Tribute To Ephraim Kibonde: Ni Mtangazaji Multi Talented, Entertainer, Comedian na Politician wa Kiaina. He Was Great!, Pengo Lake Halitazibika!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,468
113,583
Wanabodi,

Juzi tumemzika mmoja wa Watangazaji nguli kabisa wa Radio na TV Tanzania, Ephraim Samson Kibonde. Usingizi umenikatika ghafla, usiku huu wa manane, naomba usishutuke kusema labda... sio Ephraim Kibonde amenitokea, bali usingizi umekata, hivyo nikaanza kumkumbuka Kibonde na kumtafakari, na ndio sasa na realize kuwa kumbe huyu jamaa ni kweli amekufa na hatuko nae. Hivyo hili ni bandiko la Tribute ya kuangazia Mazuri yake, pamoja na mazuri yote ya Kibonde tutakayoyaeleza humu, hatumaanishi kuwa Kibonde alikuwa malaika, no, Kibonde alikuwa binaadamu tuu kama sisi binaadamu wengine wote, hivyo nawaomba sana, tusiuzungumzie wa mashaifu ya ubinaadamu wake, au mapungufu yake, Tribute ni kuzungumzia Ukuu wake, concentrations on the positives not the negatives, please tumkumbuke kwa mema tuu and lets celebrate his achievements.
Karibuni.

Kiumri mimi ni mkubwa kwa Kibonde, nimemtangulia kwenye fani kwa miaka 5, mimi nimeanza mwaka 1990 RTD ndipo 1995 nikahamia DTV, Ephraim ameanza kazi mwaka 1995 CTN, mwaka 1996 CTN ikajiunga na DTV kuunda AMG, hivyo tukakutana na Kibonde Channel Ten, na hata wakati wa Kipindi cha Kiti Moto, siku nikipata udhuru, ni Kibonde aliniendeshea kipindi changu, na hata baada ya Channel Ten mimi nikaanzisha PPR, baada ya ile ajali yangu ya piki piki, ni Kibonde tena aliyeniendeshea vipindi vyangu vya Saba Saba pamoja na Jerry Muro, na mpaka umauti unamkuta, ni Kibonde na Aboubakar Liongo, ndio huwa natumia sauti zao zenye punch kubwa, kufanya jingle zozote za PPR, hivyo you can imagine the loss!.

