klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Najitolea kujibu suala la kizushi husika ....
Romance is a prerequisite to great sex as far as I'm concerned
dua yako imekubaliwa.hata uki fall.yeye hata kubali lol
Dah! mkuu ungekuwa unajibu maombi ya wanaJF nadhani ningeondoka patupu. loldua yako imekubaliwa.hata uki fall.yeye hata kubali lol
Hivi kweli mwalim haujawahi kuona in some cases great sex ndio inakuwa initiator ya the so called prerequisite?
Klorokwini mmmmh let me think ........hiyo s'kumbuki mbona.
Hivi kuna great sex isiyokuwa na romance? Manake hata ile kupigwa kibao inaweza kuwa ndio romance yenyewe kabla ya great sex!
Au kwa sie Waafrika, gunia lal mkaa ulilonunuliwa linaweza kutumika kama romance kwa mujibu wa DC na Boss
Wanawake wenye aibu ni mbegu adimu sana kizazi cha leo, halaf binafsi naona mwanamke anakuwa so romantic anapokuwa na kiaibu flani hivi.
Eeeeh mola nisaidie nisije nikafall kwa mwalim wangu gaijin. Aaamen!
Though its not recomended but you may try this to prove me right : Fanya sex na stranger halaf sex yake ikupagawishe utajikuta unakwenda backward from great sex toward romance.
Close ur eyes and give it a think.
Shemeji! kwanza aina ya aibu inategemea na level ya mahusiano eg, uchumba, ndoa nk. In short mahusiano ni timing, right action at the right time per right place. siwezi kukupa exact time ya kufanya ka aibuLol naona pasinipite....................Shemeji mwanamke mwenye kijiaibu ndo anakuwaje? Anaruhusiwa naye kuwa mtundu kidogo wakati wa ,Njenje, au ataonekana mcharuko? Hebu nijibu haraka nisije nikaachika shemeji yako nikafa kwa njaa!
Hivi kwani romance ni lazima iwe na mtu unaemjua? .......you cant have romance with a stranger?
Mbona hii mada inazidi kuota matawi .....lol
Shemeji! kwanza aina ya aibu inategemea na level ya mahusiano eg, uchumba, ndoa nk. In short mahusiano ni timing, right action at the right time per right place. siwezi kukupa exact time ya kufanya ka aibu
Kwenye kautani na vizawadi ni the best place kwa mwanamke kufanya kaaibu flani, even on bed kuna sometime unapenda unapomkazia macho mwenza wako alejeshe jicho la aibu na sio wewe umekodoa macho na yeye anakukodolea mimacho kama fundi alokosea kushona nguo akashona kidole by mistake. Tutatishana wajameni!
oooh nimekupata sasa mwalim, na nimejua tunakosana wapi!
Unajua hii mada kama sikosei inaongelea romance za long lasting relationship, yaani romance ambazo zinakeep going ndani ya relationship zetu (inawezekana niko wrong), lakini nadhani wewe unajaribu kuongelea ile romance ya pre sex preparation hata kama ni ya nusu saa, (nilekebishe kama nimekusoma sivyo)
Hahahahh nimecheka kwa nguvu shemeji aksante dah yaani talaka nadhani ishaanza kuandikwa heb nlegeze jicho mie maana dah! Mpaka yeye ndo huyafumba ya kwake!! Sijui ni hili jaaliwa langu! Jicho lenyewe ka la mgambo wa city akimkimbiza chinga sijui litalegezeka!!
heheheh lakini usisahau shem huko post za nyuma tulikubaliana kuwa kila mtu ana romantic chart yake, uskute Mbu hilo jicho la mgambo wa City ndio linampotezea faham.Hahahahh nimecheka kwa nguvu shemeji aksante dah yaani talaka nadhani ishaanza kuandikwa heb nlegeze jicho mie maana dah! Mpaka yeye ndo huyafumba ya kwake!! Sijui ni hili jaaliwa langu! Jicho lenyewe ka la mgambo wa city akimkimbiza chinga sijui litalegezeka!!
Mkuu moskwito, hapo buluu japo ni tafsiri yako binafsi lakini naomba niulize kidogo!
Hivi haujawahi kuwaona binadamu ambao they find it so romantic when their partners are careless and kinda animal behaved? , umewahi kuyaona maisha ya wale street rock and rollers?
Kwa hivi vingezo vyako, ambavyo tayari vimekatiwa rufaa na klorokwini, hebu basi malizia swali letu la msingi...Wanaume na wavulana wa Tz (ukiwemo na wewe), tunavyo hivyo au ndo tumebakiwa kuwa washika pembe ili majirani zetu (hapa namaani Wakongo na wengineo) waje kukamua???!!!
Umenisoma ndivyo sana. Nilijisahau kuwa topic ni romance ya watu wenye uhusiano mrefu kidogo
Tukirudi kwenye mada husika, maneno yako swadakta kabisa, great sex inawezekana bila romance japokuwa hapa pia tutakuwa tumetoka nje kidogo, strangers hawahusiki kwenye topic hii
Najitolea kujibu suala la kizushi husika ....
Romance is a prerequisite to great sex as far as I'm concerned
ewaaa!!!
ewaaa!!!
.....jamani hamjanielewa....
being ROMANTIC maana yake nini?
.....mnaposikia mtu anasemwa bwana fulani ana mahaba, mnaposikia nyinhgmbo mahaba ya dhati, mnaposikia sifa mahaba ya pwani...
being romantic ni wingi wa mahaba....mnalikuza sana hilo neno romance/romantic