Eti alimsahau mtoto wake kwenye gari

Eti alimsahau mtoto wake kwenye gari

Status
Not open for further replies.

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,174
Reaction score
143,959
Mtoto unamweka mwenyewe kwenye gari, unamfunga kwenye car seat umpeleke daycare halafu uende kazini.

Badala ya kumpeleka daycare eti unamsahau kwenye gari huku vioo umefunga halafu wewe unaenda kazini.

Unamwacha mwanao (wa miezi 22) ndani ya gari kwenye joto la summer huko Georgia. Baada ya masaa 7 au nane unatoka kazini eti ndo unagundua kuwa ulimsahau mwanao kwenye gari!

Unaanza kujiliza kama vile umekuwa possessed! Yeah right! I ain't buying it one bit. Soma mwenyewe hii habari hapo chini.....

It was a tragedy from the outset: a toddler found dead apparently after being left alone for hours in a hot car, a distraught father blaming himself and facing serious criminal charges.

Now, Cobb County, Georgia, police imply there is more - much more - to the story.


"Much has changed about the circumstances leading up to the death of this 22-month-old since it was first reported," Cobb County Police Sgt. Dana Pierce told CNN. He would not elaborate, citing an ongoing investigation, but his words made it clear this was not just another case of a young life left and lost to heat exposure in a hot car.


"I've been in law enforcement for 34 years. What I know about this case shocks my conscience as a police officer, a father and a grandfather," said Pierce.

Initially, Justin Ross Harris, 33, told Cobb County police that he accidentally left his toddler son in his SUV on Wednesday. According to police, Harris told them he had forgotten to drop the child off at a daycare center, before going to work.

Harris initially told police he realized that he'd left the boy strapped in his car seat as he drove home Wednesday afternoon.
Investigators say patrol officers were in the area of the Akers Mill Square shopping center in the suburban Atlanta county when dispatchers received the calls from witnesses around 4:20 p.m.

"He kept saying, ‘What have I done? What have I done?'" Dale Hamilton told CNN affiliate WSB-TV.


"Within moments of the first responders getting to the scene and doing their job and questions began to be asked about the moments that led up to their arrival at the scene, some of those answers were not making sense to the first responders," Pierce of Cobb County Police said.


On Thursday, Harris pleaded not guilty to felony murder and cruelty to children charges. He's being held without bond at the Cobb County Jail.

CNN spoke with the child's mother, Leanna Harris, on Friday. Harris says she's been advised not to discuss the case with the media.
"We have been in communication with the mother throughout the investigation. At this time, I'm not at liberty to discuss her involvement. That's a part of the case our detectives are working on," Pierce said.

Cobb County Medical Operations Manager Mike Gerhard confirmed that the autopsy of the child is complete, although there are some questions.

Cobb County detectives and the medical examiner are working together to confirm the manner and cause of death, Pierce said.

According to the arrest warrant, the temperature reached 88 degrees in the area on Wednesday. Police said medical personnel believed the child had been in the SUV since 9 a.m., as Harris said.

But Pierce told CNN on Friday, "I cannot confirm that the child, as originally reported, was in the car at 9 a.m."
Calls to Justin Harris' attorney were not immediately returned.

Source
 
Nyani Ngabu hapo cha kwanza lazima wajiridhishe hakuna ugomvi kati ya mume na mke ndio mengine yafuate. Hawa watu wa huko majuu wakikorofishana na wake zao wanajua wanapoteza kila kitu hadi haki ya kuwa au kuwaona watoto wao, na hili linawafanya wachukue uamuzi wa kuua hao watoto ili wawakomoe wake zao....yameshatokea matukio mengi sana ya hivyo.
 
Last edited by a moderator:
ila simu na pochi hawasahau

Mtoto utamsahau vipi kwenye gari? Tena ambaye umemweka kwenye car seat inayoangalia nyuma kama ambavyo sheria inavyotaka?

Tena ukiwa umemweka katikati kwenye rear seat ambako unamwona hata kwenye rear-view mirror!

Lazima atanyea debe tu huyo jamaa. Coz they don't play in Cobb county, GA.
 
Nyani Ngabu hapo cha kwanza lazima wajiridhishe hakuna ugomvi kati ya mume na mke ndio mengine yafuate.

Ni kweli, hayo yote yatafanyika. Lakini pia, hata kama walikuwa na ugomvi na mkewe, hiyo kamwe si sababu ya yeye kumsahau mwanae kwenye gari kwa masaa yote hayo. He will pay for it.
 
Mtoto utamsahau vipi kwenye gari? Tena ambaye umemweka kwenye car seat inayoangalia nyuma kama ambavyo sheria inavyotaka?

Tena ukiwa umemweka katikati kwenye rear seat ambako unamwona hata kwenye rear-view mirror!

Lazima atanyea debe tu huyo jamaa. Coz they don't play in Cobb county, GA.


............................
 
khaa kumbe ni mwanaume? duh sikusoma vizuri
 
inasikitisha sana huyo mtoto amekufa kwa mateso mengi.Pole kwa mama yake
 
inasikitisha sana huyo mtoto amekufa kwa mateso mengi.Pole kwa mama yake

Mateso ambayo hayaelezeki kabisa!

Najenga taswira jinsi ambavyo kalivyokuwa kanahangaika kuokoa maisha yake humo garini mpaka nasikia maumivu mwilini.
 
Habari imenisikitisha sana! Kama ulivosema labda yupo possessed... si hali ya kawaida!
 
Mateso ambayo hayaelezeki kabisa!

Najenga taswira jinsi ambavyo kalivyokuwa kanahangaika kuokoa maisha yake humo garini mpaka nasikia maumivu mwilini.

huyo baba mtoto alikuwa insane au kusudi jamani,hiki kitendo kimevuruga saikolojia ya mama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom