Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

Wanaume tumeumbwa kutaman
Na mwanaume anapenda mwanamke mmoja so haijalishi nikiwa na madem 6 na wote nawachakata basi wote nawapenda kati yao yupo mmoja ila wengine basi tu tofaut na wanawake huwa anaweza kuwa na watu watatu na wote akawapenda
 
I admit,
Nataka tu kujua kale ka feeling mnakuwa nacho wakati unayemtongoza anaona picha ya mkeo kwa simu yako.!

Personally sijawahi kufanya hivyo Ila nadhani inataka moyo sanaa 😂

Let's meet at top, cheers 🍻
 
Wanawake hupenda kuambiwa kile wanachokipenda hata kama si kweli, wanaume they just dance with the tune.
Nitawasalimu baadaye,

Kuna jambo moja huwa mnanishangaza nalo ndugu zangu wapendwa wa jinsia Me,

Naombeni mnisaidie Leo, huwa kwenye akili zenu mnafikiria nini pale unakuta mkaka anaenda ku confess hisia zake kwa mwanamke mwingine, while each and every day unaona anapost either ni girlie wake ama mkewe kabisa.

Na sometimes kamuweka mwanamke wake profile huku anatupia madini kwa mwanamke mwingine.! Hivi huwa nafsi haziwasuti?

Nabaki najiuliza hivi huwa hamuoni hata aibu kidogo tu? Kamtu kanakupiga sound, kameweka simu mezani, halafu wallpaper kaweka picha ya familia yake pengine mkewe na katoto kake, sasa unashindwa kuelewa hii kifaa hata haijishtukii kweli?

I once had this guy alikuwa ananipendaga tu maskini sema akakuta ile kani mvutano kwa upande wangu haipo kabisa, sasa akaja kuwa kwa mahusiano with this beautiful girl, I real can admit that, baadhi yetu mdada akiwa mzuri huwa tunajua na tunakubali kwamba maan, she is real something.

Nikajiskia vizuri kwa ajili yake sababu nikajua ule usumbufu na manung'uniko for years yatakuwa yamefika kikomo, lakini wapi.

Anapost pisi yake kali na ni kali kweli, na maneno kedekede yale mazuri mazuri ya kwenye movie za kifilipino, halafu akitoka hapo anakuja kukuambia 'unajua Carleen wewe ndiyo mwanamke ninayekupenda sana'.

Unabaki unashangaa whaaaaat?
Huoni hata haya? Walaqhi' wanaume mtapigwa radi kwa hizo tabia zenu.!

Kitu ingine inashangaza zaidi ni vile akiona kitu chochote kwako, anakuwa very very mad, he is very jealous mpaka anakasirika kabisa, sasa unashindwaa, mbona uko na mdada wako mrembo kabisa umempost everywhere dunia nzima inamfahamu ni nini tena mbaya na wadada wengine?

Wanaume hebu kuweni wakweli, huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu mkiwa mnatenda hayo, hata roho haziwashtuki kweli?
 
Huo ndio unaitwa uanaume wenyewe sasa.
Tena asipokua makini anaweza hata kutoa maneno ya kejeli na kashfa kwa huyo mwingine ilimradi tu athibitishe yuko kwako asilimia zote.

Anawezapondea mke wake au mchumba wake hadi ukabaki na maswali yasiyo na majibu kama haya unayoniuliza hapa sasa hivi.

Aibu inamezewa na kufunikwa kabisa na uhitaji wa mwili wakati huo.

Sie wanaume ni wabinafsi sana, kuna wakati hata x wako hautaki umuone na mtu wakati hamna chochote kinaendelea kati yenu.
Kuna kale kamsemo kenu maarufu"huyu mke wangu nililazimishwa na wazazi wangu nimuoe hakuwa chaguo langu,chaguo langu ni Wewe"...Jamaniiiiiii😲😲😲😲
 
Chama tawala bila upinzani huwa kinalewa madaraka...

Nimeiokota kwenye kampeni za Rungwe..
 
Sisi mungu katupa uwezo wa kumiliki kadri ya mifuko yetu,ndio mana wenzetu dini yao inasema wanne
 
hiyo ni nature mkuu ndo maana hata mitume na manabii wa mungu walikua na mamanzi wa kutosha.
 
Sio kila tunae mtongoza tunampenda.
Kumbuka msukumo wetu mkubwa had kutongoza umelenga sex tu, na sex kwa mwanaume sio upendo bali ni starehe
 
Kama unamiliki funguo ambayo inafungua vitasa vingi,lazma uitunze sana.ila kama una kitasa ambacho kila funguo inafungua,lazima utakibadilisha.
Kazi maalumu ya mchepuko kwa mwanaume ni kuimarisha ndoa(muhimu mke asijue,na hatajua ukizingatia mbinu zote),ila Kwa mwanamke ni kuibomoa ndoa yake.
NB.Mchepuko wa kudumu ni bora kuliko hit and run.
 
Kuna kale kamsemo kenu maarufu"huyu mke wangu nililazimishwa na wazazi wangu nimuoe hakuwa chaguo langu,chaguo langu ni Wewe"...Jamaniiiiiii😲😲😲😲

Mwambie amuache sasa uone danadana lake...
 
Social media ni kufata mkumbo tu..
Haiakisi real life..
Wengine tuna post mradi Tu uende na jamii ilivyo...
Watu wa siku hizi ndugu yako akifa hujampost hawakuelewi kabisa..au birthday ya gf /Mke hujampost ni ni kesi kubwa...

Deep down maisha yetu halisi hayako kwenye social media
 
Ngoja nipite mapito haya. Kuna nukta kadhaa zinazo jibu swali lak
Nitawasalimu baadaye,

Kuna jambo moja huwa mnanishangaza nalo ndugu zangu wapendwa wa jinsia Me,

Naombeni mnisaidie Leo, huwa kwenye akili zenu mnafikiria nini pale unakuta mkaka anaenda ku confess hisia zake kwa mwanamke mwingine, while each and every day unaona anapost either ni girlie wake ama mkewe kabisa.

Na sometimes kamuweka mwanamke wake profile huku anatupia madini kwa mwanamke mwingine.! Hivi huwa nafsi haziwasuti?

Nabaki najiuliza hivi huwa hamuoni hata aibu kidogo tu? Kamtu kanakupiga sound, kameweka simu mezani, halafu wallpaper kaweka picha ya familia yake pengine mkewe na katoto kake, sasa unashindwa kuelewa hii kifaa hata haijishtukii kweli?

I once had this guy alikuwa ananipendaga tu maskini sema akakuta ile kani mvutano kwa upande wangu haipo kabisa, sasa akaja kuwa kwa mahusiano with this beautiful girl, I real can admit that, baadhi yetu mdada akiwa mzuri huwa tunajua na tunakubali kwamba maan, she is real something.

Nikajiskia vizuri kwa ajili yake sababu nikajua ule usumbufu na manung'uniko for years yatakuwa yamefika kikomo, lakini wapi.

Anapost pisi yake kali na ni kali kweli, na maneno kedekede yale mazuri mazuri ya kwenye movie za kifilipino, halafu akitoka hapo anakuja kukuambia 'unajua Carleen wewe ndiyo mwanamke ninayekupenda sana'.

Unabaki unashangaa whaaaaat? 😂
Huoni hata haya? Walaqhi' wanaume mtapigwa radi kwa hizo tabia zenu.!

Kitu ingine inashangaza zaidi ni vile akiona kitu chochote kwako, anakuwa very very mad, he is very jealous mpaka anakasirika kabisa, sasa unashindwaa, mbona uko na mdada wako mrembo kabisa umempost everywhere dunia nzima inamfahamu ni nini tena mbaya na wadada wengine?

Wanaume hebu kuweni wakweli, huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu mkiwa mnatenda hayo, hata roho haziwashtuki kweli?
Ngoja nipite mapito haya. Kuna nukta kadhaa zinazo jibu swali lako kwa ufasaha, nukta hizo nazigawanya katika makundi mawili au matatu ikibidi.

1. Asili
Kiasili sisi wanaume tumeumbwa katika silika ya kumiliki wanawake wengi, ila kuhusu idadi maalumu ikawekwa kwa mlengo fulani, na wengine hawajali kuhusu idadi maalumu ya kumiliki Wanawake. Lakini pia tukapewa uwezo wa kujizuia kutongoza tongoza hovyo.

2. Kujistukia ni jambo la dharura/lazima
Kawaida kwa mtu makini na akili timamu anapo fanya jambo baya lazima ajistukie hasa akiwa na nia mbaya, na tena huenda mbali na kujutia pia.

Wale wasio jistukia wapo katika moja ya makundi haya mawili :
(a) Wazinzi walio kubuhu, na kwa ujinga wao huona kutongoza tongoza ndiyo uana ume. Hawa si Wanaume kamili, sababu wametanguliza tamaa mbele huku mauti nyuma.
(b) Wenye kufata mkumbo na kushikiwa akili na kujiendekeza.

Hitimisho
Mwanamke mmoja hatoshi kwa sisi marijali tulio kidhi vigezo vya kuwa na Wake wengi (Ndiyo maana tuna oa) ila kutongoza tongoza na kutaka wanawake ni tamaa na kujiendekeza na si katika sifa za Wanaume kamili, kwani katika Wanaume kuna Wanaume.
 
Nitawasalimu baadaye,

Kuna jambo moja huwa mnanishangaza nalo ndugu zangu wapendwa wa jinsia Me,

Naombeni mnisaidie Leo, huwa kwenye akili zenu mnafikiria nini pale unakuta mkaka anaenda ku confess hisia zake kwa mwanamke mwingine, while each and every day unaona anapost either ni girlie wake ama mkewe kabisa.

Na sometimes kamuweka mwanamke wake profile huku anatupia madini kwa mwanamke mwingine.! Hivi huwa nafsi haziwasuti?

Nabaki najiuliza hivi huwa hamuoni hata aibu kidogo tu? Kamtu kanakupiga sound, kameweka simu mezani, halafu wallpaper kaweka picha ya familia yake pengine mkewe na katoto kake, sasa unashindwa kuelewa hii kifaa hata haijishtukii kweli?

I once had this guy alikuwa ananipendaga tu maskini sema akakuta ile kani mvutano kwa upande wangu haipo kabisa, sasa akaja kuwa kwa mahusiano with this beautiful girl, I real can admit that, baadhi yetu mdada akiwa mzuri huwa tunajua na tunakubali kwamba maan, she is real something.

Nikajiskia vizuri kwa ajili yake sababu nikajua ule usumbufu na manung'uniko for years yatakuwa yamefika kikomo, lakini wapi.

Anapost pisi yake kali na ni kali kweli, na maneno kedekede yale mazuri mazuri ya kwenye movie za kifilipino, halafu akitoka hapo anakuja kukuambia 'unajua Carleen wewe ndiyo mwanamke ninayekupenda sana'.

Unabaki unashangaa whaaaaat? 😂
Huoni hata haya? Walaqhi' wanaume mtapigwa radi kwa hizo tabia zenu.!

Kitu ingine inashangaza zaidi ni vile akiona kitu chochote kwako, anakuwa very very mad, he is very jealous mpaka anakasirika kabisa, sasa unashindwaa, mbona uko na mdada wako mrembo kabisa umempost everywhere dunia nzima inamfahamu ni nini tena mbaya na wadada wengine?

Wanaume hebu kuweni wakweli, huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu mkiwa mnatenda hayo, hata roho haziwashtuki kweli?
Lazma uelewe tu katika mahusiano yetu mengi ya kibongo kutokana na mazoea hufikia point yanakuwaga hayana mzuka regardless una mingle na mrembo au HB kiasi gani.

Hii husababishwa na upande mmoja kutoona ulazima kuendelea ku put efforts ili kuendeleza zile love sparks. Hapo romance yote inakufa kibudu zinaanza lawama na mambo huwa mabaya zaidi hapo.

Watu huanza kuchepuka from there
ili tu kupata zile sparks za mapenzi na kwa mtu akiwa mpenzi mpya hii huwa automatic tu mnafanyiana special treatments..Romance huwa juu inaenda mpaka pale mmoja akikata efforts tena mapenzi yanakosa nguvu...Mtu anahamia pengine kimya kimya ukimfuma mnaachana, circle inaendelea hivo hivo!!!

So huyo jamaa either anakosa input kwa huyo manzi baada ya kuwa washakulana na ni wapenzi wa mda mrefu kidogo. Zile love sparks zimekufa anazitafutia kwako sasa.
 
Huo ndio unaitwa uanaume wenyewe sasa.
Tena asipokua makini anaweza hata kutoa maneno ya kejeli na kashfa kwa huyo mwingine ilimradi tu athibitishe yuko kwako asilimia zote.

Anawezapondea mke wake au mchumba wake hadi ukabaki na maswali yasiyo na majibu kama haya unayoniuliza hapa sasa hivi.

Aibu inamezewa na kufunikwa kabisa na uhitaji wa mwili wakati huo.

Sie wanaume ni wabinafsi sana, kuna wakati hata x wako hautaki umuone na mtu wakati hamna chochote kinaendelea kati yenu.
Huyo ni mimi kabisa, nikitaka langu naweza tumia siasa kama za TAL anvyomuuaga JPM vile 😁😁😁 hahaha ila deepdown najua kabisa ninachokifanya mungu anisamehe tu!
 
mimi na maclassmate hapana kabisa ila wanawake mnabadilika kwa kasi sana hasa kimaumbile. Kuna mmoja tulisoma wote primary alikua ananukia kimchele mchele amekaa kihasara hasara, inshort alikuwa anatengwa sana na kutaniwa ila kwa sasa kwnye grupu la shule yeye ndo pisi kali kila mtu anatamani awe naye nakiri yupo vzuri mno.
Kuna mabinti wakiwa wadogo huwa hawana mvuto kabisa. Chogo refu, sura mbaya ukichanganya na kipili pili ila dah. Wakishatoka chuchu nundu na hips huku tuziwa tumesimama freshi akatia na tunywele dawa na lipbum aisee acha tu!
 
Nitawasalimu baadaye,

Kuna jambo moja huwa mnanishangaza nalo ndugu zangu wapendwa wa jinsia Me,

Naombeni mnisaidie Leo, huwa kwenye akili zenu mnafikiria nini pale unakuta mkaka anaenda ku confess hisia zake kwa mwanamke mwingine, while each and every day unaona anapost either ni girlie wake ama mkewe kabisa.

Na sometimes kamuweka mwanamke wake profile huku anatupia madini kwa mwanamke mwingine.! Hivi huwa nafsi haziwasuti?

Nabaki najiuliza hivi huwa hamuoni hata aibu kidogo tu? Kamtu kanakupiga sound, kameweka simu mezani, halafu wallpaper kaweka picha ya familia yake pengine mkewe na katoto kake, sasa unashindwa kuelewa hii kifaa hata haijishtukii kweli?

I once had this guy alikuwa ananipendaga tu maskini sema akakuta ile kani mvutano kwa upande wangu haipo kabisa, sasa akaja kuwa kwa mahusiano with this beautiful girl, I real can admit that, baadhi yetu mdada akiwa mzuri huwa tunajua na tunakubali kwamba maan, she is real something.

Nikajiskia vizuri kwa ajili yake sababu nikajua ule usumbufu na manung'uniko for years yatakuwa yamefika kikomo, lakini wapi.

Anapost pisi yake kali na ni kali kweli, na maneno kedekede yale mazuri mazuri ya kwenye movie za kifilipino, halafu akitoka hapo anakuja kukuambia 'unajua Carleen wewe ndiyo mwanamke ninayekupenda sana'.

Unabaki unashangaa whaaaaat? 😂
Huoni hata haya? Walaqhi' wanaume mtapigwa radi kwa hizo tabia zenu.!

Kitu ingine inashangaza zaidi ni vile akiona kitu chochote kwako, anakuwa very very mad, he is very jealous mpaka anakasirika kabisa, sasa unashindwaa, mbona uko na mdada wako mrembo kabisa umempost everywhere dunia nzima inamfahamu ni nini tena mbaya na wadada wengine?

Wanaume hebu kuweni wakweli, huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu mkiwa mnatenda hayo, hata roho haziwashtuki kweli?
Ungemkubalia mshikaji ungejua ni kwanini, asa unamkataa mshikaji afu unakuja kusumbua binadamu huku
 
Siu useme tu baada ya jamaa kupata demu mkali kuliko wewe umetokea kumkubali sema inakuuma kwanini ulimkataa. Ukijifanya asali jilambe sasa. Jamaa kiufupi anataka akutafune tu ila sio kwamba unamvutia kwasasa kama zamani

Umewai kuona Fisi anaacha nyama .
Mkuu nikupongeze kwa jicho la tatu, wanawake wengine husumbua sana hasa ukimfata ukiwa huna demu kabisa na akalijua hilo, unakuta hana mzuka na wewe kabisa regardless unamshawishi kiasi gani. Na unaeza kuta manzi hata sio mkali kivile ila basi tu anakuona kama sio type yake unajisumbua tu kumfuatilia.

