Eti alimsahau mtoto wake kwenye gari

Eti alimsahau mtoto wake kwenye gari

Status
Not open for further replies.
Mada nimeianzisha mwenyewe, nimechokozwa hapa hapa, na nitamaliza kila kitu hapa hapa.

mada gani uliyoanzisha hapa,huu uzi kaanzisha Nyani Ngabu mnavuruga tu humu,kapewa ban basi acheni patulie bado mnaleta upuuzi hapa mnatukera
 
mada gani uliyoanzisha hapa,huu uzi kaanzisha Nyani Ngabu mnavuruga tu humu,kapewa ban basi acheni patulie bado mnaleta upuuzi hapa mnatukera

Unamjua Nyani Ngabu wewe?
 
Mbona una mambo mengi ya kufanya zaidi ya haya unayoyafanya hapa,kaanzisheni uzi mwingine huko,hamuoni aibu hata kushusha thamani ya mtoto anayezungumziwa hapa?

Huyo huwezi ku-reason naye. Unajihangaisha bure. Ni heri uwataarifu mods kulikos kumsihi aache ujinga. Hawezi kuelewea!
 
Dah hilo kunguni umeliweza kweli halafu unampa za kawaida tu angalia yeye anavyofura ana roho ya kike tena ya wale wa buguruni.....


Safi Sana koboko dawa yake ni kuponda kichwa tu

Na we na umbea wako... ngoja nikuweke kiporo cha kesho...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom