Wewe ni mchochezi[HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG] Mwaka huu mtanena kwa lugha zote lakini lazima mnyooke...hakuna maigizo hapa ni kazi tu.
Wewe ni mchochezi[HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG] Mwaka huu mtanena kwa lugha zote lakini lazima mnyooke...hakuna maigizo hapa ni kazi tu.
Kabisa, siku ya leo BBC swahili Ukuta, Voa kiswahili ni Ukuta, DW Ukuta, yaani wewe acha tuKiukweli sikuwa nafahamu kama CHADEMA wanatisha na wanaogopeka kiasi hiki, umarufu weka umepaa ndani ya wiki tatu ndani na nje ya mipaka ya Tanzania kuliko wakati mwingine wowote tangu kusajiliwa kwake, mbinu hii imefanikiwa kwa 100%.
Sawa babu.Nilishamaliza miaka zaidi ya kumi kabla.
Nimeipenda hiiNi upumbavu mtupu, kurupuka ya kapuku
Uzamivu wa wivu, uza mbivu kwa saba buku
Baba kakaba LUKU, siasa kahaba shuku
Sio Wamakonde Maraba lakini kwa mahaba ya kuku
Tutakula mpaka panya buku chukuchuku
Dukuduku, OSS, aliye juu mpandie, usimngoje hukuhuku
Chai kwa pipi, sukari kiki
Elimu bure vipi huku redio unafungia?
Misukule pipi wenzio unatuungia?
Idi Amin asiye makini, nyama la baharini
Majina manne ubini, diva kwini, kingi wa magirini
Pol Pot, Ze Comedy Joti, baba mkusanya noti
Gusa shoti, samasoti, mwendo wa speedboti
Baba bwabwaja, jinga la haja, baja kaja
Paji kaa paja, Opobo Jaja, Black Maharajjah
Bwabwa kiporo, watu kihoro, limelala doro
Chini godoro, Dar mpaka Moro, twapitia Muhoro?
Serikali kali, bila uhalali, kwa mtaji wa shari
Hii manuwari, itenda muhali, vipi hadi dahari?
Chama mrama, ndama kapama, maziwa yahama
Hili drama la karma kama Obama na Osama

Hizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.
Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?
Kumpindua Magufuli?
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.
Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.
Hovyo kabisa!
Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
Haya; hamna tabu.Sawa babu.
Akiendelea kufanya "anachofanya" vizuri ataendelea na kuwa wa maisha kama mu7, PK na RM. Wengine haya tuliyajua mapema tukaonya lakini tuliambulia kuitwa watetezi wa mafisadi.Anaweza akawa Rais wa awamu moja.
Watu kama akina January usione wapo kimya, waswahili wanasema ukiona Kobe kainama ujue anatunga Sheria.
Miezi 10 madarakani, kaharibu kila kitu. Wananchi, Wanasiasa, Wafanyabiashara hata Watumishi hawana amani na huyu jamaa!!
Bora uendelee kutokuwa na uhakika hivyo hivyo, kuliko kujipa moyo.Guys we have to be patient, presidaa yashamuwia magumu ndio maana anasema tumwombee.Tuweni watulivu tu pengine mabo yatanyooka ingawa sina uhakika.
I can assure you...so muda mrefu jf itapigwa piniHizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.
Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?
Kumpindua Magufuli?
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.
Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.
Hovyo kabisa!
Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
Alooo.... kwa nilivyo mskia akiongea hata Makonda ana nafuu.Taifa ninajenga watu wa kujipendekeza na wanafiki....ukimsikiliza AG unaweza sema afadhalo ya mwenyekiti wa mtaa
Ndiyooooooooooooo!Kukosoa ni uchochezi.
Yes, ni chaguo la Mungu.Hahahaa kuna watu waliwahi kusema huyu ni 'chaguo la Mungu'