Enzi zetu zile sio kama leo

michuz_041.jpg
 
Dar es Salaam street in 1980
3091805970_81fd31281e.jpg
<table class="shadow_table" style="padding: 0px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td width="11">
</td><td id="shadow_width_controller">
</td><td width="11">
</td></tr><tr><td id="shadow_height_controller" height="30">
</td><td>
</td><td>
</td></tr><tr><td>
spaceout.gif
</td><td>
spaceout.gif
</td><td>
spaceout.gif
</td></tr></tbody></table>

1980 Dar ilikuwa hivi, miaka 30 baadaye (2010) ni kituko, sio jiji tena. Jamani hii ni disaster in the coming. Hivyo kuna watu wanajaribu kuangalia jinsi ya kulifanya jiji liwe kama ilivyokuwa wakati huo???

Ukiwauliza madiwani kwanini wanagombea majibu utakayopata utashangaa, hakuna hata mmoja mwenye ndoto ya jiji kama hili.

Mungu tusaidie watanzania.
 
Thank you

Picha hizi zinakumbusha maisha yaliyokuwa ya watanzania wote wakipendana sana na tukiwa na mafisadi wachache au pengine hawakuwepo kabisa. Vitu kama Richmond labda unavipata kwenye ndoto tu
 
Tulikuwa tunasikiliza redio kama hii hasa Philips na National

radio-image.jpg

Waoooo!!! You have taken so far for uploading this, tulikuwa tukienda kwa mwenyekiti wa kijiji kusikiliza mpira na taarifa ya habari kupitia RTD...
Thanks for making my day!
 
Enzi zile mambo yalikuwa sio lazima kwa soksi tofauti na siku hizi mambo ni sharti kwa soksi



 
Last edited by a moderator:
Huu ndio ulikuwa usafiri wetu baisikeli ya Swala

colourfulbike.jpg


bila shaka hii baiskeli itakuwa ya msukuma... maana msukuma bila baiskeli kuwa na uzito wa tani.. haoni raha lazima ajaze makororoooooo utadhani sebule
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom