Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

Umenikumbusha mbali sana huu uzi enzi za ujinga. Nilikua na mwanamke nampiga mistari ghafra simu yangu ikaita jina limetokea My wife, kumbe bibie akawa ameona tayr pamoja na kuficha simu inapoita, jion nampigia akawa amekasirika sio kidogo akidai namtongoz akati Nina mke.

Nikamwambia nimesave tu my wife mbona hata wewe nimekusave My love lkn hatujawahi kufanya chochote?? Akatia wasiwas kwamba sijamsave hivyo.

Baada ya mazungumzo nikakata simu ndo nikamsave my love, kesho yake anaangalia anaona nimemsave my love.
Kuanzia hapo akanipenda, akanipa.!

Kimsingi hizi sio tabia nzuri ila huwa inatokea pale uhamisho unapokua mgumu au mkigombana na kununiana kwa muda mrefu.!!
Ewaaah'..!
Hizi ndiyo confession nataka kuskia sasa, na alivyoona ukahisi aibu ama hata haikukugusa.?
 
We, men are polygamous by nature, hakuna kitu kinachoweza badilisha hilo.

Lakini ukweli mzuri ni kuwa tuna waheshimu sana wale tunaochagua kuwaweka ndani (wifes)

Let's meet at the top, cheers 🍻
I admit,
Nataka tu kujua kale ka feeling mnakuwa nacho wakati unayemtongoza anaona picha ya mkeo kwa simu yako.!
 
Nakuelewa sana Bro na unajua hii.!
Ila nataka kujua ile aibu huwa mnaweka wapi wakati mnasaundisha mtu mwingine huku profile uko na picha ya mkeo.? Hata ka aibu kidogo huwa hampati.?

Huo ndio unaitwa uanaume wenyewe sasa.
Tena asipokua makini anaweza hata kutoa maneno ya kejeli na kashfa kwa huyo mwingine ilimradi tu athibitishe yuko kwako asilimia zote.

Anawezapondea mke wake au mchumba wake hadi ukabaki na maswali yasiyo na majibu kama haya unayoniuliza hapa sasa hivi.

Aibu inamezewa na kufunikwa kabisa na uhitaji wa mwili wakati huo.

Sie wanaume ni wabinafsi sana, kuna wakati hata x wako hautaki umuone na mtu wakati hamna chochote kinaendelea kati yenu.
 
Kamuulize babu yetu mfalme daudi
Nitawasalimu baadaye,

Kuna jambo moja huwa mnanishangaza nalo ndugu zangu wapendwa wa jinsia Me,

Naombeni mnisaidie Leo, huwa kwenye akili zenu mnafikiria nini pale unakuta mkaka anaenda ku confess hisia zake kwa mwanamke mwingine, while each and every day unaona anapost either ni girlie wake ama mkewe kabisa.

Na sometimes kamuweka mwanamke wake profile huku anatupia madini kwa mwanamke mwingine.! Hivi huwa nafsi haziwasuti?

Nabaki najiuliza hivi huwa hamuoni hata aibu kidogo tu? Kamtu kanakupiga sound, kameweka simu mezani, halafu wallpaper kaweka picha ya familia yake pengine mkewe na katoto kake, sasa unashindwa kuelewa hii kifaa hata haijishtukii kweli?

I once had this guy alikuwa ananipendaga tu maskini sema akakuta ile kani mvutano kwa upande wangu haipo kabisa, sasa akaja kuwa kwa mahusiano with this beautiful girl, I real can admit that, baadhi yetu mdada akiwa mzuri huwa tunajua na tunakubali kwamba maan, she is real something.

Nikajiskia vizuri kwa ajili yake sababu nikajua ule usumbufu na manung'uniko for years yatakuwa yamefika kikomo, lakini wapi.

Anapost pisi yake kali na ni kali kweli, na maneno kedekede yale mazuri mazuri ya kwenye movie za kifilipino, halafu akitoka hapo anakuja kukuambia 'unajua Carleen wewe ndiyo mwanamke ninayekupenda sana'.

Unabaki unashangaa whaaaaat? 😂
Huoni hata haya? Walaqhi' wanaume mtapigwa radi kwa hizo tabia zenu.!

Kitu ingine inashangaza zaidi ni vile akiona kitu chochote kwako, anakuwa very very mad, he is very jealous mpaka anakasirika kabisa, sasa unashindwaa, mbona uko na mdada wako mrembo kabisa umempost everywhere dunia nzima inamfahamu ni nini tena mbaya na wadada wengine?

Wanaume hebu kuweni wakweli, huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu mkiwa mnatenda hayo, hata roho haziwashtuki kweli?
 
"If you were a boy
Then, girl, you'd understand
You need to stop listenin' to your friends
Love, respect, and trust your man
So I go to clubs with the guys
And sometimes flirt with the girls
I should be able to roll out, as long as I'm comin' home to you
And give you the world

But you're not a boy
So you don't have a clue
How I work and pay the bills"

Hapo juu ni lyrics za nyimbo ya beyonce alimshirikisha Robert kwaiyo bac Wewe ni mwanamke ungekuwa mwanaume ungelewa vzr ila kwa kuwa wewe ni mwanamke uwezi elewa utaona manaume ni malaya na ni wahuni uwezi elewa ila omba Mungu uje upate kijana au kama umepata mfundishe tuu kijana wako amuheshimu mkewe bac....
 
