Sijakuelewa,Mwanaume na mwanamke ni vitu viwili tofauti ila vinashahabiana kwa asilimia nyingi...pia kwanzia leo unapaswa ujue hili,
Mwanaume ni kwa ajili ya kila mwanamke na mwanamke ni kwa mwanaume mmoja tu linapokuja suala la mahusiano.Umenielewa wewe?




Ewaaaah'..!Wanaume wengine tunaamini pepo yetu ipo hapa duniani Wala si kwengine.. kwa taarifa yako huwa hatujisuti,tunajiskia burudaani.. ila in a serious way pamoja na yote hayo mke tunamuheshimu!.. don't ask inawezekana vipi ni siri ya kambi..!
da mkuu hii nimeipenda haswaaaaMwanaume ukimuwekea hapa mademu 10 wakali kabisa ukamwambia achague mmoja, atachagua! Lakini wale 9 waliobaki nao bado atawataka.
So usifikiria alivopata huyo demu mkali ndo ukadhani karidhika kukukosa wewe.
Ni wenye hofu ya Mungu tu ndo wanaweza kutulizana na kuridhika na mmoja aliyenaye
Nakuelewa sana Bro na unajua hii.!Inahitaji kipaji kwa mwanaume kuridhika.
Hekima ya hali ya juu sana inahitajika kuweza kuituliza nafsi ya mwanaume kwamba ridhika (kinai).
Ni kama ukiwa nyumbani, hata kama TV inaonyesha kipindi kizuri kabisa, hakina tatizo lolote, utashika remote uzururezurure channel zingine hata kama hawana kitu cha maana kisha unarudi kwenye ile ile ya awali, hapo umeshapitwa na mambo ya muhimu yaliyokua yanaendelea wakati una manga manga kwenye channel zingine.
Maamuzi yetu kwenye hii tasnia hua ya ghafla yenye kukosa utulivu. Wachache, narudia tena wachache wanaoweza kumudu na kusimamia kutokuongozwa na hisia wanafanikiwa sana.
Mtuombee tu. Najua wapo watakaosema tunajiendekeza.
I like this.!Social media ni kufata mkumbo tu..
Haiakisi real life..
Wengine tuna post mradi Tu uende na jamii ilivyo...
Watu wa siku hizi ndugu yako akifa hujampost hawakuelewi kabisa..au birthday ya gf /Mke hujampost ni ni kesi kubwa...
Deep down maisha yetu halisi hayako kwenye social media
Liked,Mwanaume ukimuwekea hapa mademu 10 wakali kabisa ukamwambia achague mmoja, atachagua! Lakini wale 9 waliobaki nao bado atawataka.
So usifikiria alivopata huyo demu mkali ndo ukadhani karidhika kukukosa wewe.
Ni wenye hofu ya Mungu tu ndo wanaweza kutulizana na kuridhika na mmoja aliyenaye
Haijalishi sana (hatujali kabisa....its a non issue)........tena ndio vizuri anajua una mtu wako na familia kabisa (yeye akikubali ajue ni nyumba ndogo tu).Bro swali langu lilikuwa wakati mnatupia madini kwa wanawake wengine huku sura za wake zenu zinawatazama pichani huwa hamjishtukii.??
Haha, bruh'..!Mbona hata wanawake wapo wa dizaini hiyo? Ana mume na watoto, but kutwa anadonyolewa na mabodaboda, hata mimi huwa najiuliza sana![]()
Mwanamke hawezi kukunyima kisa picha ya mwanamke mwemzake iko kwenye profile.mnajua mlivyo wengi na mnajua hakuna mwamaume mwenye mke mmojaNilitaka kufahamu huwa mioyo haiwasuti mkiwa mnatongoza mtu mwingine huku ume display sura ya ubavu wako.???
Ooooooow'...!Haijalishi sana (hatujali kabisa....its a non issue)........tena ndio vizuri anajua una mtu wako na familia kabisa (yeye akikubali ajue ni nyumba ndogo tu).
And by the way, wanawake wengi wanapenda uwazi wa namna hiyo....anapenda amjue mkeo ili ajue namna ya kuepa/kujikinga......just in case kuna "fumanizi" au kitu cha kufanana nacho. Na wengine akiona una mke mzuri kumzidi yeye....anakubali kirahisi zaidi.....nafikiri anaona umemthamini hivi....?
Labda kwa vijana wadogo wanaojifunza kutongoza inaweza kuwasumbua.
Kabisa.....haisumbui kabisa. Kama pete tu.....kwani tunavua?Ooooooow'...!
Kwahiyo kumbe mnakuwa mme relax kabisa na hata haiwapi mawazo.!! Haha.! Wanaume Mungu azidi kuwapigania..!
Ahsante mkuu, hii tu ndiyo nilitaka kujua.!
Kwa upande wa waliooa kidogo naweza kubali, na je kwa ambao bado ni wapenzi.?Mwanamke hawezi kukunyima kisa picha ya mwanamke mwemzake iko kwenye profile.mnajua mlivyo wengi na mnajua hakuna mwamaume mwenye mke mmoja