Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,103
- 72,545
Wewe ndo ushike adabu,umeniuliza vizuri nikakujibu ktk kamera kulikuwa na nini, halafu unanipa ushauri wa kihuni, unajua nyie mademu wa humu mmeshindikana
Kushindikana kawaida tu mbona hata nyie mshashindikana mpaka siku hiz mnaolewaa,afadhali sieee