Enzi zetu zile sio kama leo

Enzi zetu zile sio kama leo

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757

Vijana wakiwa tayari kuingia "The Cave Disco" enzi hizo

Ndani ya RUSH between two A's enzi hizo mambo yote yalikuwa mpwito

Je una picha ya Enzi zile au kumbukumbu yoyote ya zamani, weka kwenye thread hii.... KARIBUNI
 
MWALIMU NA MALECELA NYAKATI HIZO!!!!

magombe1.jpg


WAMETOKA MBALI SANA!!!!

JK+MK


THOSE DAYZ OF MWALIMU

BUTIAMA
 
Bomba! hivi hiyo ya kwenye ndege ni JK na Mwandosya?
 
Nzuri mno hizi picha zote!

Wakati huo ilikuwa lazima uonyeshe saa mkononi ukipiga picha!😀
Pia nadhani mlisahau kuweka REDIO KASETI mezani, ingetoka bomba zaidi!..huh!
 
aaah enzi za Cave disco...asikwambie mtu bana
 
Mwandosya na JK nani aliwaweka pamoja kwenye nege moja? maana enzi hizi JK alikuwa anamuandama sana Mwandosya! Kumbuka enzi zile Mwandosya alivyokuwa katibu mkuu wa JK.....JK alilichafua mno faili la mwenzake!!
 
Hizo ndege za enzi hizoi naonekana mtu alikuwa hawezi hata kusimama kama ukikaa vichwa vinakusa dari. kutembea ni kuinamainama.
 
mwandosya na jk nani aliwaweka pamoja kwenye nege moja? Maana enzi hizi jk alikuwa anamuandama sana mwandosya! Kumbuka enzi zile mwandosya alivyokuwa katibu mkuu wa jk.....jk alilichafua mno faili la mwenzake!!
nadhani uko upande mwingine wa dunia hii
 
Back
Top Bottom