shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,800
- 4,319
mm nashindwa kuelewa kabsa wapi twaelekea
Kuna watu wanadai mbona Nyani Ngabu huwa hapigwi ban na JF!!
Haya endelea kuwa "top talker". Mtandao ni wako, karibu.Sio mwaka huu tu. Miaka yote mimi ni top talker, kwa sababu nina cha kusema mara zote.
Kazi kwako tu.
Hiyo miguu yako hapo kwenye avatar yako kuna jinsi huwa inanitesa!Kama wewe ulivyoandika hapo ni uchochezi😛
Maisha ni magumu sana kwa upande wangu,,sitaki kusikia lolote lile.tangu utawala huu uingie biashara zangu zinayumba vibaya sana.[HASHTAG]#uchochezi[/HASHTAG] huu#
mm nashindwa kuelewa kabsa wapi twaelekea
Sasa kama mtandao ni wangu unanikaribisha wapi?Haya endelea kuwa "top talker". Mtandao ni wako, karibu.
Hiyo miguu yako hapo kwenye avatar yako kuna jinsi huwa inanitesa!
Hizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.
Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?
Kumpindua Magufuli?
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.
Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.
Hovyo kabisa!
Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
Inakutesaje🙂🙂Hiyo miguu yako hapo kwenye avatar yako kuna jinsi huwa inanitesa!
Teh!teh!!......mimi naitaka kwa siku moja tu mkuu halafu nitakuachia!hiyo miguu nishailipia tayari muulize
Natamani siku moja niishike shike mwaya!Inakutesaje🙂🙂
God forbid😀Natamani siku moja niishike shike mwaya!
viwanda bado sana maana meng yanatokea mapya hata yaliyoongelewa mahakama ya mafisadi bado majangaHuoni tunakaribia 'Tanzania ya viwanda'?
Kwenye mtandao, Mr. Top Talker.Sasa kama mtandao ni wangu unanikaribisha wapi?
Hakuna mtu anayeongoza kwa kupigwa ban humu kama NN.
viwanda bado sana maana meng yanatokea mapya hata yaliyoongelewa mahakama ya mafisadi bado majanga
Kwamba tulizoea corruption na kilio kwamba maisha yamekuwa magumu kinamaanisha "bring back corruption" au anti-corruption strategies za utawala huu ni za kienyeji, over-simplified? Kuna mjadala unaendelea kuhusu suala hili. Someone (a scholar, for sure) wrote somewhere: "Can you dig more deeply into the Tanzanian narrative and maybe you and I can do a think piece, a short theoretical intervention that urges scholars and policy experts to reckon with how a narrow focus on anticorruption without attention to corruption's social character and without the implementation of easing and ameliorative mechanisms in the economy can in fact worsen conditions and hurt the very people the anti-corruption measures are designed to help. This would be a short, provocative debate starter and I'm sure we can place it in a respectable journal or an E-zine like Pambazuka. I'm envisioning it as a critique of blind devotion to the neoliberal jargons, buzzwords, and grammar of anticorruption, a devotion that fails to reckon with how some of what we call corruption in the lingo of modern democratic governance is, for good or bad, integral to the economic wellbeing of many citizens and must therefore be carefully engaged in crafting a realistic anticorruption regime that will not kill the economy in the process of combating graft. When I was reflecting on this issue what came to my mind was the axiom that scholars should engage with the world as it is not as they wish it to be. In other words, the "bring back corruption" narrative that is percolating in Nigeria and Tanzania (and perhaps in other countries) should not simply be dismissed as an anomalous, fleeting sentiment. We must take it seriously and engage it as a poignant expression of the hardship people are experiencing, of actual conditions in these countries."