Kibonde ni Multi Talented Radio/ TV Broadcaster, Anchorman na TalkShow Host.
Japo kila mtu mwenye sauti anaweza kuwa mtangazaji wa radio na TV, lakini kuwa mtangazaji mzuri, ni lazima uwe na kipaji cha utangazaji, Ephrain Kibonde, alikuwa ni mtangazaji mwenye vipaji lukuki.
  1. Sio kila mtangazaji anaweza kusoma habari, kuna watangazaji maalum wa habari, yaani newsreader, Ephraim Kibonde alisoma habari
  2. Sio kila mtangazaji anaweza kuwa Anchor Man, sio wengi wanafahamu kuwa zile taarifa za habari zinazosomwa kwenye redio na TV, watangazaji hawatio kichwani, bali wanaandikia script, wao kazi yao ni kusoma tuu, wanaitwa News Reader. Watangazaji wenye uwezo mkubwa wa kutangaza Live News Interactive kutokea Studio wanaitwa Anchorman (kutangaza live kutokea studio bila script) Ephraim Kibonde, alikuwa ni Anchorman.
  3. Sio kila mtangazaji anaweza kutangaza Piece to Camera, ni ule uwezo wa kutangaza live au kurekodiwa live kutoka eneo la tukio bila kuwa na scrip yoyote, Ephraim Kibonde ndie Mtangazaji Mtanzania wa kwanza kufanya live piece to camera kwenye CNN ile 1998 ubalozi wa Marekani jiji Dar es Salaam uliposhambuliwa shambulio la Kigaidi.
  4. Kwa vile lugha ya Taifa ni Kiswahili, hivyo watangazaji wengi wako fluent kwa lugha moja tuu ya Kiswahili, Ephraim Kibonde ni mmoja wa Watangazaji wa Tanzania ambao ni bi-lingua, ana flow vizuri kwa lugha mbili ya Kiswahili na Kiingereza.
  5. Sio kila Mtangazaji anaweza kutengeneza matangazo, ili mtangazaji aweze kutengeneza matangazo ya biashara, sauri take kazima uwe ya kushibam yaani punch, Kibonde alikuwa na wa kui controll sauti yake na kutengeneza punch ya aina yoyote kwa tangazo la aina yoyote, hivyo alilamba deals nyingi za matangazo, yakiwemo matangazo kutoka kwangu.
  6. Ili utengeneza tangazo zuri, ni lazima uandae script nzuri, ili kuandaa script nzuri, ni lazima uwe creative kwa kuwa na kipaji cha creativity, Ephraim Kibonde, alikuwa very creative, kuna matangazo wewe unampa tuu concept, kila kitu anamaliza mwenyewe. Hivyo tasnia ya matangazo ya biashara, imepata pigo kubwa ambalo halitazibika leo au kesho.
  7. Kwenye fani ya Utangazaji, kuna kitu kinaitwa "presence", sijui Kiswahili chake, ila ni ile hali ya mtangaji wa habari akisoma ile habari, anaonyesha yeye ndio anaijue ile habari halafu anatujulisha sisi kutokea kichwani mwake. Wengi wa watangazaji wa sasa wa habari, anatangaza habari huku hata mtoto mdogo anajua kuwa huyu anasoma, presence haipo. Kufuatia presence hii, Kibonde alimiliki vizuri vipindi vyake, mfano kipindi kama Maisha ni Nyumba, kwa sasa kime flop baada ya kumkosa Kibonde, hivyo hata Jahazi, Gardner G. Habash, ana mtihani mgumu sana kuziba pengo la Kibonde ili kipindi kisi flop, but Jahazi bila Kibonde, will neber be the same again.
  8. Utangazaji una maeneo tofauti tofauti, sio kila mtangazaji anaweza kutangaza mpira, boxing, michezo, mimi nikiwa mmoja wapo, siwezi kutangaza mpira, Ephraim Kibonde, anatangaza kila kitu, kuanzia habari, michezo, mpira, ngumi, Ephraim Kibonde ni miongoni mwa Watangazaji walioweza kutangaza kila kitu, popote utakapompeleka Kibonde, ata fit.
  9. Zaidi ya Utangazaji, Kibonde pia alikuwa ni entertainer, mfurahishaji na mshereheshaji na mchekeshaji, a comedian, hivyo japo Watangazaji wengi huweza kuwa ma MC wazuri, hata mimi nilikuwaga MC, ila kuwa MC ambaye watu hawataboreka, watafurahi, watachangamka na watavunjika sana mbavu, Ephraim ni mmoja wa watu hawa, hivyo sio tuu tasnia ya habari ndio imepata pigo, bali tasnia ya ma MC na entertainment industry pia imepata pigo,
  10. Ephraim Kibonde, alikuwa ni mtu wa watu, anajichanganya na watu wa aina yoyote, mcheshi wakati wote, mchangamfu wakati wote, mtani wa hapa na pale, anasalimia wote, siku akimzungumzia Zitto, utafikiri Kibonde ni ACT, siku akizungumzia Chadema, utafikiri Kibonde ni Chadema, kwa vile CCM ndio chama kubwa na chama tawala, Ephraim Kibonde alionekana kama mshabiki wa CCM, in short, Ephraim Kibonde alipenda watu wote, ni mtu wa wote na uthibitisho ni kwenye msiba wake, watu wamejitokeza kumsindikiza.
Nenda kwa Amani Ephraim Kibonde, sijui ni uliumia sana kifo cha Ruge, ukaumia sana Ruge akakuona akakuita, nisije nikasema sana nawe akaita mtu, nenda tuu salama, wasalimie kina Mzee David Wakati, Julius Ntaisanga, Misanya Bingi na watangazaji wengine wote.

RIP RAFIKI NA MTANGAZAJI MWENZANGU EPHRAIM SAMSON KIBONDE.

KALALE PEMA PEPONI.

PASKALI.
 
Kibonde binafsi namheshimu sana.

Ni mtu aliyekuwa anafikiria, mwenye upendo, utu na aliyejua hali halisi ya maamuzi yetu.

Ingawa wabongo wengi wetu ni magwiji wa unafiki ila kibonde alijitahidi kuepuka unafiki.

Alikuwa mtu wa pekee sana.
 
Kibonde alikuwa wa kipekee sana niliwahi kuonana naye kwenye matukio kadhaa kiukweli alikuwa nguli kweli kweli. Kiingereza chake kilikuwa safi, alikuwa rafiki na Arnold Kayanda (yupo United Nations Radio iliyo Marekani kwa sasa). Sijaona mtu aliyekuwa na uwezo katika utangazaji wa kiuweledi kama marehemu Kibonde. Lakini hatuna la kufanya apumzike pema.
 
Pole sana ndugu Mayalla - kweli msiba huu umekugusa. Tunamuomba Muumba ampumzishe kwa amani.
On a separate note, juzi kuna wana-JF-Siasa walikuwa wanasema wanasubiria kwa hamu kubwa maoni yako kuhusu Mzee wetu 'kurudi nyumbani'. Sasa tunaweza kuelewa ulikuwa bado unaomboleza kifo cha rafiki yako. Pole sana.
 
