Eti uchochezi, uchochezi gani?

Eti uchochezi, uchochezi gani?

Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye
Anapambana na wachochezi. Na ana kila dalili za kubaki madarakani
 
Hizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.

Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?

Kumpindua Magufuli?

Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.

Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.

Hovyo kabisa!

Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
Hii post ya Nyani Ngabu inafikirisha sana...
 
Huyu ni Nyani Ngabu au? Atakuwa anatamani hii post ifutike. Nyani Ngabu vipi? Siku hizi umekuwa mtetezi mkuu wa Sizonje kwa kila analofanya.
 
Serikali kweli ina mkono mrefu.Usicheze na Serikali hata kidogo. Kuna jamaa mmoja utawala uliopita aliambiwa ukiendelea kumsemasema Mkulu tutakuua. Alikuwa akituma ujumbe si unajua JK aligawa namba zake.
 
Hizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.

Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?

Kumpindua Magufuli?

Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.

Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.

Hovyo kabisa!

Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa! kotchaaaaaa...tena mchana kweupe.

duniani kuna watu hata wakiishi na malaika (achilia mbali kuishi ughaibuni) hawatakaa wajitambue hata siku moja...duh!!
 
Hizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.

Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?

Kumpindua Magufuli?

Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.

Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.

Hovyo kabisa!

Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
Post yako ni sawa kabisa na jina Lako!
 
Hatimaye mtaelewa tu tulivyowaambia tuna kiongozi asiyejiamini kabisa. Na hii ndo sababu ya yeye kufoka kila siku ili kutisha watu. Na atawafunga kweli kweli mpaka magereza yajae. Na kumbuka alishasema anataka kuwatumia wafungwa kufanya kazi kwelikweli! Nyani Ngabu na wengine madiaspora kama kina Slaa na Mwanakijiji, ni swala la muda tu mtakuja elewa kwamba mliyemshangilia sana anaweza kuja kuwapiga marufuku kurudi Tanzania...kisa nyie wachochezi. Tusubiri
 
Huyu ni Nyani Ngabu au? Atakuwa anatamani hii post ifutike. Nyani Ngabu vipi? Siku hizi umekuwa mtetezi mkuu wa Sizonje kwa kila analofanya.

Negative.

Msimamo wangu bado ni uleule.

Akikosea kwenye jambo nitamchana. Akipatia, nitamuunga mkono.

I'm independent like that.

So who's the joke on now....?
 
Ukiusikia ni PM maana itabidi nilale nakunywa dompo tu mpaka asubuhi
Na nyie ndugu zangu kunywa "dompo" na ulevi kupindikia ndio fasheni yenu. Hata siajabu katika yote ukafikiria "dompo".
 
Hizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.

Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?

Kumpindua Magufuli?

Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.

Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.

Hovyo kabisa!

Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.

Kweli kabisa
 
Kama huzielewi habari za uchochezi kwa nini usiende mahakamani kuuliza ili ueleweshwe?

Hekima na busara hazipimwi kwa kutumia hisia yako.

Rais hana hekima wala busara kwa mujibu wa nani?

Kuishi katika dunia ya fikra zako haina maana ndivyo dunia ilivyo.
DUUUH povu lote hilo?
 
Back
Top Bottom