Kuwa makini na mtu anayependa kukusifu tu kuwa wewe ni hot, interest zake kwako ni za kingono tu, ukipata ajali na ukawa unakaa kwenye wheeling chair, hatokujali wala kuona thamani yako tena, angalia maisha ya yule Superman aliyeumia na kuanza kuishi kwa kutegemea wheeling chair, Mke wake alikuwa mwenye upendo wa kweli, aliendelea kumjali, ingekuwa ishu ya you are hot, asingehangaika naye, wanaosema uko hot, wengi wanakuwa na interest za kingono tu
According to klorokwin: Kuwa romantic ni kujenga mazingira ya mapenzi ambayo yatamfanya mwenza wako kila wakati ajiskie raha na furaha kuwa karibu yako. Hii inajumuisha majukumu, uchokozi, utundu, Uhashuo (source:gaijin), SRM nakadhalika nakadhalika.
Romantic gauge: Ukitaka kujijua how romantic u are kwa mwenza wako jaribu kumuaga unaenda safari, huzuni yake ukiondoka na mawasiliano yake wakati upo safarini yatakujulisha ni kiasi gani umefanikiwa kuwa romantic kwake.
Ukiona umemuaga waifu, halaf waifu linafurahia na ukiondoka tu limezima simu na ukirejea safari waifu limenenepa ujue romantic gauge yako iko zero au minus. (Dedicationa yako ni wimbo wa "samaki pole")
Nimemaliza
Hahahahahahh umemaliza shemeji yangu. Lizzy haitaji presha hapa. Ghobyala mayo ghobyala ghawiza, alikwing'ombe ghobyala ghawizaa eh.
Nahene lolo, bhebhe ang'u
Kabla hatujaenda mbali jamani, what is romance? To keep it simple, mi nasema romance ni jinsi unavyotenda mbele ya mpenzi wako. It is a stupid definition, but with a lot of meaning... Unaweza kumfanyia mke/mpenzi wako mambo mengi sana kumfurahisha, lakini hata asishtuke. Wanawake wa kiafrica wanafurahishwa na wanaume wanaowahakikishia kuwa wako safe katika MAZINGIRA YA KIAFRICA
Hapana, ni mazingira yanayojengwa/tengenezwa ili kuamsha/kukoleza hisia za mapenzi kwa mwenza (nisome tena mkuu Moskwito).
....owkey,.....kwahiyo tafsiri yako romance ni hisia?...
...i second with with you... kwani kwa tafsiri yangu, being romantic ni vile ninavyomjali mwenzangu/mwenzangu anavyonijali ....
...ni pale ninapofikia level ambayo njaa yake, shida zake, raha zake, wasiwasi wake, matarajio yake, machungu yake, wasiwasiwasi na mengineyo mengi niwezavyo kuyachukulia kama sehemu ya maisha yangu...(empathy!)...
---'spiritual' level ya mapenzi---
Kwani hailiki/hailambiki????
Siku hizi nasikia hata vibabu vimeshazoea....Wewe umechelewa wapi au bado una hang-over ya mwaka 1947???
...hehehehe....e bana umemaliza kila kitu...ATM, kuchunwa, buzi.....
ngoja wenyewe waje kupinga hapa.
wakati huo huo na mimi na swali kwa wanaume wenzangu;
kuwa romantic maana yake nini?
1. ?
2. ?
3. ?
mmmmmmhhhhhhhh!!!!Kama mtu hauko romantic, na unajijua kweli hauko romantic, usijidanganye kuwa uko romantic, jifunze juwa romantic, hata kwenye internent, unakuta mwanaume mwingine anajisifu kuwa romantic wakati anatumia kugha ya matusi, kumtukana Mpenzi wake kila mara na hata kumpiga wanapokuwa ndani pamoja, huyo ana maana kweli, hata asafiri mwaka mzima huna mpango naye, sana sana atakukuta umeshakuwa na mwingine.
come on DC acha hizo bana,usiniharibie breakfast yangu ya supu ya miguu ya kuku,mwenzio najichana hapa keko toroli.
...i second with with you... kwani kwa tafsiri yangu, being romantic ni vile ninavyomjali mwenzangu/mwenzangu anavyonijali ....
...ni pale ninapofikia level ambayo njaa yake, shida zake, raha zake, wasiwasi wake, matarajio yake, machungu yake, wasiwasiwasi na mengineyo mengi niwezavyo kuyachukulia kama sehemu ya maisha yangu...(empathy!)...
---'spiritual' level ya mapenzi---
Mkuu moskwito, hapo buluu japo ni tafsiri yako binafsi lakini naomba niulize kidogo!
Hivi haujawahi kuwaona binadamu ambao they find it so romantic when their partners are careless and kinda animal behaved? , umewahi kuyaona maisha ya wale street rock and rollers?
MJ1 si bora kikwapa? nimesema K bana tena in capital letters,lol!!!!!!!
The Boss
nafikiri at the end of the day inategemea huyo mwanamke unayem-date au kuishi naye
kwa wanawake wenye uwezo wa pesa au mko nje ya nchi, ukinijia na kuku au mchele nakutimulia mbalini. aggggrrrrr .............
mwanamke anaeweza kujikimu kimaisha hahitaji zawadi za aina hiyo, anahitaji zawadi 'sentimental things' zaidi. A diamond ring, a mini cooper or chocolates and perfumes will do, thank you very much :]
Kama kweli umefikia hapo, na katika dunia hii ya vichaa wa dot.com na wale misukule wa 1947 wanaohangaika kuwaiga, basi huna chako...Nakushaur ujiunge na convient uwe towashi tu!!!
Huo ndio wosia wa Babu DC!!
Do they call them romantics? The way I see those street rock and rollers dont want to hear that word around them. lol
I guess they will define it as down to earth, spiritually connected, punk love......
The word romantic has roots on certain things which goes more with the classic culture than pop culture ......
or is it just me ??
Tatizo la kulamba K liko wapi kwani? lol .....
Be romantic ulambe hiyo kitu mara moja moja ........ ha ha ha