Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

Kuna mabinti wakiwa wadogo huwa hawana mvuto kabisa. Chogo refu, sura mbaya ukichanganya na kipili pili ila dah. Wakishatoka chuchu nundu na hips huku tuziwa tumesimama freshi akatia na tunywele dawa na lipbum aisee acha tu!

Inakuwa ni patashika nguo kuchanika unakutana nae unabaki kujiuliza ni yeye kweli au ni new version yake
 
Principle tatu za kibaaaria ambazo hazijawai feli
1. Demu akikukataa tafuta pisi kali kuliko yeye na mfanye aone wivu post kila maali kama haja view mtumie inbox

2 . Tafuta rafiki yake wa karibu au ndugu kabisa tafuna uyo ataumia sana.

3. Tafuta pesa .

Hakika izi hazijawai feli
Ya kwanza na ya tatu inatosha kumtia maumivu ya sindano zaidi ya ile Kristapen!!!

Halafu kwa adabu zaidi unamtia mkojo mmoja wa alfa na Omega kisha unafunga jalada huokoti simu wala kujibu text ili iwe fundisho kwake na kwa vizazi vijavyo. Dharau mwiko!!!
 
Mimi mwenyewe nashangaa kuna wadada wana waume Good looking na wana uwezo kiuchumi lakini bado wanajilengesha kwetu. Nina wadada kadhaa wamekuja direct wakitaka niwa..... Lakini ukiona kwenye status zao utahisi wanaishi kwenye ulimwengu wa peke yao wa mahaba na waume zao.

Haya mambo hutapata majibu mpaka unaingia kaburini. Cha msingi chagua kuishi maisha unayoona yatakufaa. Ukiamua kumtunuku au kumtosa ni uamuzi binafsi.
 
Nitawasalimu baadaye,

Kuna jambo moja huwa mnanishangaza nalo ndugu zangu wapendwa wa jinsia Me,

Naombeni mnisaidie Leo, huwa kwenye akili zenu mnafikiria nini pale unakuta mkaka anaenda ku confess hisia zake kwa mwanamke mwingine, while each and every day unaona anapost either ni girlie wake ama mkewe kabisa.

Na sometimes kamuweka mwanamke wake profile huku anatupia madini kwa mwanamke mwingine.! Hivi huwa nafsi haziwasuti?

Nabaki najiuliza hivi huwa hamuoni hata aibu kidogo tu? Kamtu kanakupiga sound, kameweka simu mezani, halafu wallpaper kaweka picha ya familia yake pengine mkewe na katoto kake, sasa unashindwa kuelewa hii kifaa hata haijishtukii kweli?

I once had this guy alikuwa ananipendaga tu maskini sema akakuta ile kani mvutano kwa upande wangu haipo kabisa, sasa akaja kuwa kwa mahusiano with this beautiful girl, I real can admit that, baadhi yetu mdada akiwa mzuri huwa tunajua na tunakubali kwamba maan, she is real something.

Nikajiskia vizuri kwa ajili yake sababu nikajua ule usumbufu na manung'uniko for years yatakuwa yamefika kikomo, lakini wapi.

Anapost pisi yake kali na ni kali kweli, na maneno kedekede yale mazuri mazuri ya kwenye movie za kifilipino, halafu akitoka hapo anakuja kukuambia 'unajua Carleen wewe ndiyo mwanamke ninayekupenda sana'.

Unabaki unashangaa whaaaaat?
Huoni hata haya? Walaqhi' wanaume mtapigwa radi kwa hizo tabia zenu.!

Kitu ingine inashangaza zaidi ni vile akiona kitu chochote kwako, anakuwa very very mad, he is very jealous mpaka anakasirika kabisa, sasa unashindwaa, mbona uko na mdada wako mrembo kabisa umempost everywhere dunia nzima inamfahamu ni nini tena mbaya na wadada wengine?

Wanaume hebu kuweni wakweli, huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu mkiwa mnatenda hayo, hata roho haziwashtuki kweli?
Mbona swali rahisi sana hili.

Tunaongeza varieties, ukiamua leo unakula huyu, kesho yule n.k ilimradi tu unabadilisha ladha na vionjo.

Nothing more
 
Bro swali langu lilikuwa wakati mnatupia madini kwa wanawake wengine huku sura za wake zenu zinawatazama pichani huwa hamjishtukii.??
Mda huo nakuwa nakutazama wewe, hiyo picha inasahaulika kwa muda.
 
Wanaume mtoe majibu naona mnarukaruka tu.
Jibu nimetoa hapo juu mbaya sana kuikimbia nature. Mungu hakuumba wanyama wawe monogamy!! Mainly for breeding purposes tunaforce kucontrol inborn behaviours. Mfano unaweza control kupiga chafya?
 
Isikupe tabu ni salama salimini , kape kajamaa kajilie acha uchoyo
 
Kuna mwanamke mzuri,kuna mwanamke ana mvuto

Mara nyingi wanawake wenye mvuto wanakuwaga wa kawaida sana ..

Tukirudi kwenye mada,wanaume tunatabia ya kutongozatongoza tunajisikia raha kuchombeza pisi kali basi mara katabasamu mara kakatae basi full raha halafu tunapenda challenges ...

Sasa utakuta wewe ni mwanamke wa kawaida ila una mvuto machoni pake kuna kitu anakipenda kutoka kwako plus unavyomkataa mixer unamuweka karibu karibu basi ndo unampa matumaini kweli kweli..mwenzako anasubiri huruma yako nadhani anaamini siku ukitendwa ukiwa na stress utampa japo kichwa tu...

