Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

Hata mimi kuna pisi naipenda sana na siwezi kuchoka kuipenda hata niongeze mke mwinginee.....

Huwa inashangaa sana unakuta imequote status ya wife hapo hapo naanza kuipiga verse sema tu haielewii

Nitaitag huko chini kwa ishu nyinginee
😂 😂 😂
Wewe tena??
Na unakuwa huoni aibu hata chembe???
 
We, men are polygamous by nature, hakuna kitu kinachoweza badilisha hilo.


Lakini ukweli mzuri ni kuwa tuna waheshimu sana wale tunaochagua kuwaweka ndani (wifes)


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Umenikumbusha mbali sana huu uzi enzi za ujinga. Nilikua na mwanamke nampiga mistari ghafra simu yangu ikaita jina limetokea My wife, kumbe bibie akawa ameona tayr pamoja na kuficha simu inapoita, jion nampigia akawa amekasirika sio kidogo akidai namtongoz akati Nina mke.

Nikamwambia nimesave tu my wife mbona hata wewe nimekusave My love lkn hatujawahi kufanya chochote?? Akatia wasiwas kwamba sijamsave hivyo.

Baada ya mazungumzo nikakata simu ndo nikamsave my love, kesho yake anaangalia anaona nimemsave my love.
Kuanzia hapo akanipenda, akanipa.!

Kimsingi hizi sio tabia nzuri ila huwa inatokea pale uhamisho unapokua mgumu au mkigombana na kununiana kwa muda mrefu.!!
 
Kwa upande wa waliooa kidogo naweza kubali, na je kwa ambao bado ni wapenzi.?
Unampost main chick kila siku, na bado uende kutupia sound?
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie.ukitaka kuwamaliza wajue una demu mkali.wanajiona takataka kwako wanakupa mzigo kilaini.ila wakijua huna demu au demu wako mbaya wanasumbua
 
Mungu aliumba Adam na Hawa (Wanawake) Ni wengi hivyo kua na mwanamke mmoja tu kidogo ni ngumu, hata beberu zizini lazima lijitawale liwe na majike mengi, wanyama tu wanasambaza upendo why sisi tuwe limited...!?
 
images.jpeg
 
Nitawasalimu baadaye,

Kuna jambo moja huwa mnanishangaza nalo ndugu zangu wapendwa wa jinsia Me,

Naombeni mnisaidie Leo, huwa kwenye akili zenu mnafikiria nini pale unakuta mkaka anaenda ku confess hisia zake kwa mwanamke mwingine, while each and every day unaona anapost either ni girlie wake ama mkewe kabisa,
Na sometimes kamuweka mwanamke wake profile huku anatupia madini kwa mwanamke mwingine.! Hivi huwa nafsi haziwasuti.??

Nabaki najiuliza hivi huwa hamuoni hata aibu kidogo tu?? Kamtu kanakupiga sound, kameweka simu mezani, halafu wallpaper kaweka picha ya familia yake pengine mkewe na katoto kake, sasa unashindwa kuelewa hii kifaa hata haijishtukii kweli.??

I once had this guy alikuwa ananipendaga tu maskini sema akakuta ile kani mvutano kwa upande wangu haipo kabisa, sasa akaja kuwa kwa mahusiano with this beautiful girl, I real can admit that, baadhi yetu mdada akiwa mzuri huwa tunajua na tunakubali kwamba maan, she is real something.!
Nikajiskia vizuri kwa ajili yake sababu nikajua ule usumbufu na manung'uniko for years yatakuwa yamefika kikomo, lakini wapi..!!

Anapost pisi yake kali na ni kali kweli, na maneno kedekede yale mazuri mazuri ya kwenye movie za kifilipino, halafu akitoka hapo anakuja kukuambia 'unajua Carleen wewe ndiyo mwanamke ninayekupenda sana'..!
Unabaki unashangaa whaaaaat???? 😂
Huoni hata haya?? Walaqhi' wanaume mtapigwa radi kwa hizo tabia zenu.!

Kitu ingine inashangaza zaidi ni vile akiona kitu chochote kwako, anakuwa very very mad, he is very jealous mpaka anakasirika kabisa, sasa unashindwaa, mbona uko na mdada wako mrembo kabisa umempost everywhere dunia nzima inamfahamu ni nini tena mbaya na wadada wengine..?

Wanaume hebu kuweni wakweli, huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu mkiwa mnatenda hayo, hata roho haziwashtuki kweli.??
Huyo anataka akukule tu, akishachovya utaona manyoa tu!
 
Mpendwa, naomba nieleweshe hapo pa upendo na matamanio..

Alikupenda ukaona uwezi kuwa nae na akaikubali hali kwa kuamua kutafuta mtu mwingine ila matamanio yake kwako yako palepale. Kuwa na ke mwingine haimaanishi kuwa hana hisia nawewe, anachokifanya sasa ni kutaka kujiridhisha kwa kupata sex kama hakuwahi kupata kwako. Ukimpa tunda utaona utofauti wa kabla na baada.
 
Mwanaume kuwa na mchepuko ni sawa na taifa kuwa na chama cha upinzani, lakini mwanamke kuwa na mchepuko ni sawa na taifa kuwa na vikosi vya waasi.
Sicho nilichotaka kufahamu mpendwa.!
 
Alikupenda ukaona uwezi kuwa nae na akaikubali hali kwa kuamua kutafuta mtu mwingine ila matamanio yake kwako yako palepale. Kuwa na ke mwingine haimaanishi kuwa hana hisia nawewe, anachokifanya sasa ni kutaka kujiridhisha kwa kupata sex kama hakuwahi kupata kwako. Ukimpa tunda utaona utofauti wa kabla na baada.
Well understood..!
thank you.!!
 
Mungu aliumba Adam na Hawa (Wanawake) Ni wengi hivyo kua na mwanamke mmoja tu kidogo ni ngumu, hata beberu zizini lazima lijitawale liwe na majike mengi, wanyama tu wanasambaza upendo why sisi tuwe limited...!?
Ahsante mpendwa..!
Ila swali langu siyo hilo..!
 
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie.ukitaka kuwamaliza wajue una demu mkali.wanajiona takataka kwako wanakupa mzigo kilaini.ila wakijua huna demu au demu wako mbaya wanasumbua
this is new to Me..!
Yaani uko na mtu wako na namuona kila siku unampost kisha uje tena kwangu.???
 
Back
Top Bottom