hiyo point ya tatu imesimama sana lizy for sure hamna kipimo universal na sijui kingekuwepo SI unit yake sijui ingeitwaje
Unajua shemeji kuna pointi mnaimiss!
ukiangalia post ya The Boss, haikubase zaidi kwenye gunia la mkaa wala kuku, imebase zaidi kwenye mazingira ya namna kuku alivyoletwa na alivyopokelewa. Kamsome tena boss halaf refer kwenye definition yangu ya romance nilivyoieleza kabla.
Unajua shemeji kuna pointi mnaimiss!
ukiangalia post ya The Boss, haikubase zaidi kwenye gunia la mkaa wala kuku, imebase zaidi kwenye mazingira ya namna kuku alivyoletwa na alivyopokelewa. Kamsome tena boss halaf refer kwenye definition yangu ya romance nilivyoieleza kabla.
.
kwangu mimi kipimo ni katika muda huo naweza vipi kutekwa/kumteka/kutekana akili kiasi kwamba hata tutapokuwa mbali mbali, moyoni tutakuwa na uchu na kiu masaa au siku ziende haraka tupate kuwa pamoja tena....
...ndio maana nilimhoji awali klorokwini, romantic/'mahaba' ni hisia?
The Boss
Kwa kijijini labda ukirudi home mama watoto ukisikia yupo kisimani, kwenda kumfata huko, na kumpokea ndoo ya maji ukabeba wewe
Ikuda ya kuwa romantic kwa baba au watoto bado sijapata kuisikia.
Hebu toa maelezo ya kina
kichwa chako bado kabisa kina chemka mwayego!!!
khaa, unakuwaje romantic kwa kutimiza wajibu wako kama mke/mume? (ndo maana wanaambiwa hawako romantic maana kumbe hata hawajui unakuwaje romantic....lol!!!)
Hebu twambie katika kutimiza wajibu wake (ondoa mahaba) hao kuku angewaletaje?
Yeye kasema kawabeba huku na huku wanalia lia (ndio mahaba hayo?) halafu tena wanapokelewa na watoto waliotumwa na mama yao! Ndio mahaba hayo? au kwa vile majirani wako karibu?
Ningeelewa kama angesema katoka kazini kamkuta mkewe kakaa anachambua mboga basi naye akae ampe kampani naye achambue. Au mkewe anatwanga kisamvu kwenye kinu juani yeye amletee maji ya kunywa ampoze kiu!
Boss yeye nafikiri ka emphasize kwenye 'watu wengine' wawepo, waone choyo namna unavyojaliwa.
That's more like pride.... U might feel proud of your man for doing that, but that aren't no romance
...itafsiri romantic kwa kiswahili----mahaba!----mapenzi!-----, utagundua inawezekana sana tu...
tatizo nilionalo hapa, wengi wetu tukisoma romance tayari mawazo yanahamia ndani ya shuka, mmefunga mapazia, taa mmezima, na nyie wawili mnanong'ona....----
romantic/romance- mahaba, mahaba ni kitu gani? sio UPENDO? labda uliotimilika?, ninapomfanyia mwanangu kitu asichokitegemea it is not romantic?
unajua shemeji kuna pointi mnaimiss!
Ukiangalia post ya the boss, haikubase zaidi kwenye gunia la mkaa wala kuku, imebase zaidi kwenye mazingira ya namna kuku alivyoletwa na alivyopokelewa. Kamsome tena boss halaf refer kwenye definition yangu ya romance nilivyoieleza kabla.
khee Ikunda....
romantic si inatokana na neno romance?
hebu tembelea kamusi yako kwanza
boss yeye nafikiri ka emphasize kwenye 'watu wengine' wawepo, waone choyo namna unavyojaliwa.
That's more like pride.... U might feel proud of your man for doing that, but that aren't no romance
Mimi nina hakika tatizo ni hilo gunia la mkaa tu, mbona kwa wenzetu kuvika pete ya uchumba ni kama wajibu na still kile kitendo wanakiita ni the best romantic moment ever, tena hawa ndio wenye lugha yao.yaaani......kloro .....
Sijui hawaelewi nini hapo..lol
na mahaba limetoka kwenye neno gani???
mimi nina hakika tatizo ni hilo gunia la mkaa tu, mbona kwa wenzetu kuvika pete ya uchumba ni kama wajibu na still kile kitendo wanakiita ni the best romantic moment ever, tena hawa ndio wenye lugha yao.
hehehe huyu Ikuda kwa spidi alokuja nayo mwisho atatwambia mikutano ya Igunga pia ni romance. Dah!
kichwa chako bado kabisa kina chemka mwayego!!!
khaa, unakuwaje romantic kwa kutimiza wajibu wako kama mke/mume? (ndo maana wanaambiwa hawako romantic maana kumbe hata hawajui unakuwaje romantic....lol!!!)
Mkuu moskwito hapo we r sailing in the same boat.
suala la kizushi:
Je mambo yafuatayo hayahusiki kwenye kumteka mtu?
-wajibu?
-hisia?
-sex?
i love you not for whom you are but who i am when am by your side
na mahaba limetoka kwenye neno gani???
tunaenda mbele halafu tunarudi nyuma....
Tumeshasema kuwa haya mahaba yanatofautiana,watu na watu..
Culture na culture..........sasa sijui mnakataa nini na mnakubali nini??
Hivi kumnunulia mkeo a diamond ring.....ni mahaba sio?kwa kila culture???????
umeona eh?
Yaani hawa wadada wanaelewa wazungu lakini sisi hawatuelewi....
Kama mahaba inamfanya mwenzio ajisikie special na tofauti......
Na kitendo cha kuja na kuku wanalia lia mtaa mzima ukiona kimewezesha hilo la kujiona special na tofauti...
Bado wanaita sio mahaba...funny ehh?