Wewe mwenyewe umeishanyooka ila unajikaza tu kwa kuwa akili hauna na huo Ujinga wako wa kijingalao.[HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG] Mwaka huu mtanena kwa lugha zote lakini lazima mnyooke...hakuna maigizo hapa ni kazi tu.
Kabisa, siku ya leo BBC swahili Ukuta, Voa kiswahili ni Ukuta, DW Ukuta, yaani wewe acha tu
Kuna Mbunge aliwahi kusema bungeni kuwa "wateule wa Raisi wanafanyakazi kwa mzuka wa Rais" Waziri mmoja alipinga kwa kunung'unika sana.Nakuelewa sana Nyani.
Binafsi nampenda na kumuheshimu binadamu asiyeogopa kuelezea hisia zake juu ya jambo fulani hata kama ni haki yake kisa tu anawaogopa watu flani.
Ndio maana hata kati ya wabunge wote wa ccm waliopo, Musukuma is my fovorite kwa sababu anasimamia anachokiamini na kukisema bila kugopa mtu.
Kuhusu huyu mheshimiwa mtukufu malaika mkuu tulienae, anachofanya ni kutumia intimidation kuwatawala kwanzia hao wasaidizi wake kiasi kwamba hata wao wenyewe sasa wanazitafsri kauli zake kwa namna itakayompendeza yeye.
Nna huakika wengi wao zaidi ya 90% akiwemo mkuu mwenyewe, ukiwauliza haya maneno ya mtandaoni yanachochea vipi uvunjifu wa amani hawawezi kutoa majibu sahihi.
Hivi ni kweli kuwa vijana wasomi wa ccm kweli wanamwona kuwa anafanya sawa?
Watakamatwa kwa kosa la uchochezi na kuambulia kipigo cha polisi.Tanzania ambayo Africa nzima tuliheshimika tumegeuka mara hii kuwa kichekesho. Nchi inaendeshwa na matamko ya viongozi tu. Taratibu za kila siku zimeshindikana. Jamani huyu mtu hana watoto wa kumwambia. Tafadhali wasanii wamtungie wimbo kama ule wa "Riziwan ongea na mshua......."
Nyani haoni kundule!Hivi ni kweli kuwa vijana wasomi wa ccm kweli wanamwona kuwa anafanya sawa?
Hili nalo linasadifu jina lake. Vijana wenye njaa na wabinafsi wenye kujali matumbo yao tuu bila ya kuangalia kizazi kijacho[HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG] Mwaka huu mtanena kwa lugha zote lakini lazima mnyooke...hakuna maigizo hapa ni kazi tu.
hivi wewe kumbe kweli ni jingalao?[HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG] Mwaka huu mtanena kwa lugha zote lakini lazima mnyooke...hakuna maigizo hapa ni kazi tu.
Anaweza akawa Rais wa awamu moja.
Watu kama akina January usione wapo kimya, waswahili wanasema ukiona Kobe kainama ujue anatunga Sheria.
Miezi 10 madarakani, kaharibu kila kitu. Wananchi, Wanasiasa, Wafanyabiashara hata Watumishi hawana amani na huyu jamaa!!
USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji631]ngoja uletewe arrest warrant na interpol ndiyo utaelewa kama kiswahili ni lugha ya taifa ama la! !
Hapa tukimtegemea yesu tumeumia dadangu,ye mwenyewe mpaka leo hatujuwi anarudi lini.Ngabu
Yesu alisema rudi nyuma shetani we, na shetani akarudi, na sisi tuseme rudi nyuma ccm.....kwa kukataa uvunjifu wa katiba.
Mungu tena akaufanya moyo wa farao uwe mgumu aliamuadhibu. Hakika adhabu ya Mungu ni kubwa kuliko maanadamano na makelele ya wapinzani.
inasikitisha sanaAjabu kabisa Kaka, Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Polisi walitanda kial kona kuhakikisha hakuna njama na kumzuia Magu kuwa Mwenyekiti wa Chama,
Lakini kwenye Mkutano waCUF, Polisi ndio waliokuwa wanamuingizakwa Nguvu Mjumbe (Lipumba) asiyestahili kuingia kwenye mkutano ule, na hata fujo zilipotokea hakunaPolisi aliyeingia kuzuia fujo zile, sasa hapo nani ni mvunjifu wa Amani?
Sasa tumuombee Kitu gani?anaumwa? Anatuchaganya tu huyu.Guys we have to be patient, presidaa yashamuwia magumu ndio maana anasema tumwombee.Tuweni watulivu tu pengine mabo yatanyooka ingawa sina uhakika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanadai UKUTA ni neno la kichochezi & kigaidi. Na haitashangaa BBC, Voa & DW zikafungiwa na Nape kurusha matangazo yao TZ kwa kutangaza uchochezi
Bila shaka hata huyo aliyepinga alipinga huku akilenga kuongeza credibility kwa raisi. Yaani hata yeye mwenyewe pia alipinga kwa mzuka wa raisiKuna Mbunge aliwahi kusema bungeni kuwa "wateule wa Raisi wanafanyakazi kwa mzuka wa Rais" Waziri mmoja alipinga kwa kunung'unika sana.