewe.

Ni wenye hofu ya Mungu tu ndo wanaweza kutulizana na kuridhika na mmoja aliyenaye
Weee sema kweli nshomile
 
Haha..!
Kweli wewe ni mtukutu kama ID yako inavyojinadi,
Swali langu ni kuwa huwa hamuoni aibu ama kujishtukia mkitongoza wanawake wengine huku Mme display picha za wenzi wenu public??

Good Lord, ngachoka..!
Aibu huwa n 0
 
Bidada nakushauri jaribu kuingia mtandaoni usome Animal Behaviour and Psychology utapata majibu mazuri sana kuhusu tabia za wanyama including human being sababu pia ni specie, pia DSTV kuna vipindi vizuri vya NatGeo Wild wanaonesha wanyama wanavyoishi tabia zao, mating n.k utapata ufahamu mzuri sana.

Bottom line, wanyama zaidi ya asilimia 90 ni polygamous in nature, na wako created ivyo for breeding purposes. Ishu ni kuzaana na ku multiply ndo inabeba dhana nzima ya kukuta kadume kamoja ka swala kako na Harlem ya majike 20, king of the jungle lion yupo dume peke yake ana protect na kuwa na majike 10 for breeding purposes.

Binadamu hawako mbali, tunakosea sana tunapoingiza dhana ya uzazi wa mpango,(mipango ya wazungu kupunguza population duniani) kuhihusianisha na inborn behaviours anazozaliwa nazo mnyama jamii ya kiume. Wanyama waliumbwa wa mate na tofauti tofauti ili kutengeneza strong genes kupunguza inbreeding na kadhalika, kwaiyo kumtuhumu mwanaume na kumuhukumu kinadharia ni insult kwa biology, science and whole creation scenario.

Usiingize dini kujudge science na biology and ultimately nature. Tusome tusiwe wavivu ukifatilia zaidi kwa baadhi ya wanyama na ndege utaona female counterparts are mostly ugly wao ndo wanatongoza wanaume kwa kudisplay certain features such as pheromones ili kumvutia jamii ya kiume oooh i love science.
 
Kama ulikuwepo nina classmate wangu nilimaliza nae STD 7 nilikutana namkubali sana enzi hizo sema udomo zege ila mungu si athumani nikakutana nae maeneo fulani aisee katoto katamu ako hatar
Hahaa una admit ilikua udomo zege ila pia utoto, nahisi haukupoteza kitu...hapo unajikuta una sound unamwambia nilikua nakupendaga toka zamani sana ila unajazia sababu kama zote, maisha raha sanaa inapokuja masuala mazima ya mapenzi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume ni waongo bi dada. Hakupendi wewe anampenda mkewe/ demu wake anaempost. Kwako anataka kupunguzia genye tu. Akili kumkichwa wewe ukiamini ndo unapendwa utaliwa tu akili ikirudi umebaki manyoya tu.
 
Na wewe unajiona unapendwaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanaume anajua kucheza na akili yako ili mradi apate anachokitaka then anakusahau ulivyofala akirudi kesho akikupamba kidogo unajaa tenaa... Yani anaweza pata mwanamke anaempenda mara 100 zaidi yako ila sababu wewe ukisifiwa unavua tu chupi anaachaje kukupambaa alee mambo. Ukitaka kujua anakukula for funn mwambie Akuoe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndo utajua hujuiii
 
Nitawasalimu baadaye,

Kuna jambo moja huwa mnanishangaza nalo ndugu zangu wapendwa wa jinsia Me,

Naombeni mnisaidie Leo, huwa kwenye akili zenu mnafikiria nini pale unakuta mkaka anaenda ku confess hisia zake kwa mwanamke mwingine, while each and every day unaona anapost either ni girlie wake ama mkewe kabisa.

Na sometimes kamuweka mwanamke wake profile huku anatupia madini kwa mwanamke mwingine.! Hivi huwa nafsi haziwasuti?

Nabaki najiuliza hivi huwa hamuoni hata aibu kidogo tu? Kamtu kanakupiga sound, kameweka simu mezani, halafu wallpaper kaweka picha ya familia yake pengine mkewe na katoto kake, sasa unashindwa kuelewa hii kifaa hata haijishtukii kweli?

I once had this guy alikuwa ananipendaga tu maskini sema akakuta ile kani mvutano kwa upande wangu haipo kabisa, sasa akaja kuwa kwa mahusiano with this beautiful girl, I real can admit that, baadhi yetu mdada akiwa mzuri huwa tunajua na tunakubali kwamba maan, she is real something.

Nikajiskia vizuri kwa ajili yake sababu nikajua ule usumbufu na manung'uniko for years yatakuwa yamefika kikomo, lakini wapi.

Anapost pisi yake kali na ni kali kweli, na maneno kedekede yale mazuri mazuri ya kwenye movie za kifilipino, halafu akitoka hapo anakuja kukuambia 'unajua Carleen wewe ndiyo mwanamke ninayekupenda sana'.

Unabaki unashangaa whaaaaat? [emoji23]
Huoni hata haya? Walaqhi' wanaume mtapigwa radi kwa hizo tabia zenu.!

Kitu ingine inashangaza zaidi ni vile akiona kitu chochote kwako, anakuwa very very mad, he is very jealous mpaka anakasirika kabisa, sasa unashindwaa, mbona uko na mdada wako mrembo kabisa umempost everywhere dunia nzima inamfahamu ni nini tena mbaya na wadada wengine?

Wanaume hebu kuweni wakweli, huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu mkiwa mnatenda hayo, hata roho haziwashtuki kweli?
Sasa dada unafikiri nikikosa kuku na biriani
Ndio ugali mrenda nisile?
 
Back
Top Bottom