snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
ahahahhahahhahhahah we mtoto mi mwenza wangu nani!mbona wataka nidundwe mamito wakoo!
walahi nyuki mie mbona balaa hili!
ahahahhahahhahhahah we mtoto mi mwenza wangu nani!mbona wataka nidundwe mamito wakoo!
Mwe mwe mwe mwe. Leo napambwa hvi? Si bure.. Lazma niote
njoo pm basiMie ni SHE
unamaanisha/hebu mfafanulie mwenzio vizuri banaaaa!afu bidada nakutahadharisha kabisaaaa usije sema sikukwambia. Ukikutana na hensamu boy mmoja hivi, mrefu, rangi ya mtume, akicheka ana dimpozi, body structure iliyokwenda shule na mwenye tabasamu la haja aitwa C6 tafadhali akikusemesha usigeuze hata jicho moja. Ni baba watoto wangu a.k.a baba kijacho!!
Labda nikupe kakaangu mpenzi Nicas Mtei, kijana mtanashati, mpole mwenye mapenzi ya kweli sema huwa ana bahati mbaya ya kukutana na magumegume. Huyu yupo singo.... Haya VODACOM KAZI NI KWAKO....
njoo pm basi
mbona umenisahau mimi shosti? vukani karibu tu, soma mchezo taratibu na wewe utakuwa mwenyeji, ila usiwe unapotea sana.....
Wera weraaaaa my lawyer.... Ila usisahau kunialika kula ubwabwa!!!!
unamaanisha/hebu mfafanulie mwenzio vizuri banaaaa!
unamaanisha/hebu mfafanulie mwenzio vizuri banaaaa!
Ye sumu mi maziwa. Lazma aishiwe nguvu.
Hahahahahahahahahahaha
Bosssss nilifikiri umekwisha lala.
Kijacho akijambo?
ndio mwaliim!mi niliona tu mpendhi dhimekua zingi zingiiii!ndo nikaulidha!Nicas Mtei ni kaka yangu mpenzi but hatuna mahaba ... source: Judgement
ana mapenzi ya kweli kutokana na maelezo ya mpenziwe (x-wifi).... umenipata snowhite???
Shemeji. Kwani kuna fumbo hapo?
he heeeeeeeeeeee, himaya haitajwi hadharani, si unajua watu wanavyopenda ambavyo ni TAKEN? wataanza kumng'ang'ania hapa kama mpira wa kona..... aku mwaya, ngoja niendelee kumdatisha kwa raha zangukweli aseee, mwambie basi himaya yako asijevamia bure....