Ahsante sana Mwalimu wangu,
Siwezi kuacha kuwa na wasi wasi ndugu.. Unajua, enzi zetu wanawake walifundwa na kufundishwa kusema maneno mawili makubwa kwa mume wake ..."NDIYO" na "AHSANTE"!!! Sasa inawezekana mama DC bado anaaply hayo mafunzo na mimi nakenua mijino kwamba ninaweza kumbe patupu!!!
Hata hivyo huwa anafurahia migunia yangu ya mikaa na kuku wa Boss,... ingawa maji simsaidii kubeba!!
lol.....Dah!Ahsante sana Mwalimu wangu,
Siwezi kuacha kuwa na wasi wasi ndugu.. Unajua, enzi zetu wanawake walifundwa na kufundishwa kusema maneno mawili makubwa kwa mume wake ..."NDIYO" na "AHSANTE"!!! Sasa inawezekana mama DC bado anaaply hayo mafunzo na mimi nakenua mijino kwamba ninaweza kumbe patupu!!!
Hata hivyo huwa anafurahia migunia yangu ya mikaa na kuku wa Boss,... ingawa maji simsaidii kubeba!!
Ahsante sana Mwalimu wangu,
Siwezi kuacha kuwa na wasi wasi ndugu.. Unajua, enzi zetu wanawake walifundwa na kufundishwa kusema maneno mawili makubwa kwa mume wake ..."NDIYO" na "AHSANTE"!!!
1. Ni kweli wanaume wa Kitanzania hawajui mahaba??
2. Kama hawajui, ni kosa lao peke yao au na wenzi wao (wanawake)???
3. Na vigezo gani vinatumiwa ku-judge kama mtu anajua mahaba au la?
Sasa inawezekana mama DC bado anaaply hayo mafunzo na mimi nakenua mijino kwamba ninaweza kumbe patupu!!!
Hata hivyo huwa anafurahia migunia yangu ya mikaa na kuku wa Boss,... ingawa maji simsaidii kubeba!!
Gunia la mkaa na kuku mwenzangu, maua ya nini mie, hata sijui maana yake,sie tushazoea zawadi unaletewa blue lady na wewe unapeleka ayu sasa hii ya maua haijakaa vizuri@Shantel,
halaf kuna mod tunataftana ubaya kweli hapa, yaani daily nikiquote post za Shantel ananibania lakini ole wake nisimjue.
bek to ze topik: sasa wewe unafagilia zile za mauwa au gunia la mkaa na kuku?
Mie mwenzenu nimejifunza mengi ila haya ndiyo makubwa,
Mahaba ndiyo kwa kizungu yanaitwa romance hata kama Gai hataki kusikia hivyo. Na haya mahaba hayawezi kuwa generalized...Njiwa wa Muhogo Mchungu anaweza kuzua hisia za mahaba sawa sawa au zaidi ya chorcolates and mabusu ya wazungu!! Kwa ufupi tu, dume la ng'ombe wa kimasai ni ng'ombe dume sawa na dume la friesian ingawa wanatofautiana kwa attributes nyingi sana!
Pili, hakuna mahaba kama mwisho wake hautakuwa kwenye ngono...Ndo maana hakuna mahaba kati ya baba na binti yake au kijana na mama yake mzazia....Exceptions hapa ni kwa wanyama kama mbuzi na ng'ombe. (Hii naongeza mwenyewe....Kwa vile kila mtu anajua kufanya ngono, basi atakuwa na vichembe chembe vyake vya mahaba kwa mwenzi wake)!!
Tatu, mahaba ni kwa watu wawili tu.. mbinu zao haziwezi kutumiwa na watu wengine hata kama mmoja wao ndiye anayehamia kwa mtu mwingine. Hii inanikumbusha mambo nilisoma mahali kwamba, "sex is an art learned over time and used by a couple, it cannot be transferred to another pair". Hapa tunahimizwa tukwepane na mambo ya kuiga iga vya watu...!! Kwa ufupi hakuna package ya mahaba ambayo ni universal!!