Kwakweli.Kibonde katuuma..mie sin la kusema..Jahazi lishapwaya..nilikua kila nikimskia lazima nicheke jaman..Rip Kibonde..
Next tym Paskali tuandike na tribute ya Musiba😶..tuanze kuisoma mapeeema 😂😂😂!
Ije na ya EL 😏
LA mwisho nasubiri bandiko lako juu ya ushauri alowapa JPM mabalozi juzi😊😊😊!
 
Wanabodi,

Juzi tumemzika mmoja wa Watangazaji nguli kabisa wa Radio na TV Tanzania, Ephraim Samson Kibonde. Usingizi umenikatika ghafla, usiku huu wa manane, naomba usishutuke kusema labda... sio Ephraim Kibonde amenitokea, bali usingizi umekata, hivyo nikaanza kumkumbuka Kibonde na kumtafakari, na ndio sasa na realize kuwa kumbe huyu jamaa ni kweli amekufa na hatuko nae. Hivyo hili ni bandiko la Tribute ya kuangazia Mazuri yake, pamoja na mazuri yote ya Kibonde tutakayoyaeleza humu, hatumaanishi kuwa Kibonde alikuwa malaika, no, Kibonde alikuwa binaadamu tuu kama sisi binaadamu wengine wote, hivyo nawaomba sana, tusiuzungumzie wa mashaifu ya ubinaadamu wake, au mapungufu yake, Tribute ni kuzungumzia Ukuu wake, concentrations on the positives not the negatives, please tumkumbuke kwa mema tuu and lets celebrate his achievements.
Karibuni.

Kiumri mimi ni mkubwa kwa Kibonde, nimemtangulia kwenye fani kwa miaka 5, mimi nimeanza mwaka 1990 RTD ndipo 1995 nikahamia DTV, Ephraim ameanza kazi mwaka 1995 CTN, mwaka 1996 CTN ikajiunga na DTV kuunda AMG, hivyo tukakutana na Kibonde Channel Ten, na hata wakati wa Kipindi cha Kiti Moto, siku nikipata udhuru, ni Kibonde aliniendeshea kipindi changu, na hata baada ya Channel Ten mimi nikaanzisha PPR, baada ya ile ajali yangu ya piki piki, ni Kibonde tena aliyeniendeshea vipindi vyangu vya Saba Saba pamoja na Jerry Muro, na mpaka umauti unamkuta, ni Kibonde na Aboubakar Liongo, ndio huwa natumia sauti zao zenye punch kubwa, kufanya jingle zozote za PPR, hivyo you can imagine the loss!.

