....ohoooo,....sasa wewe ndio umeharibu kabisa, au unatania?
Usiponunua wewe hilo gunia la mkaa atanunuliwa na nani?
Tusichanganye wajibu na majukumu yako kama mume, na mahaba.
...no wonder wengine ati baada ya kuachana na wake zao wanasitisha hata matumizi kwa watoto wao.
...ni ujinga wa 'mwafrika'
...spot on, utapewa majina yote ya maudhi, ikiwamo umelishwa kipapai, ....na wanawake wasiojua 'kupendwa' hufikia hata
kujitapa mbele ya wajinga wenzake ati "nimemuweka kiganjani, hafurukuti!"...
thanks gurlie!!
Gee ngoja kwanza, hivi end result/s za kuwa romantic au romance zenyewe ni nini? unategemea nini unapoonyeesha mahabat ya nguvu kwa waubani wako?
ni kufurahia penzi zaidi. Ni ile kuridhika nafsi. Kuona mwenzio anakujali zaidi ya wajibu wake na kuwa nae ni special ( isiwe huoni tofauti ungeolewa na juma au james).
the boss
kwa kijijini labda ukirudi home mama watoto ukisikia yupo kisimani, kwenda kumfata huko, na kumpokea ndoo ya maji ukabeba wewe
Sasa wewe Mbu umeamua kuturudisha nyuma.....
Mimi kama mwanamume wa Kitanzania na Mwafrika origino (tena dume la mbegu), kama hayo mahaba hayahusiani na sex au hayatanisaida kupata sex nafanya ya nini???
Haki ya nani sina sababu ya kuyafanya kama mwisho wa siku naondoka patupu?? May be ninazeeka vibaya!!!
hahahaha umenikumbusha mbali kweli...enzi hizo na chai ya asubuhi......hii thread cjui niianzie wapi mackini!
hahahaha umenikumbusha mbali kweli...enzi hizo na chai ya asubuhi......hii thread cjui niianzie wapi mackini!
Ni kufurahia penzi zaidi. Ni ile kuridhika nafsi. Kuona mwenzio anakujali zaidi ya wajibu wake na kuwa nae ni special ( isiwe huoni tofauti ungeolewa na Juma au James).
The Boss
Kwa kijijini labda ukirudi home mama watoto ukisikia yupo kisimani, kwenda kumfata huko, na kumpokea ndoo ya maji ukabeba wewe
umeona ehhh?
Dark city umeona hii?
Wanajua kuwa tuko romantic ile mbaya...but wanataka.....the hollywood type.....
Hili ndio tatizo nowadays....
hapa kazi ipo! kwa hiyo romantic ni lazima iishie kwenye sex?? mtu hawezi kuwa romantic kwa mama yake, baba yake, watoto wake, na wengineo?
hapa kazi ipo! kwa hiyo romantic ni lazima iishie kwenye sex?? mtu hawezi kuwa romantic kwa mama yake, baba yake, watoto wake, na wengineo?
Dah! mkuu The Boss naomba nikutangaze rasmi kuwa starring wa hii thread.
Yaani huu mfano hai kabisa tena vere romantic llakini still bht ,gaijin na mj1 watabisha.
Inawezekana ni new release, acha tumsubirie Ikuda afafanueIkuda ya kuwa romantic kwa baba au watoto bado sijapata kuisikia.
Hebu toa maelezo ya kina
Mbu
Nilishawaambia kuwa kuna definition ya mume anavyotakiwa kuwa kimsingi
Romance ni zile extras ambazo si wajibu ila zikifanywa zinaongeza ladha ya mapenzi.
Anikande miguu hivi tukitoka safari (si mnajua mchuchimio na adhabu zake)....na mengineyo madogo madogo
Hahhaahhahahah Dah shemeji hapa kwa kweli hata sijui nijibuje. Nitasema tu hii ni WAJIBU wake The Boss kuleta chakula kwa familia yake. Romantic kwa tafsiri yangu hii haimo kwenye list.......eti Mbu ameleta kuku nyumbani ndo amekuwa romantic? ntamuona tu kuwa anawajibika kwa familia yake (na kama italazimishwa kuingizwa kwenye list basi atakuwa anakuwa romantic kwa familia yake. Anakuwa Romantic father).
Ni sawa na mie anikute niko jikoni ninampikia chakula, atasema mke wangu yuko romantic?
Hebu nirekebisheni hiki kichwa maana sasa naona ndio kabisaaaaa kinapoteza uelekeo.
Shemeji samahani kwa kubisha.

hehehe huyu Ikuda kwa spidi alokuja nayo mwisho atatwambia mikutano ya Igunga pia ni romance. Dah!khee Ikunda....
romantic si inatokana na neno romance?
hebu tembelea kamusi yako kwanza
heheeee mae hebu sema basi msukuma wako akikuletea manumbu na chai ya maziwa ndo unajiskia ako romantic au na wewe ni wale wa dotcom kwa mujibu wa kakaangu DC?