Habari za asubuhi wandugu wapenzi!!!!!!!!!!!!
Morning hoyeeeee..... wapi wifi langu la ukwenheee!!! mwaka lazima kieleweke ili mwakani ndimu na pemba zihusikeee Madame B bado umelala?????
Burudani muhimu Mkuu ndio maana wengine wanakuwa wateja wa JF hata kulala hawalali ukiwakuta makazini au vyuoni wamechokaaa!!! lol! kisa addiction waliyokuwa nayo na jamvi la JF inayowafanya wakati mwingine kukesha jamvini.
Habari za asubuhi wandugu wapenzi!!!!!!!!!!!!
Morng charmingladyMorning hoyeeeee..... wapi wifi langu la ukwenheee!!! mwaka lazima kieleweke ili mwakani ndimu na pemba zihusikeee Madame B bado umelala?????
Shkamoo charminglady. Nakutakia siku njema.
Habari za asubuhi wandugu wapenzi!!!!!!!!!!!!
Jamani hamtak Bishanga apoze machungu ya kutoswa na The secretary?
Mi hata siwajui watu wa humu....namjua nanii tu ila hayupo kwa sasa!
Byeeee vukani
Erickb52 umeokoka siku hizi ?umetoka bila kumpa neno
Ili niwe mwenyeji wa jukwaa hili la Chit Chat?
Kwa kifupi mimi ninaishi Arusha, lakini nimezaliwa Dar na kukulia Dar ingawa wazazi wangu ni wenyeji wa Kilimanjaro. Kule Arusha niko Kibiashara, nikisafiri safiri kwenda Nairobi na Kampala kibiashara.
kwa sasa niko Dar kwa wazazi wangu nikisubiri kula sikukuu.
Hahahaha! Nakupendaga manake una maakili sana Nicas Mtei !ID yako nyingine inaitwaje?
Nicas Mtei hata mimi ni mtazamaji tu!!!