Kibonde ni Multi Talented Radio/ TV Broadcaster, Anchorman na TalkShow Host.
Japo kila mtu mwenye sauti anaweza kuwa mtangazaji wa radio na TV, lakini kuwa mtangazaji mzuri, ni lazima uwe na kipaji cha utangazaji, Ephrain Kibonde, alikuwa ni mtangazaji mwenye vipaji lukuki.
  1. Sio kila mtangazaji anaweza kusoma habari, kuna watangazaji maalum wa habari, yaani newsreader, Ephraim Kibonde alisoma habari
  2. Sio kila mtangazaji anaweza kuwa Anchor Man, sio wengi wanafahamu kuwa zile taarifa za habari zinazosomwa kwenye redio na TV, watangazaji hawatio kichwani, bali wanaandikia script, wao kazi yao ni kusoma tuu, wanaitwa News Reader. Watangazaji wenye uwezo mkubwa wa kutangaza Live News Interactive kutokea Studio wanaitwa Anchorman (kutangaza live kutokea studio bila script) Ephraim Kibonde, alikuwa ni Anchorman.
  3. Sio kila mtangazaji anaweza kutangaza Piece to Camera, ni ule uwezo wa kutangaza live au kurekodiwa live kutoka eneo la tukio bila kuwa na scrip yoyote, Ephraim Kibonde ndie Mtangazaji Mtanzania wa kwanza kufanya live piece to camera kwenye CNN ile 1998 ubalozi wa Marekani jiji Dar es Salaam uliposhambuliwa shambulio la Kigaidi.
  4. Kwa vile lugha ya Taifa ni Kiswahili, hivyo watangazaji wengi wako fluent kwa lugha moja tuu ya Kiswahili, Ephraim Kibonde ni mmoja wa Watangazaji wa Tanzania ambao ni bi-lingua, ana flow vizuri kwa lugha mbili ya Kiswahili na Kiingereza.
  5. Sio kila Mtangazaji anaweza kutengeneza matangazo, ili mtangazaji aweze kutengeneza matangazo ya biashara, sauri take kazima uwe ya kushibam yaani punch, Kibonde alikuwa na wa kui controll sauti yake na kutengeneza punch ya aina yoyote kwa tangazo la aina yoyote, hivyo alilamba deals nyingi za matangazo, yakiwemo matangazo kutoka kwangu.
  6. Ili utengeneza tangazo zuri, ni lazima uandae script nzuri, ili kuandaa script nzuri, ni lazima uwe creative kwa kuwa na kipaji cha creativity, Ephraim Kibonde, alikuwa very creative, kuna matangazo wewe unampa tuu concept, kila kitu anamaliza mwenyewe. Hivyo tasnia ya matangazo ya biashara, imepata pigo kubwa ambalo halitazibika leo au kesho.
  7. Kwenye fani ya Utangazaji, kuna kitu kinaitwa "presence", sijui Kiswahili chake, ila ni ile hali ya mtangaji wa habari akisoma ile habari, anaonyesha yeye ndio anaijue ile habari halafu anatujulisha sisi kutokea kichwani mwake. Wengi wa watangazaji wa sasa wa habari, anatangaza habari huku hata mtoto mdogo anajua kuwa huyu anasoma, presence haipo. Kufuatia presence hii, Kibonde alimiliki vizuri vipindi vyake, mfano kipindi kama Maisha ni Nyumba, kwa sasa kime flop baada ya kumkosa Kibonde, hivyo hata Jahazi, Gardner G. Habash, ana mtihani mgumu sana kuziba pengo la Kibonde ili kipindi kisi flop, but Jahazi bila Kibonde, will neber be the same again.
  8. Utangazaji una maeneo tofauti tofauti, sio kila mtangazaji anaweza kutangaza mpira, boxing, michezo, mimi nikiwa mmoja wapo, siwezi kutangaza mpira, Ephraim Kibonde, anatangaza kila kitu, kuanzia habari, michezo, mpira, ngumi, Ephraim Kibonde ni miongoni mwa Watangazaji walioweza kutangaza kila kitu, popote utakapompeleka Kibonde, ata fit.
  9. Zaidi ya Utangazaji, Kibonde pia alikuwa ni entertainer, mfurahishaji na mshereheshaji na mchekeshaji, a comedian, hivyo japo Watangazaji wengi huweza kuwa ma MC wazuri, hata mimi nilikuwaga MC, ila kuwa MC ambaye watu hawataboreka, watafurahi, watachangamka na watavunjika sana mbavu, Ephraim ni mmoja wa watu hawa, hivyo sio tuu tasnia ya habari ndio imepata pigo, bali tasnia ya ma MC na entertainment industry pia imepata pigo,
  10. Ephraim Kibonde, alikuwa ni mtu wa watu, anajichanganya na watu wa aina yoyote, mcheshi wakati wote, mchangamfu wakati wote, mtani wa hapa na pale, anasalimia wote, siku akimzungumzia Zitto, utafikiri Kibonde ni ACT, siku akizungumzia Chadema, utafikiri Kibonde ni Chadema, kwa vile CCM ndio chama kubwa na chama tawala, Ephraim Kibonde alionekana kama mshabiki wa CCM, in short, Ephraim Kibonde alipenda watu wote, ni mtu wa wote na uthibitisho ni kwenye msiba wake, watu wamejitokeza kumsindikiza.
Nenda kwa Amani Ephraim Kibonde, sijui ni uliumia sana kifo cha Ruge, ukaumia sana Ruge akakuona akakuita, nisije nikasema sana nawe akaita mtu, nenda tuu salama, wasalimie kina Mzee David Wakati, Julius Ntaisanga, Misanya Bingi na watangazaji wengine wote.

RIP RAFIKI NA MTANGAZAJI MWENZANGU EPHRAIM SAMSON KIBONDE.

KALALE PEMA PEPONI.

PASKALI.

What a Tribute...
RIP Kibs.
 
Surely, Ephraim was great.
Alikuwa very informed unlike watangazaji wengi, ndiyo maana Jahazi lilipwaya pindi Kibs akiwa hayupo. Kwa sasa Gadner na Clouds media wana kazi kubwa ya kumpata mtu ambae atajazia kiana pengo la Ephraim.

Poleni wana habari, poleni sana Paskali na wengine wote ambao kwa namna moja au nyingine mta-experience moja kwa moja kutokuwepo kwa Kibs.
 
Ulalale salama Ephraim Samson Kibonde wema wako utabaki nasi daima. Watu wenye roho mbaya na chuki kwa wengine wajifunze wema kutoka kwa ESK. ADB umaarufu wa kudumu hauzaliwi na ubabe na roho mbaya, bali kwa unyenyekevu na utu wema. Waombe clouds media msamaha na utakuwa shujaa wa aina yake na utakapofanya hivyo utukuwa unawaenzi Ruge na ESK kwa vitendo. "Make hay while the sun still shines"

Pole Pascal,
R.I.P. Ephraim Samson Kibonde
 
Back
Top Bottom