Ila ukisema uachane na kumsumbua yeye ukabahatika kupata pisi kali kinyama iliomuacha kilomita 800 kwa uzuri na mvuto huwa wanachanganyikiwa kabisa yani.

Unashangaa tu yani akishajua ile pisi mwiba ndio kitu yako basi analainika ghafla. Anaeza jidai hata alikuwa anajipa mda kwanza kutafakari ila kumbe ushapata mtu mwengine. Anajuta kimoyomoyo anatamani angekubali yeye ndio awe wako sasa badala ya hio pisi na uzuri wake ni kwamba wengi huishia kuliwa kimasihara.

Mimi kama baharia mfawidhi, naona kabisa Carleen anachojaribu kuwasilisha ni kama anajiskia aibu kumsumbua mchizi ambaye alimuweka low specs, ila kumbe jamaa sio alivyomfikiria. Jamaa ana potential ya kuwa na mwanamke mzuri tu kuliko hata yeye tofaut na alivyomchukulia poa na sasa anatamani amkubalie of which hana ujanja atakubali aliwe tu kwa japo kwa aibu ila lazma ataonjwa kimasihara tu,tushagonga sana ngozi kwa style hio. Uzoefu nilio nao kwa hawa ndugu zetu na saikolojia yao ni swala la mda tu.

Hii kujisemesha eti mtu hauoni aibu una mke au pisi yako kali af unaomba mambo kwa mtu ambaye ulishamtokea ni geresha tu 🤣🤣🤣 kimsingi kashakubali ila kale ka aibu tu...Eti ningetaka ningempa toka mwanzo shubamit!!! Sababu ya kumpa alikuwa hana ila kashaipata sasa 🤣🤣🤣
 
Mkuu nikupongeze kwa jicho la tatu, wanawake wengine husumbua sana hasa ukimfata ukiwa huna demu kabisa na akalijua hilo, unakuta hana mzuka na wewe kabisa regardless unamshawishi kiasi gani. Na unaeza kuta manzi hata sio mkali kivile ila basi tu anakuona kama sio type yake unajisumbua tu kumfuatilia.

Ila ukisema uachane na kumsumbua yeye ukabahatika kupata pisi kali kinyama iliomuacha kilomita 800 kwa uzuri na mvuto huwa wanachanganyikiwa kabisa yani.

Unashangaa tu yani akishajua ile pisi mwiba ndio kitu yako basi analainika ghafla. Anaeza jidai hata alikuwa anajipa mda kwanza kutafakari ila kumbe ushapata mtu mwengine. Anajuta kimoyomoyo anatamani angekubali yeye ndio awe wako sasa badala ya hio pisi na uzuri wake ni kwamba wengi huishia kuliwa kimasihara.

Mimi kama baharia mfawidhi, naona kabisa Carleen anachojaribu kuwasilisha ni kama anajiskia aibu kumsumbua mchizi ambaye alimuweka low specs, ila kumbe jamaa sio alivyomfikiria. Jamaa ana potential ya kuwa na mwanamke mzuri tu kuliko hata yeye tofaut na alivyomchukulia poa na sasa anatamani amkubalie of which hana ujanja atakubali aliwe tu kwa japo kwa aibu ila lazma ataonjwa kimasihara tu,tushagonga sana ngozi kwa style hio. Uzoefu nilio nao kwa hawa ndugu zetu na saikolojia yao ni swala la mda tu.

Hii kujisemesha eti mtu hauoni aibu una mke au pisi yako kali af unaomba mambo kwa mtu ambaye ulishamtokea ni geresha tu kimsingi kashakubali ila kale ka aibu tu...Eti ningetaka ningempa toka mwanzo shubamit!!! Sababu ya kumpa alikuwa hana ila kashaipata sasa
Principle tatu za kibaaaria ambazo hazijawai feli
1. Demu akikukataa tafuta pisi kali kuliko yeye na mfanye aone wivu post kila maali kama haja view mtumie inbox

2 . Tafuta rafiki yake wa karibu au ndugu kabisa tafuna uyo ataumia sana.

3. Tafuta pesa .

Hakika izi hazijawai feli
 
Back
Top Bottom