Eti uchochezi, uchochezi gani?

Eti uchochezi, uchochezi gani?

Jamani tuwe tunaandika vizuri maana hapa JF ndo mnakopumlia sasa msijekusababisha ban ya haja hapa.Tumia maneno mazuri ili muendelee kuwewesekea hapa JF
 
Ana dharau sana kwetu sisi watumishi, anasema tuhamie tu Dodoma kama hatutaki tuache kazi... hii ni lugha ya dharau sana kwa mtu unayefanya naye kazi. Hata msichana wako wa kazi ukimuambia nataka uwe unawahi kuamka kama hutaki acha kazi, tayari unakua umemjengea kitu kichwani

Amesema ukweli...kama hamtaki anzeni mbere... Wafanyakazi wa serikali si ndio wenyewe mlikuwa mbele kumchagua... sasa isomeni namba muelewe.. Safi sana.
 
Rais hana miaka miwili anaitwa dikteta tukitaka maendeleo lazima tuwe wavumilivu na tuweke siasa pembeni,hata kenya kulikuwa na KANU ikashindwa na wapinzani na wapinzani hakuna kitu walichobadilisha kwa Mwananchi wa kawaida,rushwa ipo ka kawa,ukabila ka Kawa,uvunjaji wa haki za binadamu ka kawa,ndio mkapa aliwaita malofa,ulofa sio lazima uwe Mali kuna ulofa wa akili pia.
 
Amesema ukweli...kama hamtaki anzeni mbere... Wafanyakazi wa serikali si ndio wenyewe mlikuwa mbele kumchagua... sasa isomeni namba muelewe.. Safi sana.
Duu haya bana, lakini mimi nipo makini sana kuchagua viongozi
 
Polisi kamata hii mtu fasta! Jina lake halisi ni Julius Maghembe au Magembe
Weka ushahidi kuwa hilo ndo jina langu la ukweli.

Eti jina lake halisi...hahaaa.

Hujui kwamba naweza kutunga jina feki ambalo nitalitumia kwa purposes za kiJF?
 
Huyu kafanya a very direct kabisa "name-calling" ila hajapigwa ban. Ila mimi, yale maneno ya kusema 'natilia mashaka hii ID' yalitosha kunipiga ban fasta fasta (within 10 minutes) kwa tuhuma za "name-calling". Ama kwa hakika sasa nimeamini moja kati ya mambo mawili
1.Kuna baadhi ya wanasiasa wameshapenyeza 'watu wao' ndani ya JF ambao ni moderators na wanawalinda kwa gharama yoyote ile, kama yule mheshimiwa niliemtilia shaka na kupelekea mimi kupigwa ban ya kipuuzi; au
2.Humu JF hakuna equal treatment kwa members wote mnaangalia majina!!

Cc JamiiForums chakii Invisible
Don't worry. No one knows my real name in here because no one has ever seen my ID card or birth certificate!
 
Hizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.

Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?

Kumpindua Magufuli?

Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.

Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.

Hovyo kabisa!

Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
Wacha atumie muda mwingi kuwabana sasa hivi kabla hawachukulia mazoea yale ya kuchekewachekewa. mwanzoni nguvu kubwa wakishaelewa hamna nguvu itakaypotukima kila mtu atafuata Sheria na Taratibu za nchi. Walilemazwa wakajua ndio kawaida!
 
Kuifungia JF hawataweza bali wataihack kama walivyofanya kipindi cha uchaguzi, aliehack atajiona mtabeee kumbe ni kucheza na server tu
 
Ana dharau sana kwetu sisi watumishi, anasema tuhamie tu Dodoma kama hatutaki tuache kazi... hii ni lugha ya dharau sana kwa mtu unayefanya naye kazi. Hata msichana wako wa kazi ukimuambia nataka uwe unawahi kuamka kama hutaki acha kazi, tayari unakua umemjengea kitu kichwani
Usijifananishe na msichana wa ndani,tatizo ni nini ukiambiwa ka utaki acha kazi mbona neno la kawaida tu kwa bosi yeyote,tatizo mlizoea kubembelezwa hii ndio lugha inayotakiwa
 
Usijifananishe na msichana wa ndani,tatizo ni nini ukiambiwa ka utaki acha kazi mbona neno la kawaida tu kwa bosi yeyote,tatizo mlizoea kubembelezwa hii ndio lugha inayotakiwa

Mwalimu wako alipata shida sana kukuelimiaha.
 
Hizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.

Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?

Kumpindua Magufuli?

Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.

Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.

Hovyo kabisa!

Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
Ngabu ama wewe ni mchovu kama kauli za haou watuhumiwa kuchochea basi subiri wakutusi wewe
 
mawazo ya upande mmoja hayawezi kamwe kulisogeza taifa mbele. Sasa kila mtu ni wasiwasi tu, muda wowote unaweza pia kuambiwa imechochea moto.
 
mawazo ya upande mmoja hayawezi kamwe kulisogeza taifa mbele. Sasa kila mtu ni wasiwasi tu, muda wowote unaweza pia kuambiwa imechochea moto.
Kamanda mzima unakuwa muoga kiasi hiki. Sasa kama ndio hivyo nani atatokea kwenye maandamano tarehe mosi Septemba?
 
Hahahaa kuna watu waliwahi kusema huyu ni 'chaguo la Mungu'

Pengine walikuwa sawa. Swali ni kuwa huyo Mungu alichaguo hilo changuo ni mungu yupi? Ukipata jibu la swali hilo wala hutapingana nao. Wako miungu wengi tu, hata kama mtu ameamua kumwandika kwa herufi kubwa haimaanishi chochote.
 
Back
Top Bottom