Eti hatujui... kipimo gani kinatumika?

Nyerere aliwahi kusema wazungu wanaotufundisha demokrasia ndio hao hao waliotutawala. .Sisi Watanzania tunapendana Kitanzania tena kwa kutofautiana kwa makabila namila zetu.Kwa hiyo kama kimila kupigana ndo mahaba waliozoea wataona ajabu ukiwaambia hayo sio mapenzi.Kushikana mikono tukitembea au kubusiana hadharani hayo kwetu sio mapenzi ni kukosa aibu na nidhamu kwa hiyo mtu asitufundishe kuwa ndio mahaba.Sisi tumestarabika sio wanyama.
 
Mhh ashadii anajua hili, ila wa hivo si unawajua kwenye uchumba tu kaizer, au walikuwa wanaficha makucha

Sweetie wangu analijua hili Shantel...hapo ilikuwa wakati wa uchumba kabla sijamwoa bibie...sasa hivi nala wali wa nazi kwa raha zangu...maromance ya KIBANTU kwa sana tu....upo hapo....(siku hizi eti wanasema 'samaki hana rivasi')
 
Sweetie wangu analijua hili Shantel...hapo ilikuwa wakati wa uchumba kabla sijamwoa bibie...sasa hivi nala wali wa nazi kwa raha zangu...maromance ya KIBANTU kwa sana tu....upo hapo....(siku hizi eti wanasema 'samaki hana rivasi')
Huh, wali wa nazi waujua weye, je samvu la karanga kwa ugali??bora kama anajua maana asijepata sapraizi humu, maromance ya kibongo bibi mbele bwana nyuma wakitembea hakuna kukaribiana
 

Kabisa ndugu yangu, nimeona hapa nilipo kufanya mapenzi lazima mpigane makofi kwenye makalio au mgongoni, tena kibao chenyewe cha nguvu sana... mara ya kwanza nilifikiri labda nimekosea na nilihamaki sana! baadaye akanielezea kuwa ni jambo la kawaida kabisa... halafu lazima uwe craizy katika sex, sio kama nyumbani. Huku mnaanzia jikoni mnaviringishana mpaka utakapo malizia mambo yenu... hapo kusiwe na kitu karibu maana lazima utapigwa nacho. huku hakuna sex zaidi ya fujo tupu.
 
Wapi taliban au
 
Unajua mnapoanza mapenzi, kila mtu mara nyingi anatambua nini kapenda kwa mwenzake, na maneno pia yaliyowavuta pamoja, sio wakati mnaanzana ulikuwa unamwambia nakupenda a thousand times kwa siku, then ije kuisha kabisa mpaka unauliza mpenzi unanipenda kweli, then njemba inakujibu"unauliza jibu" muendeleze yale yaliyowafanya muwe pamoja
 
heeee unaweza kuduka mwisho wa mechi sehemu haziko zimenyofolewa, mapenzi gani hayo, mambo slow but sure
 
aaagh nimekimbilia kufungua hi nikajua unauliza ile viwili au kimoja au vitati tunatumia kipimo gani ku quantify kumbe we unaongelea sijui manini..aghhh
 
aaagh nimekimbilia kufungua hi nikajua unauliza ile viwili au kimoja au vitati tunatumia kipimo gani ku quantify kumbe we unaongelea sijui manini..aghhh

Umekwama wapi mkuu??

Hebu tupe uzoefu wako na wewe...Side yako. Tayari tuna wale wa mapenzi ya kizamani....kwao gunila la mchele, mkaa au zawadi ya kware ni mahaba tosha. Pia kuna wale ambao bila maua maua na maneno matamu matamu kwa English ya Kisukuma au kikurya ndo mpango!

Wewe uko upande gani??
 

Wewe Sara,

Huwezi kukimbia marathon kwa pace ile ile....Mwanzoni lazima ukamue sana ila huwezi ku-mantain hiyo speed wakati wote!

Hata hivyo, wanaume wengi (nikiwamo mimi) hawapendi hayo maswali ya ajabu ajabu.."eti, unanipenda kweli sweeie wangu DC"? Hilo swali linakera sana na kama kuna uwezekano sitasema kitu...!
 
Mwanaume shurti aje na mchele na mapochopocho sio maua, na awe na taste za kiafrika, mauzungu mie siyapendi
oooh bby this bby that tooooooo fake

Karibu sana ndugu,

Umechagua fungu bora....Nitakutafuta unijulishe jinsi ya kukutumia zawadi yako!

Inatia moyo sana kwamba kumbe bado kuna vijana wanaochukua maigizo ambayo baadhi ya watu wanakuwa fooled kwamba ni mahaba!
 
Dc unanipenda kweli???
 
du, kwa hiyo mahaba anayapima kwa plasma sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…