Eti uchochezi, uchochezi gani?

Eti uchochezi, uchochezi gani?

Hawa jamaa wataenda hivi hivi tu mpaka mkono unaisha!!
Badala ya kukaa chini kuleta strategic za maendeleo wao nadhani wanakaa chini vikao kibao kujadili ukawa.. Hamadi watashtuka mkono umeisha... Wasishangae wakatemana wenyewe kwa wenyewe
 
JPM anatumia nguvu nyingi sana kuwaminya upinzani hadi anaudhi. Sio mfuasi wa ukawa ila Hakuna sababu ya kuminya maoni yao na kuvamia vikao vya vya ndani huu ni upuuuzi
 
Oohoo...tayari mods washaanza kuminya uhuru wetu wa kujieleza.

Post yangu yenye picha wameifuta!
Usijari Nyani..Nasikia wanatishwa pia si umeona I.T.V...Eti Leo wamegoma kutangaza tukio la viongozi wa Chadema kukamatwa..what the hell is this???
 
Hili neno uchochezi lingekuwa linatumika hapa US kama linavyotumika huko bongo nadhani nusu ya wamarekani wangekuwa Guatanamo na media kibao ikiwemo Facebook zingekuwa zishafungwa. Afrika kuna vituko sana!
Demokrasia yetu bado inakua hata huko yankee kuna kipindi wabantu walikuwa hawapigi kura kwa hiyo kiubishiubishi tutalisonga tu lakini di kwa njia Ya kupinga udikteta.
 
Demokrasia yetu bado inakua hata huko yankee kuna kipindi wabantu walikuwa hawapigi kura kwa hiyo kiubishiubishi tutalisonga tu lakini di kwa njia Ya kupinga udikteta.
Kuna mambo Afrika tunafanya kusudi sana. Pamoja na uchanga wa demokrasia uliopo lakini sio hivi tunavyofanya Afrika. Na kwa style hii likely maendeleo yatachelewa sana kwasababu participatory approach na uzalendo utapungua. Infact, hivi vitu viwili ni muhimu sana katika kuchochea maendeleo (ushiriki/supports na uzalendo).
 
Broo hebu jitahidi umpe heshma yake sema mh.rais!acha kumwita jamaa!!!alafu nakushauri upunguze mihemuko!!tulia usipandishe mitero yako kwani utajiumiza mwenyewe!!
Nenda huko
 
Kama huzielewi habari za uchochezi kwa nini usiende mahakamani kuuliza ili ueleweshwe?

Hekima na busara hazipimwi kwa kutumia hisia yako.

Rais hana hekima wala busara kwa mujibu wa nani?

Kuishi katika dunia ya fikra zako haina maana ndivyo dunia ilivyo.
Ndg yangu usijidanganye, hata waliyokuwa wakimshangilia Adolf Hitler baadae walikuja kuanza kulia, ila walikosa wa kumlilia.
 
soma penal code uelimike,
acha kupoteza memory space ya jf pasi ulazuma plz
 
Kuna mambo Afrika tunafanya kusudi sana. Pamoja na uchanga wa demokrasia uliopo lakini sio hivi tunavyofanya Afrika. Na kwa style hii likely maendeleo yatachelewa sana kwasababu participatory approach na uzalendo utapungua. Infact, hivi vitu viwili ni muhimu sana katika kuchochea maendeleo (ushiriki/supports na uzalendo).
Uzalendo kupungua kwa asilimia chache Ya wananchi ni jambo la kawaida kwenye nchi yeyote,hata huko yankee sio raia wote wanakupenda,ni bora hayo maandeleo kuchelewa kuliko kuwa na demokrasi Ya kulazimishwa Kama ya kulazimishwa Kama Ya Libya.
 
Hizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.

Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?

Kumpindua Magufuli?

Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.

Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.

Hovyo kabisa!

Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
Haha haha haha huu ni ukweli mtupu haha haha haha usalama wa JF upo hatarini
 
Back
Top Bottom