Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

Haya mambo hayatabiriki sio lazima uwe ulijipanga tangu kitambo, mtu anakukataa leo lakin baada ya miaka kupita anakukubali baada ya kuona mambo fulani fulani yamekuwa tofauti na ilivyokuwa kabla.
I admit,
Hata wanaume huanza wafukuzia wale wadada waliwaona local kipindi wanasoma nao.!

Maendeleo hayana chama! 😀
 
I admit,
Hata wanaume huanza wafukuzia wale wadada waliwaona local kipindi wanasoma nao.!

Maendeleo hayana chama! 😀

Acha kabisa wale classmate niliokuwa nawaona hawana mvuto sasa hivi wanameremeta, mda huwa ni msema ukweli always unashangaa unasumbuliwa unaliliwa na mtu ambae alishasema kuwa wewe sio type yake

Hata mwenzio sio ajabu kuna mwanamke anambembeleza na kukupondea wewe vibaya ili tu atimize haja zake(natania japo ni ukweli mchungu).
 
Unanisema au, wanaume tumeumbiwa nyie tuwatumie kadri tuwezavyo, ndo mana mfalme Solomoni alioa wake 800 , Haya ndo mema ya nchi.
Ila mwanamke haitakiwi kuwa Kama sisi mana utaitwa Malaya wakati mwenzio naitwa dume la mbegu.
 
😂 😂
Umenichekesha sana, kipindi kile anavaa masketi makubwa hata shape haionekani, bado kanyoa nywele, hajajua kupaka mafuta mazuri, mkawa mnawachukulia poa.!
Sahii mnaanza kujipendekeza.!!

Mungu amsaidie kumpa busara huko aliko..!
 
Hapana sijakusema,
Kwani nawe ni mwanachama??
 
Mi siku hizi kabla sijamtongoza mwanamke namwambia kabsa nina familia so mara nyingi nawapata kwa sababu wengi wanataka ukweli
Na hapo aibu inakuwa hata hamna eti.??
 
Na hapo aibu inakuwa hata hamna eti.??
Hakuna hata kidogo na when im at home namwambia asunitafute hata kidogo hadi nitakavomtafuta mm uzuri ni kuwa nahudumia vzr sana ila kitu ambacho stokuja kukifanya ni kumkaribisha home au kumwambia madhaifu ya wife though wanawake wanapenda sana kusema wkness za watu wao
 
Umenichekesha sana, kipindi kile anavaa masketi makubwa hata shape haionekani, bado kanyoa nywele, hajajua kupaka mafuta mazuri, mkawa mnawachukulia poa.!
Sahii mnaanza kujipendekeza.!!

Mungu amsaidie kumpa busara huko aliko..!

mimi na maclassmate hapana kabisa ila wanawake mnabadilika kwa kasi sana hasa kimaumbile. Kuna mmoja tulisoma wote primary alikua ananukia kimchele mchele amekaa kihasara hasara, inshort alikuwa anatengwa sana na kutaniwa ila kwa sasa kwnye grupu la shule yeye ndo pisi kali kila mtu anatamani awe naye nakiri yupo vzuri mno.
 
Hakuna mwanaume ambae anaridhika na mwanamke mmoja so kuwa na mke mzuri aina maana ushindwe kupasha kiporo kwengine ndio ukae ukijua na usije ukasema umeolewa upo peke yako never alafu tambua mwanaume ni mali ya jamii so yampasa kutoa huduma za kijamii maeneo mbalimbali
 
Mi siku hizi kabla sijamtongoza mwanamke namwambia kabsa nina familia so mara nyingi nawapata kwa sababu wengi wanataka ukweli
Mkuu upo kama mimi kuna kipindi nilikamatika hatar demu alinibana hatar ikabid niwe muwazi kuwa nina familia ata ivyo isitoshe kuna pini kali sana nimemuimbisha kakubali nimempa hari halisi ilivyo kuwa nina familia mtoto kakubali hapa nasubili kutindua tu ila ukweli unakuweka huru
 
Kwa kuongezea, kama alivyosema mama yetu Anna Mghwira, wanaume tunapenda vipande vipande. Wife ana Kipande chake, na pisi nyingine zina vipande vyao
 
mimi na maclassmate hapana kabisa ila wanawake mnabadilika kwa kasi sana hasa kimaumbile. Kuna mmoja tulisoma wote primary alikua ananukia kimchele mchele amekaa kihasara hasara, inshort alikuwa anatengwa sana na kutaniwa ila kwa sasa kwnye grupu la shule yeye ndo pisi kali kila mtu anatamani awe naye nakiri yupo vzuri mno.
hahahah hii ni kweli kabisa, kumbe hata hawa wote tunaowaona warembo mitaani au makazini, waliwahi kuwa wa kawaida tu huko nyuma na vijana hawakuangaika nao kabisa, classmate wanakua watamu sana ukimeet nao ukubwani na kumega rahisi sana na mnaenjoy sana mkipiga vistory vyenu vya o level huko au primary...
 
Back
Top Bottom