Note:mwanaume wa leo ukimkataa mda mrefu KAMWE usimpe uch* wako hii iwe ni formula yako
 
Nitawasalimu baadaye,

Kuna jambo moja huwa mnanishangaza nalo ndugu zangu wapendwa wa jinsia Me,

Naombeni mnisaidie Leo, huwa kwenye akili zenu mnafikiria nini pale unakuta mkaka anaenda ku confess hisia zake kwa mwanamke mwingine, while each and every day unaona anapost either ni girlie wake ama mkewe kabisa.

Na sometimes kamuweka mwanamke wake profile huku anatupia madini kwa mwanamke mwingine.! Hivi huwa nafsi haziwasuti?

Nabaki najiuliza hivi huwa hamuoni hata aibu kidogo tu? Kamtu kanakupiga sound, kameweka simu mezani, halafu wallpaper kaweka picha ya familia yake pengine mkewe na katoto kake, sasa unashindwa kuelewa hii kifaa hata haijishtukii kweli?

I once had this guy alikuwa ananipendaga tu maskini sema akakuta ile kani mvutano kwa upande wangu haipo kabisa, sasa akaja kuwa kwa mahusiano with this beautiful girl, I real can admit that, baadhi yetu mdada akiwa mzuri huwa tunajua na tunakubali kwamba maan, she is real something.

Nikajiskia vizuri kwa ajili yake sababu nikajua ule usumbufu na manung'uniko for years yatakuwa yamefika kikomo, lakini wapi.

Anapost pisi yake kali na ni kali kweli, na maneno kedekede yale mazuri mazuri ya kwenye movie za kifilipino, halafu akitoka hapo anakuja kukuambia 'unajua Carleen wewe ndiyo mwanamke ninayekupenda sana'.

Unabaki unashangaa whaaaaat? 😂
Huoni hata haya? Walaqhi' wanaume mtapigwa radi kwa hizo tabia zenu.!

Kitu ingine inashangaza zaidi ni vile akiona kitu chochote kwako, anakuwa very very mad, he is very jealous mpaka anakasirika kabisa, sasa unashindwaa, mbona uko na mdada wako mrembo kabisa umempost everywhere dunia nzima inamfahamu ni nini tena mbaya na wadada wengine?

Wanaume hebu kuweni wakweli, huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu mkiwa mnatenda hayo, hata roho haziwashtuki kweli?

Edited; Watanzania mmekazana kunijibu swali ambalo sijauliza jamani, nauliza kingine ninyi mwanijibu kingine.!!
Jibu ni moja tu. Tamaa tu ya kibinadamu ya kukomalia kitu ambacho hujakipata ili kuridhisha nafsi.
 
Dada elewa tu kwamba sisi wanaume huwa haturidhiki na mwanamke mmoja hayo mambo ya uzuri sijui nn wala sio hoja. Nayeye kuwa na mkewe then akakutongoza tena ww sio kwamba hampendi mkewe au anakudharau ww noooo it is because of nature....ukilijua hilo basi hautasumbuka sanaa
 
Nitawasalimu baadaye,

Kuna jambo moja huwa mnanishangaza nalo ndugu zangu wapendwa wa jinsia Me,

Naombeni mnisaidie Leo, huwa kwenye akili zenu mnafikiria nini pale unakuta mkaka anaenda ku confess hisia zake kwa mwanamke mwingine, while each and every day unaona anapost either ni girlie wake ama mkewe kabisa.

Na sometimes kamuweka mwanamke wake profile huku anatupia madini kwa mwanamke mwingine.! Hivi huwa nafsi haziwasuti?

Nabaki najiuliza hivi huwa hamuoni hata aibu kidogo tu? Kamtu kanakupiga sound, kameweka simu mezani, halafu wallpaper kaweka picha ya familia yake pengine mkewe na katoto kake, sasa unashindwa kuelewa hii kifaa hata haijishtukii kweli?

I once had this guy alikuwa ananipendaga tu maskini sema akakuta ile kani mvutano kwa upande wangu haipo kabisa, sasa akaja kuwa kwa mahusiano with this beautiful girl, I real can admit that, baadhi yetu mdada akiwa mzuri huwa tunajua na tunakubali kwamba maan, she is real something.

Nikajiskia vizuri kwa ajili yake sababu nikajua ule usumbufu na manung'uniko for years yatakuwa yamefika kikomo, lakini wapi.

Anapost pisi yake kali na ni kali kweli, na maneno kedekede yale mazuri mazuri ya kwenye movie za kifilipino, halafu akitoka hapo anakuja kukuambia 'unajua Carleen wewe ndiyo mwanamke ninayekupenda sana'.

Unabaki unashangaa whaaaaat? 😂
Huoni hata haya? Walaqhi' wanaume mtapigwa radi kwa hizo tabia zenu.!

Kitu ingine inashangaza zaidi ni vile akiona kitu chochote kwako, anakuwa very very mad, he is very jealous mpaka anakasirika kabisa, sasa unashindwaa, mbona uko na mdada wako mrembo kabisa umempost everywhere dunia nzima inamfahamu ni nini tena mbaya na wadada wengine?

Wanaume hebu kuweni wakweli, huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu mkiwa mnatenda hayo, hata roho haziwashtuki kweli?

Edited; Watanzania mmekazana kunijibu swali ambalo sijauliza jamani, nauliza kingine ninyi mwanijibu kingine.!!
Kwasisi waislam haina shida labda wakizidi wanne ndio shida
 
Kumiliki IST ukaisifu kuwa ni gari zuri hakukufanyi usahau ndoto zako za kuwa unatamani kumiliki Discovery 4. Na pia ikiwezekana uwe una IST for town Cruising na Discovery for long trips
Mfano umeakisi maana ya kila kitu mkuu, well done.
 
Back
Top Bottom