Eti, nifanye nini?

Ahsante dada
kwa hiyo hapa kwa kifupi watu hawajuani zaidi ya kupiga soga tu, au nimekosea?

Hapo nimezungumzia kwa upande wangu kama mfano,
Kwa hivo yawezekana wapo wanaojuana kabisa na tusiojuana tupo ila twapendana kiJF!
 

Acha kumuogopesha mwenzako wewe...!
 
Last edited by a moderator:
he heeeeeeeeeeee, himaya haitajwi hadharani, si unajua watu wanavyopenda ambavyo ni TAKEN? wataanza kumng'ang'ania hapa kama mpira wa kona..... aku mwaya, ngoja niendelee kumdatisha kwa raha zangu

umeona enh!shurti ajijue mwenyeweeeeeeeeh!
 
mbona mie hujanitaja...hujui mie ndio nashikilia ufunguo wa huu mjengo, sasa leo lazima ulale nje

Afu we shem,
Umekimbia nyumba unakuja kupunga upepo huku.
Ntakukata DuDu yako.
 
Mwache acheze cheze kidogo alaf na hisi atakuwa mwana hip hop!

hajambo saaana... nambembeleza hapa alale ndiposa nami nlale... yan mtoto mtukutu hata kabla hajatoka mutumbo kha!!!! alitoka cjui itakuwaje????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…