Waooh'...!
Umeniambia vyema hapa sasa..!!

Ila honestly wanaume tongozeni tu ila chonde chonde msiwaponde wa ubavu wenu.!!
 
"If you were a boy
Then, girl, you'd understand
You need to stop listenin' to your friends
Love, respect, and trust your man
So I go to clubs with the guys
And sometimes flirt with the girls
I should be able to roll out, as long as I'm comin' home to you
And give you the world

But you're not a boy
So you don't have a clue
How I work and pay the bills"

Hapo juu ni lyrics za nyimbo ya beyonce alimshirikisha Robert kwaiyo bac Wewe ni mwanamke ungekuwa mwanaume ungelewa vzr ila kwa kuwa wewe ni mwanamke uwezi elewa utaona manaume ni malaya na ni wahuni uwezi elewa ila omba Mungu uje upate kijana au kama umepata mfundishe tuu kijana wako amuheshimu mkewe bac....
Ahsante kwa mashairi mkuu.!!
And a huge Amen to the last para.!
 
Nitawasalimu baadaye,

Kuna jambo moja huwa mnanishangaza nalo ndugu zangu wapendwa wa jinsia Me,

Naombeni mnisaidie Leo, huwa kwenye akili zenu mnafikiria nini pale unakuta mkaka anaenda ku confess hisia zake kwa mwanamke mwingine, while each and every day unaona anapost either ni girlie wake ama mkewe kabisa.

Na sometimes kamuweka mwanamke wake profile huku anatupia madini kwa mwanamke mwingine.! Hivi huwa nafsi haziwasuti?

Nabaki najiuliza hivi huwa hamuoni hata aibu kidogo tu? Kamtu kanakupiga sound, kameweka simu mezani, halafu wallpaper kaweka picha ya familia yake pengine mkewe na katoto kake, sasa unashindwa kuelewa hii kifaa hata haijishtukii kweli?

I once had this guy alikuwa ananipendaga tu maskini sema akakuta ile kani mvutano kwa upande wangu haipo kabisa, sasa akaja kuwa kwa mahusiano with this beautiful girl, I real can admit that, baadhi yetu mdada akiwa mzuri huwa tunajua na tunakubali kwamba maan, she is real something.

Nikajiskia vizuri kwa ajili yake sababu nikajua ule usumbufu na manung'uniko for years yatakuwa yamefika kikomo, lakini wapi.

Anapost pisi yake kali na ni kali kweli, na maneno kedekede yale mazuri mazuri ya kwenye movie za kifilipino, halafu akitoka hapo anakuja kukuambia 'unajua Carleen wewe ndiyo mwanamke ninayekupenda sana'.

Unabaki unashangaa whaaaaat? 😂
Huoni hata haya? Walaqhi' wanaume mtapigwa radi kwa hizo tabia zenu.!

Kitu ingine inashangaza zaidi ni vile akiona kitu chochote kwako, anakuwa very very mad, he is very jealous mpaka anakasirika kabisa, sasa unashindwaa, mbona uko na mdada wako mrembo kabisa umempost everywhere dunia nzima inamfahamu ni nini tena mbaya na wadada wengine?

Wanaume hebu kuweni wakweli, huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu mkiwa mnatenda hayo, hata roho haziwashtuki kweli?
Hata huyo mwanadamu anayetajwa kuwa wa kipekee kwa hekima hakuwahi kuwa na mwanamke mmoja alikuwa nao mia 3, baba yake alikuwa nao buku Kabisa.
hata huyo mwanzilishi wa taifa takatifu la Israel alikuwa nao wengi
Sisi ni nani tufuate ushauri wako wenye wivu tu ndani yake.
 
Mpango ungekuwepo ningesubiri kwanza apate kifaa kikali??

Haya mambo hayatabiriki sio lazima uwe ulijipanga tangu kitambo, mtu anakukataa leo lakin baada ya miaka kupita anakukubali baada ya kuona mambo fulani fulani yamekuwa tofauti na ilivyokuwa kabla.
 
Hata huyo mwanadamu anayetajwa kuwa wa kipekee kwa hekima hakuwahi kuwa na mwanamke mmoja alikuwa nao mia 3, baba yake alikuwa nao buku Kabisa.
hata huyo mwanzilishi wa taifa takatifu la Israel alikuwa nao wengi
Sisi ni nani tufuate ushauri wako wenye wivu tu ndani yake.
Haha..!
Kweli wewe ni mtukutu kama ID yako inavyojinadi,
Swali langu ni kuwa huwa hamuoni aibu ama kujishtukia mkitongoza wanawake wengine huku Mme display picha za wenzi wenu public??

Good Lord, ngachoka..!
 
Back
Top Bottom