Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

Nitawasalimu baadaye,

Kuna jambo moja huwa mnanishangaza nalo ndugu zangu wapendwa wa jinsia Me,

Naombeni mnisaidie Leo, huwa kwenye akili zenu mnafikiria nini pale unakuta mkaka anaenda ku confess hisia zake kwa mwanamke mwingine, while each and every day unaona anapost either ni girlie wake ama mkewe kabisa.

Na sometimes kamuweka mwanamke wake profile huku anatupia madini kwa mwanamke mwingine.! Hivi huwa nafsi haziwasuti?

Nabaki najiuliza hivi huwa hamuoni hata aibu kidogo tu? Kamtu kanakupiga sound, kameweka simu mezani, halafu wallpaper kaweka picha ya familia yake pengine mkewe na katoto kake, sasa unashindwa kuelewa hii kifaa hata haijishtukii kweli?

I once had this guy alikuwa ananipendaga tu maskini sema akakuta ile kani mvutano kwa upande wangu haipo kabisa, sasa akaja kuwa kwa mahusiano with this beautiful girl, I real can admit that, baadhi yetu mdada akiwa mzuri huwa tunajua na tunakubali kwamba maan, she is real something.

Nikajiskia vizuri kwa ajili yake sababu nikajua ule usumbufu na manung'uniko for years yatakuwa yamefika kikomo, lakini wapi.

Anapost pisi yake kali na ni kali kweli, na maneno kedekede yale mazuri mazuri ya kwenye movie za kifilipino, halafu akitoka hapo anakuja kukuambia 'unajua Carleen wewe ndiyo mwanamke ninayekupenda sana'.

Unabaki unashangaa whaaaaat?
Huoni hata haya? Walaqhi' wanaume mtapigwa radi kwa hizo tabia zenu.!

Kitu ingine inashangaza zaidi ni vile akiona kitu chochote kwako, anakuwa very very mad, he is very jealous mpaka anakasirika kabisa, sasa unashindwaa, mbona uko na mdada wako mrembo kabisa umempost everywhere dunia nzima inamfahamu ni nini tena mbaya na wadada wengine?

Wanaume hebu kuweni wakweli, huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu mkiwa mnatenda hayo, hata roho haziwashtuki kweli?
Siu useme tu baada ya jamaa kupata demu mkali kuliko wewe umetokea kumkubali sema inakuuma kwanini ulimkataa. Ukijifanya asali jilambe sasa. Jamaa kiufupi anataka akutafune tu ila sio kwamba unamvutia kwasasa kama zamani

Umewai kuona Fisi anaacha nyama .
 
Kwani mama, we ukiwa na iPhone yako pro max, huwa unaona aibu kuulizia kitochi?
 
Siu useme tu baada ya jamaa kupata demu mkali kuliko wewe umetokea kumkubali sema inakuuma kwanini ulimkataa. Ukijifanya asali jilambe sasa. Jamaa kiufupi anataka akutafune tu ila sio kwamba unamvutia kwasasa kama zamani

Umewai kuona Fisi anaacha nyama .
Poyeeeeeh'..!!
Maskiiiiini..!! Umewaza mwenyewe ukaona hili ndiyo jibu la kuja nalo.!!
 
Na wewe unajiona unapendwaaMwanaume anajua kucheza na akili yako ili mradi apate anachokitaka then anakusahau ulivyofala akirudi kesho akikupamba kidogo unajaa tenaa... Yani anaweza pata mwanamke anaempenda mara 100 zaidi yako ila sababu wewe ukisifiwa unavua tu chupi anaachaje kukupambaa alee mambo. Ukitaka kujua anakukula for funn mwambie Akuoendo utajua hujuiii
Bruh'..!
Behave, hili siyo jibu la swali nimeuliza.!!
 
Social media ni kufata mkumbo tu..
Haiakisi real life..
Wengine tuna post mradi Tu uende na jamii ilivyo...
Watu wa siku hizi ndugu yako akifa hujampost hawakuelewi kabisa..au birthday ya gf /Mke hujampost ni ni kesi kubwa...

Deep down maisha yetu halisi hayako kwenye social media
Ahsante
 
Okay, mpango mzima uko hv,

Ukiwa na timu ya mpira ni lazima utafute wapinzan wa kushindana nao.

Mke ni timu halisi ya mume then nyie wengine ni wapinzani, sasa n jukumu lako ww mpinzani kushinda mechi au kufungwa
ushamaliza
 
mimi na maclassmate hapana kabisa ila wanawake mnabadilika kwa kasi sana hasa kimaumbile. Kuna mmoja tulisoma wote primary alikua ananukia kimchele mchele amekaa kihasara hasara, inshort alikuwa anatengwa sana na kutaniwa ila kwa sasa kwnye grupu la shule yeye ndo pisi kali kila mtu anatamani awe naye nakiri yupo vzuri mno.
🤣🤣🤣🤣🤣 Huendi mbinguni
 
we are looking for more working experience.

To work in the same organization for years and decades its boring you know.
 
Back
Top Bottom