Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,103
- 72,545
Yani my dia nimefika hapa sijaamini nachokikuta yani watu wana hasira sana jamani.Shost mie sitaki kuwaona wanavyozozana hebu tujaribu kuwatuliza maana hali ya hewa sio nzuri kabisa
Basi unasikitikaa eee teh teh tuliza wewe mi nishashindwaa