Keen
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 617
- 172
Kibonde yuko sahihi kabisa. Kama mtu hauko tayari kuyataja hayo majina basi usifungue mdomo wako! Kaa kimya.
Nyani Ngabu, naheshimu sana michango yako lakini kwa huu mchango wako umeniudhi. Kumjua adui ni nusu ya ushindi, serikali imeshapewa tahadhali kuwepo kwa vijisenti nchi furani, kwanini serikali kupitia vyombo husika wasiende kufanya uchunguzi kama kweli nia ya dhati ipo? Kama serikali haiwezi kuchunguza waombe msaada serikali ya uswizi ichunguze kama sheria zinaruhusu. Napata uchungu mimi!! bora nikae kimya!!