Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Kuna tetesi zinasema jamaa aliokota embe kwenye mparachichi sijui inahusiana vipi hapa!!! Na yeye alishasema alikua hana hakika kama angekua rais!!!
Broo hebu jitahidi umpe heshma yake sema mh.rais!acha kumwita jamaa!!!alafu nakushauri upunguze mihemuko!!tulia usipandishe mitero yako kwani utajiumiza mwenyewe!!Hizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.
Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?
Kumpindua Magufuli?
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.
Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.
Hovyo kabisa!
Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.

Sasa mtandao wangu halafu wewe unanikaribisha?Kwenye mtandao, Mr. Top Talker.
Mwanakijiji fahamu zilishamtoka siku nyingi na alipoona akina Polepole wanapewa ulaji kajiweka mkao wa kula ili naye akumbukwe.Unafiki unalipa sana hapa bongo!Chaguo la Mzee Mwanakijiji
Sina nia mbaya dear,lengo ni mimi nipate kafuraha kidogo kwa sababu hiyo miguu inafanana na maua jamani!!God forbid😀
Lyamkyeku hujambo maee!!Kama wewe ulivyoandika hapo ni uchochezi😛
Sikujua kuwa wewe ni mpuuzi kiasi hiki aisee....Unafahamu Geocities ni kitu gani?
Na bado.Sikujua kuwa wewe ni mpuuzi kiasi hiki aisee.
PolisiHizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.
Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?
Kumpindua Magufuli?
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.
Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.
Hovyo kabisa!
Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
Ha ha ha, ninangoja kuujua.Na bado.
Upuuzi wangu hata theluthi hujaujua bado.
Ngoja tu.Ha ha ha, ninangoja kuujua.
Ni kwamba wamechochea kuni na moto wa mabadiliko umekuwa hauvumiliki.Hizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.
Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?
Kumpindua Magufuli?
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.
Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.
Hovyo kabisa!
Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
Wa hovyo mamako kwanzaHizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.
Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?
Kumpindua Magufuli?
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.
Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.
Hovyo kabisa!
Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
Pita mbali na huo ugalatia wako....
Kama wanavyongojea ujio wa pili wa Yesu Kristo.
Sasa mtandao wangu halafu wewe unanikaribisha?
Mimi nilikuwepo kwenye mtandao tangu enzi za Geocities.
Unafahamu Geocities ni kitu gani?
Ngadu
Yesu alisema rudi nyuma shetani we, na shetani akarudi, na sisi tuseme rudi nyuma ccm.....kwa kukataa uvunjifu wa katiba.
Mungu tena akaufanya moyo wa farao uwe mgumu aliamuadhibu. Hakika adhabu ya Mungu ni kubwa kuliko maanadamano na makelele ya wapinzani.
mimi niliposikia tu kwao hakuwa First born nilijiuliza sana
Kawaida first born wanakuwaga natural leaders