Kabla sijasahau...Kuna waliosema kuwa hakuna dominance kwenye mambo ya mahaba...Kwa hiyo hata mahaba yetu ya kule kijijini yako juu tu ingawa vijana wa dot com wanayumbishwa na luninga!
Naishia hapa kwa sasa...Nitarudi baadaye kumalizia!
Mwenye cha kuongeza alete hapa....PM Not allowed!!!![/QUOTE]
Nilibahatika kuuona huu mjadala kupitia wanabidii.........it was hot. Watu wanajibu hoja kwa references jamani ah. kuna points zilizungumziwa kule nikabaki kumwomba mwenzi wangu abakie wa kibantu kama alivyo.
Gunia la mkaa na kuku mwenzangu, maua ya nini mie, hata sijui maana yake,sie tushazoea zawadi unaletewa blue lady na wewe unapeleka ayu sasa hii ya maua haijakaa vizuri
Thats my gal! hii kuiga iga inatukosti sana aisee! kuna familia niliwahi kuishuhudia , kijana alinikabili kuniambia kwamba waifu wake amemtaka wabane matumizi mpaka ya msosi na huduma za watoto ili wapate Plasma TV, na ahadi ya waifu kwa hazbendi ilikuwa ni kwamba hapo ndio ataamini kuwa mume wake anampenda! alitaka ushauri but sikumshauri kwavile nilijua effect ya ushauri wangu ingeharibu romance za watu.Gunia la mkaa na kuku mwenzangu, maua ya nini mie, hata sijui maana yake,sie tushazoea zawadi unaletewa blue lady na wewe unapeleka ayu sasa hii ya maua haijakaa vizuri
Haha labda ndio mie wallah, maana naona mambo mengi uloyasema yanaendana na style yangu lolMhhhh...Kama hawa wakubwa wa JF wangekuwa wanaruhusu ningeomba siku moja tu-break codes ili tuondokane na haya majina ya key boards,
Inawezekana wewe ndiye mama DC na mimi napata taabu hapa kwamba huenda unanichora wakati eti mahaba siyajui!!
Week ijayo naenda field, haki ya nani nitaongeza gunia jingine la mkaa. Pia nitaleta na bata dume!!
Haha labda ndio mie wallah, maana naona mambo mengi uloyasema yanaendana na style yangu lol
Thats my gal! hii kuiga iga inatukosti sana aisee! kuna familia niliwahi kuishuhudia , kijana alinikabili kuniambia kwamba waifu wake amemtaka wabane matumizi mpaka ya msosi na huduma za watoto ili wapate Plasma TV, na ahadi ya waifu kwa hazbendi ilikuwa ni kwamba hapo ndio ataamini kuwa mume wake anampenda! alitaka ushauri but sikumshauri kwavile nilijua effect ya ushauri wangu ingeharibu romance za watu.
Freddy Macha mbona kazua balaa!
DC hamkani....atangaza bata dume
Hii ni mada nyengine, samtaimu waswahili wana hii competition ya romance na mahaba, kaenda kwa jirani kaona hiki na yeye unamkuta anakomaa afanyiwe anasahau kuwa mwenza wake ni muuza karanga.Dah hii kali pamoja na kuolewa bado nikiwa dot com hii hapana ...............plsma tv inaongezaje mahaba au mie mshamba
Hii ni mada nyengine, samtaimu waswahili wana hii competition ya romance na mahaba, kaenda kwa jirani kaona hiki na yeye unamkuta anakomaa afanyiwe anasahau kuwa mwenza wake ni muuza karanga.
Hii ni mada nyengine, samtaimu waswahili wana hii competition ya romance na mahaba, kaenda kwa jirani kaona hiki na yeye unamkuta anakomaa afanyiwe anasahau kuwa mwenza wake ni muuza karanga.
Usivunje bana, si ndio vizuri kukujua au vipi banaUwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,
Haiwezekani Shantel.........Usitake nivunje hii PC.....Halafu fisadi wangu keshajiuzulu...Nitapata wapi nyingine??